Salam za magharibi: Kuzisoma lazima comment hiyari

Lara1 upo 100% right.

haya mambo ya mapenzi bwana hakuna cha kujifanya eti unaweka mipango mikakati au mipango endelevu, hapa tunajitosa tu then unachek mzigo upo vipi!

ukijifanya unajua sana eti ku-date right person ndo yale yale ya , UKICHAGUA NAZI MWISHOWE UNAONDOKA NA KOROMA.

Ah mie naangalia tu vile basic tu, like muonekano, mkwanja na ucheshi wake mengine badae sanaaaaaaa

Mmh Ayanda, hii concept yako naona kama dawa, yaani 'weka mbali na watoto'......Nahisi kama majuto ni mengi zaidi ya whatever.....
 
Well said.....kuingia penzini uwe sambamba na wenzio sio mpango...!
 
Salamu hizi ziwafikie wote popote mlipo kwa ujumla wenu
Umekazana kuwaambia marafiki zako 'Siku hizi hakuna Mapenzi ya dhati watu wote Majanga tu',nani amekwambia hayapo??Yapo sana ila wewe unatumia mbinu tofauti..Huwezi kusoma Degree ya Law halafu u-apply kazi ya Chief Accountant wa Bodi ya Tumbaku...Kila siku utasingizia Balance Sheet haina Jurisprudence..Lawyers mmenielewa!

Acha kudate watu wasiojielewa,Usidate kwa sababu uko lonely,Usiwe desperate kuingia Mahusiano kwa sababu shosti zako wanakusimulia walivyopelekwa Ruwenzori Waterfalls..Ingia kwenye Mahusiano pale Moyo wako ukiwa tayari na mtu uliyemfia kihisia na amekuwa approved na Veins,Auricles,na Aorta za Moyo wako kwamba He/She is really the One..
Unadate na mtu ambaye mustakabali wake mwenyewe haujui,ukimuuliza anataka kuwa wapi ndani ya miaka 5 ijayo anakwambia Mungu anajua dont worry,halafu BBM na Instagram unajiita Baby Ake Mie Iam in Love..Utaishia kufua boxer hadi kucha zinukie gololi!

Mbwa kamwe hashughuliki na kesi za Paka kufungiwa kabatini.Date the Right Person,With Right reasons,in a Right Time uone kama Mapenzi hayapo.
Kama hujaelewa leo utaelewa kesho, na kama una swali utauliza siku ingine.
Nimemaliza!...................................

kyonka iwe bojo..................wamara!!
 
Mmh Ayanda, hii concept yako naona kama dawa, yaani 'weka mbali na watoto'......Nahisi kama majuto ni mengi zaidi ya whatever.....

sijakusoma hata kiduchu.

anyway, watoto ndo wakae mbali na dawa
 
sijakusoma hata kiduchu.

anyway, watoto ndo wakae mbali na dawa

Naona mtazamo wako umekaa wa kujuta zaidi baadaye....sio kama itakuwa ni kujilazimisha tu ili mradi yaende?
 
unajua mimi huwa sijuti eh!

yaani umri huu siwezi fanya kitu bila kuwa makini besty, sasa sijui unaamaanisha majuto yepi labda?
 
Nimeangalia kwenye basics zako unazoangalia....muonekano, mkwanja na ucheshi...(of course there could be more), kama upendo hamna unajimwaga hivyo hivyo itaji-adjust baadaye? Ndio hapa naona kama patakuwa na zile ningejua nyingiiii.....Anyways, wanasema hakuna written formula kwenye haya mambo....
 
sasa kwani huwa tunaangaliaga nini?

can you fall in love na kondakta wa daladala au mbeba magunia kariakoo?

come on, lazima nitampenda mtu ninayekutana nae mara kwa mara na huwa sikutani na wachovu!

hata akiwa mchovu basi najua ni kwa muda tu, maybe hajapata job au ndo anahangaika na biashara yake ndogo.

mkwanja mUST, hakuna anayetaka mwanaume ----- asiye mtafutaji lol!

ucheshi ni muhimu besty, nikiwa nae lazima nicheke nisahau stress zote za maisha.

Muonekano pia unachangia, napenda waume weusi na asiwe na mavazi ya kisharobaro kama diamond maana hatutaendana sababu mimi sio sistadu.

TUSIDANGANYANE, PESA INAHUSIKA KWENYE MAPENZI KWA ASILIMIA 99.99999
 
Kazi mzuri mrebo nimeipenda si mistari tu bali nimepata vitu hapo safi
 
sasa kwani huwa tunaangaliaga nini?

can you fall in love na kondakta wa daladala au mbeba magunia kariakoo?

come on, lazima nitampenda mtu ninayekutana nae mara kwa mara na huwa sikutani na wachovu!

hata akiwa mchovu basi najua ni kwa muda tu, maybe hajapata job au ndo anahangaika na biashara yake ndogo.

mkwanja mUST, hakuna anayetaka mwanaume ----- asiye mtafutaji lol!

ucheshi ni muhimu besty, nikiwa nae lazima nicheke nisahau stress zote za maisha.

Muonekano pia unachangia, napenda waume weusi na asiwe na mavazi ya kisharobaro kama diamond maana hatutaendana sababu mimi sio sistadu.

TUSIDANGANYANE, PESA INAHUSIKA KWENYE MAPENZI KWA ASILIMIA 99.99999

Ndio maana nikasema kwa sababu formula hakuna na kila mtu ni unique, sitabishana nawe sana. Japo kuna sehemu ambazo wewe mwenyewe unaenda mbele na kurudi nyuma, unasema unaweza ukalandana na mchovu, kwa kujua ni wa muda tu...ambapo mimi nafikiri ungeweza kuiweka kuwa (am not forcing u), unaangalia mchacharikaji ambaye inawezekana leo mchovu lakini anaonyesha potential za baadaye kuinuka (huyu sio die hard mchovu). Sasa hapa kwa kuanzia mkwanja atakuwa nao wa haja kweli?

Wewe huwezi kufuatana na kondakta wa daladala, kuna mwingine huyo konda wa daladala anamfanya agonganishe miguu mpaka aparamie watu kuwakanyaga njiani. Na wote mnaomuangalia mnajiuliza, yule mwenzetu kaona nini pale kinachomchanganya vile? Anyways, wanasema kaa karibu ya waridi nawe unukie, au vipi?
 
sasa kwani huwa tunaangaliaga nini?

can you fall in love na kondakta wa daladala au mbeba magunia kariakoo?

come on, lazima nitampenda mtu ninayekutana nae mara kwa mara na huwa sikutani na wachovu!

hata akiwa mchovu basi najua ni kwa muda tu, maybe hajapata job au ndo anahangaika na biashara yake ndogo.

mkwanja mUST, hakuna anayetaka mwanaume ----- asiye mtafutaji lol!

ucheshi ni muhimu besty, nikiwa nae lazima nicheke nisahau stress zote za maisha.

Muonekano pia unachangia, napenda waume weusi na asiwe na mavazi ya kisharobaro kama diamond maana hatutaendana sababu mimi sio sistadu.

TUSIDANGANYANE, PESA INAHUSIKA KWENYE MAPENZI KWA ASILIMIA 99.99999

Mchovu tu lakini wa muda, at the same time unamtaka mwenye mkwanja!! (aliyenazo tayari).
Unamtaka mweusi at the same time kwenye story yako ile nyingine huna mweusi kwenye ndoa!

Naona kama hukujua ama hujui unachokitaka au things are complicated kiasi kwamba ni kizunguzungu!!
 
Ndio maana nikasema kwa sababu formula hakuna na kila mtu ni unique, sitabishana nawe sana. Japo kuna sehemu ambazo wewe mwenyewe unaenda mbele na kurudi nyuma, unasema unaweza ukalandana na mchovu, kwa kujua ni wa muda tu...ambapo mimi nafikiri ungeweza kuiweka kuwa (am not forcing u), unaangalia mchacharikaji ambaye inawezekana leo mchovu lakini anaonyesha potential za baadaye kuinuka (huyu sio die hard mchovu). Sasa hapa kwa kuanzia mkwanja atakuwa nao wa haja kweli?

Wewe huwezi kufuatana na kondakta wa daladala, kuna mwingine huyo konda wa daladala anamfanya agonganishe miguu mpaka aparamie watu kuwakanyaga njiani. Na wote mnaomuangalia mnajiuliza, yule mwenzetu kaona nini pale kinachomchanganya vile? Anyways, wanasema kaa karibu ya waridi nawe unukie, au vipi?[/QUOTE]

hapo RED.

sijakuelewa.

but anyway, everybody is unique
 
Mchovu tu lakini wa muda, at the same time unamtaka mwenye mkwanja!! (aliyenazo tayari).
Unamtaka mweusi at the same time kwenye story yako ile nyingine huna mweusi kwenye ndoa!

Naona kama hukujua ama hujui unachokitaka au things are complicated kiasi kwamba ni kizunguzungu!!

ha ha ha ha ha ha hilo nalo neno.

ndo maana mimi huwa nasema, IT COMPLICATED
 
Ngoja hapo kwenye kusubiri until ukiwa tayari nadhani pananifaa otherwise karoho kepesi naweza kaathiri na ujana huu nikashindwa kuona uzee.
 
yeah Mrembo by Nature...umongea kweli tupu....itatusaidia wengi

Salamu hizi ziwafikie wote popote mlipo kwa ujumla wenu
Umekazana kuwaambia marafiki zako 'Siku hizi hakuna Mapenzi ya dhati watu wote Majanga tu',nani amekwambia hayapo??Yapo sana ila wewe unatumia mbinu tofauti..Huwezi kusoma Degree ya Law halafu u-apply kazi ya Chief Accountant wa Bodi ya Tumbaku...Kila siku utasingizia Balance Sheet haina Jurisprudence..Lawyers mmenielewa!

Acha kudate watu wasiojielewa,Usidate kwa sababu uko lonely,Usiwe desperate kuingia Mahusiano kwa sababu shosti zako wanakusimulia walivyopelekwa Ruwenzori Waterfalls..Ingia kwenye Mahusiano pale Moyo wako ukiwa tayari na mtu uliyemfia kihisia na amekuwa approved na Veins,Auricles,na Aorta za Moyo wako kwamba He/She is really the One..
Unadate na mtu ambaye mustakabali wake mwenyewe haujui,ukimuuliza anataka kuwa wapi ndani ya miaka 5 ijayo anakwambia Mungu anajua dont worry,halafu BBM na Instagram unajiita Baby Ake Mie Iam in Love..Utaishia kufua boxer hadi kucha zinukie gololi!

Mbwa kamwe hashughuliki na kesi za Paka kufungiwa kabatini.Date the Right Person,With Right reasons,in a Right Time uone kama Mapenzi hayapo.
Kama hujaelewa leo utaelewa kesho, na kama una swali utauliza siku ingine.
Nimemaliza!...................................

duh,naona utakuwa umeliliwa mpk umeamua kutema nyongo!
 
athantee,maana mashost huwa wanadhani matatizo yao ya kimapenzi ndo kila mtu anayo
 
Back
Top Bottom