Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 77,371
- 111,682
Hapo nakusoma
BAck to topic
Mbona umekuwa mkali hivyo?
But you have a point
Konnie mbona umepatwa na mshtuko....
Hayo maneno tu muhimu ujumbe...
Hapo nakusoma
BAck to topic
Mbona umekuwa mkali hivyo?
But you have a point
Unaitwa E. M. U
Hahahahaaa! baaaaado, ila nidai zawadi.
Neno kuntu.....ahsante mrembo!!!!!
Wapi my gift?pulizzzzzz
Your gift is right here, come-pick it. plzzzzzzz, nakusubiri bestito.
Hahaaa.... yeah, mtaa wa M.
fia.. teh!
Huhuhuhuhuuuu ngoja nibadili kicheko........vipi washkaji wa MH2 mnaonana ?
Teh! Mrembo by Nature
unaakili sana besti, unataka kunichota akili sio! MH2 na washkaji zake nishawasahau kabisa yani.
lara jembe langu mbona kauli ya mtoa mada inaeleweka kabisa na tena inafundisha sana tu na wala haimoffend mtu jaman.tena inaeleweka sana tu na ni jambo la kujifunza.au limekugusa my dia.
mtoa mada umenifurahsha sana tena sana mapenz saa nyngne si kukurupuka.
noted,umeeleweka na ujumbe umefika.
ukisikia paaaaaaah........

Hahaaaaaaaaaaaa! Ni mtazamo tu!!!!!!!!!!
Mhhhhhhhhhhhhhh! Ninahmu sanaa ningemuona huyo mtoa mada na nimuone huyo bwana ake anaejitambia hivo!!!!!!!!!!? IN GOD WE TRUST BUT IN HUMANS WE INVESTIGATE FURTHER! ILI KUJIRIZISHA YALIYOMO YAMO! Maneno yote hayo ukute AMAFUGA huyo mwanaume! Haloooooooooo!!!!!!!!!!!! Raha ya Soxi Kiatu!!!!!!!!
Aliyosema hayana UZANI wala ghani! Utratra ni kuwa unaempenda wewe not necessary nae anakupenda! Vice versa is vere true!!!!!!!!!!
EITHER WAY WE ARE ALL VICTIMS OF CIRCUMSTANCES, FATE, KARMA, AND DESTINY!!!!!!!!!! AS MUCH AS WE TRY WE CAN NEVER CHEAT OUR FATE!!!!!!!!!!!!!!!!! "LILILOANDIKWA LIMEANDIKWA!!!!!!!!!!!"
Kwa unavyotaka kuelewa...ila mantiki wala sio hiyo uliyoiweka hapa. Hapa ni kukumbushana tu kwamba usiingie kwenye mahusiano kwa sababu tu flani anafanya ila ingia kwa sababu una sababu, na kweli unapingia panakufaa
Lara1 upo 100% right.
haya mambo ya mapenzi bwana hakuna cha kujifanya eti unaweka mipango mikakati au mipango endelevu, hapa tunajitosa tu then unachek mzigo upo vipi!
ukijifanya unajua sana eti ku-date right person ndo yale yale ya , UKICHAGUA NAZI MWISHOWE UNAONDOKA NA KOROMA.
Ah mie naangalia tu vile basic tu, like muonekano, mkwanja na ucheshi wake mengine badae sanaaaaaaa
ISHU NI KUWA HIO MIPANGO YAKO JE THE GODS NAO WAMEKUPANGIA HIVOOOOO!!!!!!!!!!!!!!!! Ndo linainggia swala la Fate, Destiny na Karma, we unaweza kuwa una mpango umpate HB udongo wa ugiriki, Je wewe mzuri kihivyoooo kuweza kudemand hayo!
Reality is always very cruel! Wshing is free lakin turning ya wishes to reality ndo challange!!!!!! Vigezo vikali mwisho unabakia mwenyewe!!!!!!!! Chezeya vigezo na masharti kuzingatiwa??????
Haya mambo bahati tu! Usipobahatika unazoa tu yeyote.
risky hapo. wadada/kaka wengine wakijua "umefia" kwao wanakutreat ovyo. utasikia wakisema "nimemuweka kiganjani". hapa hatoki
.......Ingia kwenye Mahusiano pale Moyo wako ukiwa tayari na mtu uliyemfia kihisia na amekuwa approved na Veins,Auricles,na Aorta za Moyo wako kwamba He/She is really the One..
....