Salam za magharibi: Kuzisoma lazima comment hiyari

Salam za magharibi: Kuzisoma lazima comment hiyari

Binti Magufuli

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2011
Posts
7,479
Reaction score
5,161

Salamu hizi ziwafikie wote popote mlipo kwa ujumla wenu
Umekazana kuwaambia marafiki zako 'Siku hizi hakuna Mapenzi ya dhati watu wote Majanga tu',nani amekwambia hayapo??Yapo sana ila wewe unatumia mbinu tofauti..Huwezi kusoma Degree ya Law halafu u-apply kazi ya Chief Accountant wa Bodi ya Tumbaku...Kila siku utasingizia Balance Sheet haina Jurisprudence..Lawyers mmenielewa!

Acha kudate watu wasiojielewa,Usidate kwa sababu uko lonely,Usiwe desperate kuingia Mahusiano kwa sababu shosti zako wanakusimulia walivyopelekwa Ruwenzori Waterfalls..Ingia kwenye Mahusiano pale Moyo wako ukiwa tayari na mtu uliyemfia kihisia na amekuwa approved na Veins,Auricles,na Aorta za Moyo wako kwamba He/She is really the One..
Unadate na mtu ambaye mustakabali wake mwenyewe haujui,ukimuuliza anataka kuwa wapi ndani ya miaka 5 ijayo anakwambia Mungu anajua dont worry,halafu BBM na Instagram unajiita Baby Ake Mie Iam in Love..Utaishia kufua boxer hadi kucha zinukie gololi!

Mbwa kamwe hashughuliki na kesi za Paka kufungiwa kabatini.Date the Right Person,With Right reasons,in a Right Time uone kama Mapenzi hayapo.
Kama hujaelewa leo utaelewa kesho, na kama una swali utauliza siku ingine.
Nimemaliza!...................................

 
N....!!!!!.jpg
mi naongezea hapo.........,
 
Nisichotaka kukifanya ndicho nikifanyacho....nikifanyacho ndicho sikutakiwa kukifanya

Nimemaliza kunukuu
 
Mhhhhhhhhhhhhhh! Ninahmu sanaa ningemuona huyo mtoa mada na nimuone huyo bwana ake anaejitambia hivo!!!!!!!!!!? IN GOD WE TRUST BUT IN HUMANS WE INVESTIGATE FURTHER! ILI KUJIRIZISHA YALIYOMO YAMO! Maneno yote hayo ukute AMAFUGA huyo mwanaume! Haloooooooooo!!!!!!!!!!!! Raha ya Soxi Kiatu!!!!!!!!

Aliyosema hayana UZANI wala ghani! Utratra ni kuwa unaempenda wewe not necessary nae anakupenda! Vice versa is vere true!!!!!!!!!!

EITHER WAY WE ARE ALL VICTIMS OF CIRCUMSTANCES, FATE, KARMA, AND DESTINY!!!!!!!!!! AS MUCH AS WE TRY WE CAN NEVER CHEAT OUR FATE!!!!!!!!!!!!!!!!! "LILILOANDIKWA LIMEANDIKWA!!!!!!!!!!!"
 
Hahahahahahahahah mjini hapa. madesperado wanaingia kwa relationship kila wakiuliza kwani mambo lini wanaambiwa Mungu ndio anajua ,,.......wanamsingizia Mungu wakati mioyoni hawajawapenda walio nao....shenzzzzzzzzzy type
 
Mrembo by Nature umeongea ukwelim mtupu true love inaexist. Umemaliza kila kitu sina cha kuchangia asante sana.
 
Last edited by a moderator:
Niongezee font basi
Kweli kabisa nashindwa kusoma

Mamii, umefoka hadi nimeogopa keyboard yangu, utadhani namwona unayemwambia, mmh!
Acha nikimbize ubawa wangu
 
Mhhhhhhhhhhhhhh! Ninahmu sanaa ningemuona huyo mtoa mada na nimuone huyo bwana ake anaejitambia hivo!!!!!!!!!!? IN GOD WE TRUST BUT IN HUMANS WE INVESTIGATE FURTHER! ILI KUJIRIZISHA YALIYOMO YAMO! Maneno yote hayo ukute AMAFUGA huyo mwanaume! Haloooooooooo!!!!!!!!!!!! Raha ya Soxi Kiatu!!!!!!!!

Aliyosema hayana UZANI wala ghani! Utratra ni kuwa unaempenda wewe not necessary nae anakupenda! Vice versa is vere true!!!!!!!!!!

EITHER WAY WE ARE ALL VICTIMS OF CIRCUMSTANCES, FATE, KARMA, AND DESTINY!!!!!!!!!! AS MUCH AS WE TRY WE CAN NEVER CHEAT OUR FATE!!!!!!!!!!!!!!!!! "LILILOANDIKWA LIMEANDIKWA!!!!!!!!!!!"

ni wapi kamsifia bwana ake.......?
 
Niongezee font basi
Kweli kabisa nashindwa kusoma

Mamii, umefoka hadi nimeogopa keyboard yangu, utadhani namwona unayemwambia, mmh!
Acha nikimbize ubawa wangu

Nimekubadilishia font......
 
Back
Top Bottom