tototundu 1
Senior Member
- Mar 8, 2013
- 138
- 36
....ndo watamjibu ndoa ipo mbele au nyuma!!!!!!!
wee ndoa ipo kotekote
....ndo watamjibu ndoa ipo mbele au nyuma!!!!!!!
(ndo maana inasisitizwa liwe tendo la ndoa, i.e. kwa wanandoa tu umesikia Heaven on earth?). baadae mnaambiana haya tuanze, lol!
Hili ni jambo gumu hasa kutokana na malezi yetu kuwa hili ni tendo la "aibu" ,kama tungelelewa vingine ingekua kawaida tu!
Warmly welcome mkuu. Tunaelimishana huku tunaburudishana.Yaani nimechekaje baada ya kuisoma hii.....hahaaaa! hakya nani.duh haha!
hii sala inawafaa walio katika ndoa
Acha bhana! wewe huwa unatumia kotekote?wee ndoa ipo kotekote
Himidini mi bora niwe mkweli kusali na sali ila pale ufahamu ukishanitoka ndio nashusha verse balaa like Oog God jamani nashukuru kwa kunipa mume mtamu naomba umbariki anizidishie jamani nisishawishike na mwanaume wa aina yoyote.......! Huku shughuli ikiendelea....
hii sala inawafaa walio katika ndoa
Sasa mtu afanye uasherati alafu asali tena! mi nadhani walio kwenye ndoa tu ndo wasali, wengine wale tundi tu manake kwanza hiyo kwa Mungu ni dhambi.
Taz, sala yako nimeisoma mara2 mbavu sina, wee mkali kwa maombiSala kabla ya tendo la ndoa? hahahaha, I'm not sure it's a good idea! you be like:
Bwana tunakuomba utuwezeshe tendo hili tunalo taka kushiriki katika jina lako
Yutangulie, eh bwana, na utuhepushe na pepo zote zinazo wesha kutokosesha malengo yetu
Tunakemea katika jina lako tukufu pepo zote za dushelele kuishiwa nguvu baada ya goli la kwanza
Bwana tupe nguvu ya kushinda pepo la primaturity linalo shusha mbegu baada ya dakika chache
Tunakemeaa na kuzifungia pepo za STD, za Ukimwi, na pepo la magonjwa mengine ya zinaa.
Waongoze wageni wetu, eh bwana, wasije piga hodi wakati bado tunashiriki tendo hili tukufu,
Msaidie partner wangu huyu afurahie tendo kama nitakavo furahia mimi. Nipe inspiration eh Bwana
ya kuweza kumridhisha mwenzangu, kabla ya kumuingilia, wakati wa kumuingilia na kisha kumuingilia
Bwana tupe nguvu ya kushinda vishawishi vya kujipoteza njia wakati tunajua njia halali ilipo,
Bwana tupe nguvu ya kutovuta picha za wake za watu wakati umebariki kua na wake zetu wa ndoa
Na ikikupendeza eh bwana wa mabwana, Mungu muweza vyote, mchezo huu usife bure, tuzae mtoto.
Amen.
Sometimes ukitingwa nikiasi cha kusogeza tule tukamba kando unakula chakula kwanza utamu ukikolea kwenye kubadili mkao/wenyewe wanaita miondoko ndiyo unatuvua kabisa maana ukitoka na twenyewe tunaweza kurudi na kuziba njia, halafu ikawa shughuli meli kugonga ukingo.Hata kulifikiria sijawahi..haha! wengine hata wasaa wa kuvua pichu wanakosa, leo unawashawishi wasali?..
Sometimes ukitingwa nikiasi cha kuusongeza tule tukamba twenu kando unakula chakula kwanza utamu ukikolea kwenye kubadili mkao/wenyewe wanaita miondoko ndiyo unatuvua kabisa maana ukitoka na twenyewe tunaweza kurudi na kuziba njia, halafu ikawa shughuli meli kugonga ukingo.
wee ndoa ipo kotekote
Kwa kuepuka hilo itabidi uwe unaombea asubui ili ikitokea hii mikitu basi isikubananishe na maombi na hutajifeel gilt. Yaani kama naziona sms zenyewe halafu kila mara unaitizama na kuirudia rudia kuisoma. Nakumbuka Enzi za uchumba kila ukipita karibu na kisteshenari lazima ununue kadi na huachi kuongeza maneno. Nakumbuka kipindi hicho nilikua nafanya kazi basi nikiwa ofisini lazima nitengeneze kadi kwa kuchora na maneno kibao . Siku hizi ni mwendo wa sms tu.
Mlikumbuka na kupulizia pafyumu hizo kadi na barua zenu jameni, maana mimi nilikuwa na shughuli ya kununua pafyumu mara kwa mara kwani ilikuwa ina kazi nyingi.ha haaa, bora wewe ulikuwa mfanyakazi na una hela za card, wengine tulikuwa wanafunzi, mbona tulijifunza art bila kutaka! ila sms zimeondoa ladha yooote ya yale mambo jamani
^^
Tukiweka kando sala au maombi ya pamoja ktk familia hususani ya usiku,baba,mama,na watoto n.k Imeelezwa kuwa wanandoa au wapenzi tu wanapokuwa chumbani kwao Kabla ya kuvamia kitanda kwa ajili ya tendo la ndoa,,wanaposali kwa adabu kuombea tendo hilo husaidia sana kufurahia kukutana kwao kimwili.
^^
Faida nyingine zinazotajwa ni pamoja na kuondoa kabisa tofauti ndogo ndogo ktk mahusiano yao kama juu ya watoto,pesa,na mengineyo.
^^
Nao wanasaikolojia Mc Grath na Gregoire N,wanasema kuwa tendo la ndoa hushikamana na akili zaidi hivyo linapounganishwa na imani bila shaka huleta matokeo mema.
Wao wanaenda mbali zaidi na kushauri mwanamke awe wa kwanza kuanzisha hoja hii kila kabla na baada ya tendo hili maana
"..Mwanamke humwona Mungu kama wa kuaminika zaidi na mahali pa kutafuta usalama,,lakini mwanaume humwelekea zaidi Mungu kwa kutumia akili yake..."
^^
Wana MMU sijui ni wangapi na akina nani wanaweza fanya hivi walau mfululizo kwa mwezi? Jaribu sasa pengine ugomvi na kutoridhishwa kutapungua au kuisha kabisa.
^^
Mkuu tule tupichu twa tukamba hatuna umri wa kuvaa. Kuna siku nilikuwa duka moja mitaa ya Posta akaingia mama mmoja mkubwa kiumri zaidi yangu tu akamaugiza mwenye duka, " nipe ule mzigo wangu wa kila siku". Nikashangaa muuzaji akimfungia uto tupichu twa kamba. Ikabidi nichekeleee kimoyo moyo tu, nikasema ama kweli fasheni haina umri.Ntake radhi mkuu... yaani huoni ndevu zangu! teh..
Mkuu ahsante kwa kulielewa hilo.kama unaiba ndo uombe hata mungu akusamehe,ila kama ni tendo la ndoa limeshabarikiwa siku ya ndoa unabariki nn tena kama sikutafuta dhambi