Salaamu kwa Wanaume.

kwahiyo wewe mkeo or manzi wako unampea hela au humpi
zawadi unampa au humpi ?
unasubiri akuombe au unampa ukijskia?
 
Dah afadhali umenisaidia kumjibu maana mimi nachoka kabisa na wanaume bahili kwa visingizio vya umaskini mindset
 
"mwanaume ana buti pair moja ila mke wake ana viatu pair 20 na pochi 15,huu ni upendo wa ajabu na kushangaza,!"

Unakuta mwanaume anamlea mwanamke aliyekuta nae tu ukubwani utadhani amemzaa,kila kitu anampa kwa wakati

OK !
 
Inabidi na wanawake nao waanze kuwahudumia wanaume, hiyo ndio haki sawa
 
Hujalazimishwa kuhudumia,Wewe baki na mindset yako ya kitajiri acha wana -mume wahudumie wanawake zao,nilishasema leo hizi salamu ni kwa wanaume na sio wenyeume...
 
yes ukifanyiwa hivyo usiwe feminist oh sijui mfumo dume oh haki sawa kwa wote.

akikufanyia hivyo alafu akakuambia ngonoka unatii bila shuruti
 
kwahiyo wewe mkeo or manzi wako unampea hela au humpi
zawadi unampa au humpi ?
unasubiri akuombe au unampa ukijskia?
Kwa essay anayotoa huyo mpenzi wake kazi anayo ni Saccoss mkopo kwa kwenda mbele
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…