Well,Mimi nadhani nimeelewa lilichomshangaza mtoa mada juu ya hio habari.
Nahisi ni kwa vile yule dada miaka yote hua anajiweka kama mwanaume 'tomboy' nadhani hicho ndio kilichomfanya mleta mada ashtuke kwa 'tomboy' kupata ujauzito.