Salam za magharibi: Kuzisoma lazima comment hiyari

Salam za magharibi: Kuzisoma lazima comment hiyari

Hahahaaaaaaaa! Nilivosema mtoa mada mimi sikumaanisha wewe binafsi uliyeileta hapa JF! Except to be clear nilimaanisha alietoa hiyo mada kichwani kwake!

And YES! SHE IS RUDE! INSENSITIVE an INCONSIDERATE OF THE FEELINGS OF OTHERS!

Mapenzi ni karata 3! Unaweza kupata ama kupatikana! Na kila mtu ANAPENDA LILILO JEMA NDO LIMTOKEEE!!!!!!!! Hakuna mtu asiependa kukutana na mambo mazuri ya kuvutia isipokuwa Simba akikosa nyama anakula nyasi!

Ikitokea mtu kapatikana na yeye kabahatisha basi ndo kutoa maneno ya kashikashi kama hivi haipendezi! Bahati znyewe nyingi its a matter of time tu! Ilimpasa ashukuru na kuwaombea wengine!

Kila mtu anapenda atoke na Abduleli Mengi sema ndo hivo tea mpaka ukute huyo Abduleli nae anakupenda, n a sister cant remain single for life ndo maana watu wana settle for less coz hukuandikiwa vikubwa! So either ukubali vidogo au ukose kabisa!

UKISIKIA PAH! UJUE LIMENIPATA! TENA USONI! HAHAHAAAAAAAAAAA!
ohooo this is getting too personal?Kwani mna ugomvi?
 
Source kungwi lao fb!
Mrembo by nature wewe ndo nani kule fb nadhani kuna sehemu tunagongana mle
 
Aloandika hiyo mada kama sikosei na mama mmoja ambae ni mshauri wa mahusiano by proffesional .mimi namfahamu mume wake .na mimi ni mwanafunzi mzuri tu wa huyo mama...ana ndoa nzuri sana na maisha yake huwa yananibariki sana lara nikupe no yake?
mhhhhhhhhhhhhhh! Ninahmu sanaa ningemuona huyo mtoa mada na nimuone huyo bwana ake anaejitambia hivo!!!!!!!!!!? In god we trust but in humans we investigate further! Ili kujirizisha yaliyomo yamo! Maneno yote hayo ukute amafuga huyo mwanaume! Haloooooooooo!!!!!!!!!!!! Raha ya soxi kiatu!!!!!!!!

Aliyosema hayana uzani wala ghani! Utratra ni kuwa unaempenda wewe not necessary nae anakupenda! Vice versa is vere true!!!!!!!!!!

Either way we are all victims of circumstances, fate, karma, and destiny!!!!!!!!!! As much as we try we can never cheat our fate!!!!!!!!!!!!!!!!! "lililoandikwa limeandikwa!!!!!!!!!!!"
 
Back
Top Bottom