Salam za magharibi: Kuzisoma lazima comment hiyari

Salam za magharibi: Kuzisoma lazima comment hiyari

Unataka uufahamu uzoefu wangu? nitauweka hapa jamvini muda si mrefu ila nitataja majina ya wahusika live....tena wewe ni mmoja wapo......hahaha uko tayari Eli79

Teh teh! Wala usijali mi nipo tayari......
 
Last edited by a moderator:
Bestito hunipati rafki yangu! Teh... afu usipoangallia mie ndo nataja lako!

Thehehe niko very sure hunijuwi........hahaha kama vipi taja tu hata herufi za mwanzo na na mwisho za majina yangu.....nimekuruhusu
 
ni wapi kamsifia bwana ake.......?

Generally ka imply kuwa huyo bwana anampenda sanaaaa!!!!!!!!! Ndo kujiamini na kusifia huko na kuona wenzie full magundu na mikosi!!! Sasa ndo natamani nimjue nijue ni KWELI AU DEBE TUPU NDILO LINAPIGA KELELE MINGI!? Kwa mtazamo wangu!
 
Kwa unavyotaka kuelewa...ila mantiki wala sio hiyo uliyoiweka hapa. Hapa ni kukumbushana tu kwamba usiingie kwenye mahusiano kwa sababu tu flani anafanya ila ingia kwa sababu una sababu, na kweli unapingia panakufaa
 
Thehehe niko very sure hunijuwi........hahaha kama vipi taja tu hata herufi za mwanzo na na mwisho za majina yangu.....nimekuruhusu

Hahaaa! Nina data kamili besti, majina yote nayajua ila leo sitaji wala nini..... afu hata unapoishi napajua!
 
Kwa unavyotaka kuelewa...ila mantiki wala sio hiyo uliyoiweka hapa. Hapa ni kukumbushana tu kwamba usiingie kwenye mahusiano kwa sababu tu flani anafanya ila ingia kwa sababu una sababu, na kweli unapingia panakufaa
Hahahaaaaaaaa! Nilivosema mtoa mada mimi sikumaanisha wewe binafsi uliyeileta hapa JF! Except to be clear nilimaanisha alietoa hiyo mada kichwani kwake!

And YES! SHE IS RUDE! INSENSITIVE an INCONSIDERATE OF THE FEELINGS OF OTHERS!

Mapenzi ni karata 3! Unaweza kupata ama kupatikana! Na kila mtu ANAPENDA LILILO JEMA NDO LIMTOKEEE!!!!!!!! Hakuna mtu asiependa kukutana na mambo mazuri ya kuvutia isipokuwa Simba akikosa nyama anakula nyasi!

Ikitokea mtu kapatikana na yeye kabahatisha basi ndo kutoa maneno ya kashikashi kama hivi haipendezi! Bahati znyewe nyingi its a matter of time tu! Ilimpasa ashukuru na kuwaombea wengine!

Kila mtu anapenda atoke na Abduleli Mengi sema ndo hivo tea mpaka ukute huyo Abduleli nae anakupenda, n a sister cant remain single for life ndo maana watu wana settle for less coz hukuandikiwa vikubwa! So either ukubali vidogo au ukose kabisa!

UKISIKIA PAH! UJUE LIMENIPATA! TENA USONI! HAHAHAAAAAAAAAAA!
 
Kwa unavyotaka kuelewa...ila mantiki wala sio hiyo uliyoiweka hapa. Hapa ni kukumbushana tu kwamba usiingie kwenye mahusiano kwa sababu tu flani anafanya ila ingia kwa sababu una sababu, na kweli unapingia panakufaa
Mimi sababu yangu ni upweke (loneliness) ambayo wewe umeidisqualify. Umesema mpaka moyo upende, hivyo imenifanya nione wale wote walioweka mabandiko love connect, wazee wetu wakiotafutiwa wake n.k hawafurahii mzpenzi coz mioyo haikushiriki kwenye initial michakato.

Halafu, sijui hii mioyo haibadiliki baadaye au hata zile criteria zikichange moyo unaback constant? Maana the only permanent thing ni change peke yake.
 
Hahaaa! Nina data kamili besti, majina yote nayajua ila leo sitaji wala nini..... afu hata unapoishi napajua!

BADO NINASISITIZA Hunijuiiiiiiiiii hata chembeeeeeee ila me ndio nakujua hahah sijui nianze kutiririka hapa? basi ngoja niache kwa leo
 
BADO NINASISITIZA Hunijuiiiiiiiiii hata chembeeeeeee ila me ndio nakujua hahah sijui nianze kutiririka hapa? basi ngoja niache kwa leo

Teh! Umeshindwaaaaaa! Taja nakuruhusu, ukipatia nakupa zawadi ya pipi....... teh!
 
Mrembo by nature,umri na uzoefu wangu kwenye mapenzi unakizana na mawazo yako............hakuna formula kwenye mapenzi,hata bingwa wa mapenzi hajawahi kupatikana............ila kama wewe umebahatisha basi mshukuru na muombe mungu wako kila siku za maisha yako ili iwe kama ilivyo.The Boss hebu njoo utupe uzoefu wako bhana
 
Back
Top Bottom