Salamu hizi zikufikie wewe mwana MMU

Salamu hizi zikufikie wewe mwana MMU

usiharibie vijana wa mwenzio heshima tafadhali.

Ndoa ni kama mbegu ya mmea,usipoutengenezea mazingira mazuri hauwezi kuota,kuuweka ardhini tu haitoshi kuusababish auote kama ardhini hakuna maji wala virutubisho.

Kutokuolewa mabinti wengi wa ni uzubaifu wao,hawatengenezi mazingira ya kuolewa unafikiri ndoa itakujaje?,wataendelea kua michepuko hadi watakapojitambua. Wengi wanadhani kutoa papuchi ndio kuolewa,papuchi italiwa na hakuna ndoa.
avatar yako tuuuu......
 
Habari yako mtafiti wa via vya uzazi vya wanaume,na;nimesahau inaitwaje
(jina limenitoka),kwa wanawake.
 
Habari yako wewe unaejilinganisha na Malaika.
 
na salam ziwafikie kwao wale walioamua kuzipa ndoa ndoa mkono wa kwa heri baada ya kuona zinawapa headaches!
 
Kwa hiyo sisi viongozi tulio weka nadhiri ya useja kazi ilobaki ni kuwawekea mikono ya baraka tu mkuu!
 
Back
Top Bottom