Blaza si wanasema as above so below. Hayo hayo ya mbinguni ndo hayo ya duniani πKwa hiyo huo mstari unazungumzia mwanamke kwenda kwa mwanaume? ππ
Ama umeamua kufosi bro? π€£
It's chai man ππAchana na Mimi braza π
Huwezi kunichonganisha na Lamomy huyo ni mzaramo mwenzangu wa mwanalumango,hana bayaMom,
Nashauri kumuamini Mungu pekee.
hawa wengine ni trojan horse tu, na ni vizuri utathimini upya na uchunguze vizuri kwa makini na bilashaka yoyote, utakuja kunishukuru.
Na sio kwamba nawachonganisha, la hasha, bali dhamira yangu ni kuwaimarisha zaidi katika roho na kweli π
πKhalas,πIt's chai man ππ
Mwandiko wakoπ€£π€£π€£mimba imeingiaje tena hapa
Wewe si ulinikazia muda ule kunikumbusha jina lake π€£Aah mmekutana tena π
Blaza si wanasema as above so below. Hayo hayo ya mbinguni ndo hayo ya duniani π
Machawa wote nna hasira nao πΉMom,
mbona daima mimi hua naeleza ukweli mtupu tu jukwaani, tena ni kwenye mambo ya msingi tu?
Labda kuna watu wanakupotosha hasa Lamomy maana saa zingine hua ananikasirika bure tu. kua nae makini sana huyu akieleza chochote kunihusu π
hasira hasara π¦¬Machawa wote nna hasira nao πΉ
naona kamba zimeanza sasa, maskini Mama yangu dah!π€£Hiyo chawa hana akili usimsikilize sis πΉ
Wewe inatakiwa tukuchape viboko unazingua sana na tabia za kichawa..!!naona kamba zimeanza sasa π€£
nikukazie hicho kichwa Razor siwezi mkuuπππWewe si ulinikazia muda ule kunikumbusha jina lake π€£
Kajileta sasa π
nadhani sihusiki na hiyo dhana potofu kwa namna yoyote ile πWewe inatakiwa tukuchape viboko unazingua sana na tabia za kichawa..!!
Fuatilia maneno yangu tu na sio kunifuatilia mimi broπBro hii umeniingiza chaka
Lakini....nitakufuatilia π