Kiukweli kabisa,huwa nawapongeza wanaowatia mimba wanawake wanaojifanya wanaume na wasela kwa sana.
Kuna mmoja alikuwa ilala mtaa wa Nzasa,alikuwa na swagger za kiume,mikato ya dressing na kila kitu,kumbe anasikilizia ugwadu ugwadu,akala banana chop,Kwishney.