Salaah (Silent Ocean) mrejeshee Kijana uliyetaifisha mali zake, nakupa saa 72

Said Alikua Mkorofi sana...akamwagiwa Tindikali mpaka leo ni kilema usoni....

Kashfa unayotaka kuleta inajulikana,kashfa ya kuwapa hela hapa unaichukulia china au dubai ni ishu ya kawaida sana..enzi ya Magu matajiri wengi waliitumia..yaani ipo hivi...uko dubai au china na unataka kuingiza hela bongo..unawapa hela china...saa hiyo hiyo unapewa bongo...

Wale ni wachafu na sasa hv wana nguvu kwasababu ya Mr. Born Town...
Hivi jamaa wa msoga anaweza vipi jihusisha na Hawa watu.

Hata kama kwa maslahi yake ila hao watu naona wamezidi kwa uchafu na madhambi ya Kila namna

Msoga king kwa umri wake uliofika alasiri anapaswa kujitenga na Hao jamaa kama kweli ana back up kwenye mbishe zao nyeusi.

Bado Sina uhakika ushiriki wake.
 
Kama umedhulumiwa mali Yako na ukiangalia huwezi mfanya lolote mdhulumati sababu mazingira yanampendelea.

Tafuta na wewe njia haramu peleka kilio kwake

Ila kama imekuuma sana moyo na unaona kabisa huwezi vumilia

Kuna watu ni wapole sana ila Siku ukimtibua ndio utajua kuwa hata shetani aliwahi kuwa malaika.

Mimi ikija tokea siku wakanifanyia ubaya ubayani yaani ikaa affect maisha yangu completely aisee simwachi mtu nitalipiza maradufu chamoto atakiona sitomuua ila lakini ajutie maisha yake yote yaliyobakia duniani.

Nitamwinda kama digidigi anavyomwinda swala hadi aingie kwenye 18 zangu.

Kuna watu wanaona sifa kuumiza wenzio Kila siku kisa wanyonge anatakiwa aibuke mnyonge mmoja atelekeze mkakati wake barabara! Ili madhalimu nao waipate waipate fresh.
Kuna watu huwawez kwa hela, kwa uchawi na umafia mda mwingine inabid ukubali
 
Kuna watu huwawez kwa hela, kwa uchawi na umafia mda mwingine inabid ukubali
Yule kaka yao nae si alikuwa untouchable.

Wahuni wakapita nae kiaina ushawahi msikia hadharani.

Ukiwatesa sana watu watatafuta gepu wanapita na wewe kwa namna inayofaa iliyo ndani ya uwezo wao.

Labda uwe unayeyuka.

Otherwise ukikutana na wenye visasi walijisusa waliochoka mateso wanapita na wewe hivi hata uwe unalinda na mabaunsa au mitutu.

Tuache dhuluma hazifai. Na kudhuluma uhai wa watu na dignity zao.

Just wanakukodishia baunsa wale kinyeo chako halafu unakubali yaishe eti kisa huwawezi kudadeki ingekuwa Mimi natoka na roho ya mtu hakynani. Sikuachi kizembe.
 
Yule kaka yao nae si alikuwa untouchable.

Wahuni wakapita nae kiaina ushawahi msikia hadharani.

Ukiwatesa sana watu watatafuta gepu wanapita na wewe kwa namna inayofaa iliyo nje ya uwezo wao.

Labda uwe unayeyuka.

Otherwise ukikutana na wenye visasi walijisusa waliochoka mateso wanapita na wewe hivi hata uwe unalinda na mabaunsa au mitutu.

Tuache dhuluma hazifai. Na kudhuluma uhai wa watu na dignity zao.

Just wanakukodishia baunsa wale kinyeo chako halafu unakubali yaishe eti kisa huwawezi kudadeki ingekuwa Mimi natoka na roho ya mtu hakynani. Sikuachi kizembe.
Sio rahisi hivyo unafikiri wao hawajui kama wanawindwa kwa sababu ya matendo yao wanajua sana siwatetei ila sio rahisi
Mambo mengine unaachia nguvu za asili zitafanya kazi
 
Yule kaka yao nae si alikuwa untouchable.

Wahuni wakapita nae kiaina ushawahi msikia hadharani.

Ukiwatesa sana watu watatafuta gepu wanapita na wewe kwa namna inayofaa iliyo ndani ya uwezo wao.

Labda uwe unayeyuka.

Otherwise ukikutana na wenye visasi walijisusa waliochoka mateso wanapita na wewe hivi hata uwe unalinda na mabaunsa au mitutu.

Tuache dhuluma hazifai. Na kudhuluma uhai wa watu na dignity zao.

Just wanakukodishia baunsa wale kinyeo chako halafu unakubali yaishe eti kisa huwawezi kudadeki ingekuwa Mimi natoka na roho ya mtu hakynani. Sikuachi kizembe.
😃😃😃😃😃😃
 
Huu uzi ndiyo utatoa tafsiri fasaha ya kwamba NGOZI NYEUSI INA LAANA YA MILELE!.

Nasubiri hayo masaa 72 ili nishushe Nondo za ukweli.
Usiichukie sana ngozi nyeusi.

We mwenye ushashuhudia hizo mbishe nyeusi nyeusi kwa Ali mpemba bro wake Zahra/mayah.

Ili ngozi nyeupe ije kutuheshimu ni lazima tuende nayo perpendicular.

Tuache unyonge

Nimeona Jana tShisekedi kamkazia macron mbele ya waandishi wa Habari. Ndivyo inavyopaswa kuwa ukiona uhushimiwi uhitaji diplomasia.
 
NGOZI NYEUSI INA LAANA YA MILELE

Huwezi nielewa hadi yakukute ndipo utanielewa,Hii ngozi ina laaana ya milele na kamwe siwezi kuikubali ngozi nyeusi japo kuwa mimi ni mweusi,weusi wanapaswa kufa duniani watoweke maana ni laana
 
Sio rahisi hivyo unafikiri wao hawajui kama wanawindwa kwa sababu ya matendo yao wanajua sana siwatetei ila sio rahisi
Mambo mengine unaachia nguvu za asili zitafanya kazi
Mi ikitokea mtu Akala kinyeo simwachii Mungu akyanani nakupitishia hukumu hapa hapa duniani. Iwe Leo au 2030 huko ila hukumu lazima uipate.

Kinyeo changu ni agano langu la uanaume wangu na urijali wangu niliopewa Mungu.

Hata Mungu atanielewa nafikiri.

Nakutanguliza huko huko nitakukuta
 
Back
Top Bottom