🤣🤣🤣🤣🤣My dia,Mungu akuepushe na hiyo type akukutanishe na mwana -mume,utalelewa hadi unajiuliza au huyu ni baba yangu mzazi jamani?Naunga mkono hoja Wallah wa billah🔥🔥 ngoja tuendelee kua strong woman mpka siku tukutane na Mwana -mume
Ila ukikuta na sample ya Natafuta Ajira utazeeka ukiwa strong woman 🤣🤣
Acha basi mahi u strong woman wote unaweka kapuni una enziwa 😍💋🤣🤣🤣🤣🤣My dia,Mungu akuepushe na hiyo type akukutanishe na mwana -mume,utalelewa hadi unajiuliza au huyu ni baba yangu mzazi jamani?
Ila tuseme ukweli kwenye hiyo quote huyo jamaa wa buti moja siku akibaini anachapiwa atajiuwa. Niwe mkweli siwezi kumnunulia mwanamke vyote hivyo ilihali namiliki boxer mbili na buti moja, NO.Huyu hizi salamu zimpite mbali kama mashariki na magharibi haya ni maji marefu😂😂hapa akija atafungua uzi ndani ya uzi
Hupendi kuhudumiwa na hela ya mwanaume huku gazeti zima linasifia wanaumeme wanajitoa kwa ajili ya wanawake!!!Hellooo gud pipo,na bad pipo natumai mko poa sana jumapili tulivu ya leo,mimi shemeji yenu niko poa kabisa ila leo nina salamu zenu wanaume. Leo nitatuma salamu zangu kama" Ex Strong woman",miaka michache nyuma niliwahi kuwa strong woman niliyepambana na kutothamini michango ya mwanaume kwenye maisha ya mwanamke, ila nivyostaafu u strong woman nikajaelewa mwanamke yeyote ataendelea kuwa "strong woman mpaka pale atakapokutana na Mwanaume,elewa neno Mwana-mume!
Kwanza kabisa,nikisema nina salamu za wanaume sio wanaume wote,huu uzi ni kwa wanaume wapambanaji wenye uwezo wa kutafuta na kutunza familia na jamii yake,wanaume ambao sio wachoyo,wanaume wanao sacrifice kwa ajili ya wengine Mungu awabariki sana na awatie nguvu unapohisi kuchoka,
Unakuta mwanaume anamlea mwanamke aliyekuta nae tu ukubwani utadhani amemzaa,kila kitu anampa kwa wakati,mfano jirani yangu hapa mwanaume ana buti pair moja ila mke wake ana viatu pair 20 na pochi 15,huu ni upendo wa ajabu na kushangaza,!
Unakuta mwanaume anamtunza mkewe na mwanaume huyohuyo Ukiachana na mke wake unakuta ana michepuko mitatu yote anahudumia,hakika nyinyi ni mashababi kabisa!Mbarikiwe sana ukiona unaangukia kwenye kundi hili ujue NAKUPENDA SANA endelea na moyo wako mzuri
Huu uzi hauwahusu wale wanaume waoga wa majukumu na wachoyowachoyo nyie uzi wenu siku nyingine nitawqpa salamu zenu.
Heshima kwenu wapambanaji!...!
Joanah ndio mdada pekee jf nzima asiyependa kuhudumiwa na hela ya mwanaume,nyie wengine acheni uongo😂
😂😂😂Off target ya nini wakati Joannah keshavunja defense yote, bado unataka uwape tabu tu
😂😂 ukiiandaa makala hiyo kilio kiko pale pale🤣🤣🤣🤣J wewe ni special case naanda makala yako binafsi
Misukule hiyo au chuma ulete, hakuna la maana hapo. Mtu anavaa jinzi moja mwaka mzima alaf badae unamsifia eti h3la kakununulia wewe madera. Huyo sio mwanaume huyo kiaz kitamKweli kabisa wanaume supportive na provider walindwe kwa wivu mkubwa..!!
Hata mwanamke mwenye akili hawezi kukubali mwanaume wake awe na kiatu kimoja huku yete awe na pairs 20.Misukule hiyo au chuma ulete, hakuna la maana hapo. Mtu anavaa jinzi moja mwaka mzima alaf badae unamsifia eti h3la kakununulia wewe madera. Huyo sio mwanaume huyo kiaz kitam
Toka zako wanaume mmeumbiwa mateso 😹Misukule hiyo au chuma ulete, hakuna la maana hapo. Mtu anavaa jinzi moja mwaka mzima alaf badae unamsifia eti h3la kakununulia wewe madera. Huyo sio mwanaume huyo kiaz kitam
Mdogo wako nnae m1 tu na sio chuma ulete.Lakini kuna kaka zako wakubwa wana michepuko mitano na wanajenga magorofa,michepuko ina chechemua maendeleo ya mwanaume😂
Hata mwanamke mwenye akili hawezi kukubali mwanaume wake awe na kiatu kimoja huku yete awe na pairs 20.
Ila tuseme ukweli kwenye hiyo quote huyo jamaa wa buti moja siku akibaini anachapiwa atajiuwa. Niwe mkweli siwezi kumnunulia mwanamke vyote hivyo ilihali namiliki boxer mbili na buti moja, NO.
Context sio gharama. Point ni wewe una kiiatu kimoja halafu mkeo 20. Yaani wewe hujijali na unaemjali hakujali.Mkuu viatu wanavyo semea ni vile vya 5500, Ukipita Barabsrani unakuta vimemwagwa.
maanake ukiwa na 55,000/= unanunua 10 pair na nyongeza moja.
Maisha ya wanawake ni simple sana.
I am afraid this sounds more like poverty anxiety than anything else.Hellooo gud pipo,na bad pipo natumai mko poa sana jumapili tulivu ya leo,mimi shemeji yenu niko poa kabisa ila leo nina salamu zenu wanaume. Leo nitatuma salamu zangu kama" Ex Strong woman",miaka michache nyuma niliwahi kuwa strong woman niliyepambana na kutothamini michango ya mwanaume kwenye maisha ya mwanamke, ila nivyostaafu u strong woman nikajaelewa mwanamke yeyote ataendelea kuwa "strong woman mpaka pale atakapokutana na Mwanaume,elewa neno Mwana-mume!