salamu haitii mimba!???

beibe nasty

JF-Expert Member
Apr 11, 2012
1,640
523
nawasalimu wana jf wote nataka jua kama uumzima au unaumwa au unamatatizo yoyote ambayo unahis u cn share it with beibe jaman. Mi leo mzima sema kichwa kinauma
 
beibe nasty...mm niko poa sana...ila hali ya hewa yanipa utata...can we share anything about this weather?...
 
Last edited by a moderator:
beibe,me pouwa kabsa.km kawa naendelea na ujenz wa taifa. vp hko kichwa jna ulizimika sana?
 
beibe nasty hujambo?
Kwa niaba ya young bro wangu BAGAH naomba mjibu alichokuuliza bila mmung'unyo ! Ukimung'unya itakua umechakachua Uzi we mwenyewe.
Mjibu fasta , kipupwe hukioni ?
 
Last edited by a moderator:
beibe nasty...mm niko poa sana...ila hali ya hewa yanipa utata...can we share anything about this weather?...

Oooh nyie huko ndo kuna jimvua eeh da poule sweetpie sasa unajua ufanyaje hebu vaa koti kipendhii ngekuwa karibu ngekupa kumbato hahaha
 
Last edited by a moderator:
beibe,me pouwa kabsa.km kawa naendelea na ujenz wa taifa. vp hko kichwa jna ulizimika sana?
Mpenzi wangu nizimike wapi mama sema nilichelewa lala n mewahi amka aisee haya leo unapuyangia wapi mto wa k ya bwiruu
 
Oooh nyie huko ndo kuna jimvua eeh da poule sweetpie sasa unajua ufanyaje hebu vaa koti kipendhii ngekuwa karibu ngekupa kumbato hahaha
@beibe nasty umezidi kunichanganya hapo uliposema ungekua karibu...u-mbali kiasi gani mupenzi?...
 
Mie niko poa kabisa, hapa bado nipo kitandani najiliwaza mwenyewe na ki simu changu sijui nitaamka saa ngapi na hiki kijiubaridi!! Lol
 
nawasalimu wana jf wote nataka jua kama uumzima au unaumwa au unamatatizo yoyote ambayo unahis u cn share it with beibe jaman. Mi leo mzima sema kichwa kinauma

If you realy mean it? Kuja kwa PM, hapa wanga wengi...
 
Back
Top Bottom