Amegeuzwa washing mashine anafua Boxer chafu hadi ana smell Nuts !!
Kweli kuna vijana wapo ruthless
Nimefichwa na MAJUKUMU sio Mtu bhana but kwa ka simu kangu ka kichina everywhere i go i always find an opportunity to read whats going on here lakini.Umpotea sana, umefichwa na nini?
Konnie mbona umepatwa na mshtuko....
Hayo maneno tu muhimu ujumbe...
my dear kwenye mapenzi usiingie ukuiwa na sababu lukuki ndo mwanzo wa kuwa disappointed, sasa kwa mfano eti unaingia kwenye relationship na mpango mkakakti wa kuolewa, utashangaa mwenyewe maana unaweza achwa solemba.
Je sababu za kuingia kwenye relatioship ni ndoa?may be uwazavyo wewe......but for me ni love tu....ndoa najua ni matokeao tu as sdi kila umpendae anaweza kukufikisha kwenye next level ya mahusiano (ndoa)
nimetoa ndoa kama mfano bwana, hebu uwe unasoma kabla hujajibu.
halafu kama ni love, then why so many vigezo!
either way, uamuzi ni wako
Hukuelewa thats why ukatoa mfano ambao hauendani.........okay nashukuru umenielewa...good day mpendwa
ah haya bana, nimejichokea tu na kazi hapa
aione Nicas Mtei japo nimekumis sana dalaliii umeanza kuvuna!
unanikumbusha machungueeee
dogo hajambo mwaka wa mwisho huu shap shap nipe mahari kabla hajanyakuliwa mtaani kwikwiwkwiwkwi!!pole sana kwa yaliyokupata. Nasikitika sana nlikuwa busy sana kipindi ambacho ulipatwa na matatizo................. Hajambo mdogo wako?
dogo hajambo mwaka wa mwisho huu shap shap nipe mahari kabla hajanyakuliwa mtaani kwikwiwkwiwkwi!!
kwenda zako huko na usinishirikishe mambo yenuhahahahahahahahahahaha ntamalizana naye mwenyewe