Sala kabla ya tendo la ndoa...

Sala kabla ya tendo la ndoa...

Sala yao kwa Mungu ni kumchukiza zaidi bora wamwombe shetani ili afurahi zaidi
Umezidi kunichekesha rafiki.Mimi naona waomuombe tu Mungu sasa inabidi wasiombe Baraka bali waombe hivi Bwana tunajua hupendezwi na tendo hili lkn sis tumeamua kukaidi tunaomba utupe neema ya kuacha huu mchezo na pia wakati huu wa kuanza tendo hili tunaomba uje ushudie tunavyovunja amri yako kwa makusudi. Kisha waanze huo mchezo mchafu.
 
sawa mama mchungaji..... tupo pamoja
Si unakumbuka kua wakati mwingine unamuwaza mwenzi wako kwa kumtamani . Na tunaambiwa kutamani ni sawa na tendo sasa hapo huwa kuna kuomba kweli. Yaani hufikia wakati ukawa unamkumbuka sana mwenzi wako na pengine hata kutumiana sms nzuri zilizojaa mahaba.
 
ha haaaa, usinitendeshe dhambi rafiki, bado sijaomba, lol!
 
Kwa kuepuka hilo itabidi uwe unaombea asubui ili ikitokea hii mikitu basi isikubananishe na maombi na hutajifeel gilt. Yaani kama naziona sms zenyewe halafu kila mara unaitizama na kuirudia rudia kuisoma. Nakumbuka Enzi za uchumba kila ukipita karibu na kisteshenari lazima ununue kadi na huachi kuongeza maneno. Nakumbuka kipindi hicho nilikua nafanya kazi basi nikiwa ofisini lazima nitengeneze kadi kwa kuchora na maneno kibao . Siku hizi ni mwendo wa sms tu.
 
ha haaa, bora wewe ulikuwa mfanyakazi na una hela za card, wengine tulikuwa wanafunzi, mbona tulijifunza art bila kutaka! ila sms zimeondoa ladha yooote ya yale mambo jamani
 
Hapana sikua na hela wala nini hapo nilikua nabana mpaka penalt we acha tu mbona tuna siri nyingi. Ili mradi darling afurahi. Ladha ya mapenzi imepunguzwa na mambo mengi kweli nakumbuka kulikua hakuna cell phone . Sasa hapo kama mmepanga kukutana na wewe ukapata dharura itabidi mwenzio asubiri mpaka akate tamaa ndio aondoke. Nakumbuka tulikua tunakutana kanisani sasa ikitokea hivi ilibidi aje mpaka home kuulizia kulikoni. Mapenzi ya vile yalikua na raha yake tulikua hatuitwi demu si unakumbuka.
 
Sala kabla ya tendo la ndoa? hahahaha, I'm not sure it's a good idea! you be like:
Bwana tunakuomba utuwezeshe tendo hili tunalo taka kushiriki katika jina lako
Yutangulie, eh bwana, na utuhepushe na pepo zote zinazo wesha kutokosesha malengo yetu
Tunakemea katika jina lako tukufu pepo zote za dushelele kuishiwa nguvu baada ya goli la kwanza
Bwana tupe nguvu ya kushinda pepo la primaturity linalo shusha mbegu baada ya dakika chache
Tunakemeaa na kuzifungia pepo za STD, za Ukimwi, na pepo la magonjwa mengine ya zinaa.
Waongoze wageni wetu, eh bwana, wasije piga hodi wakati bado tunashiriki tendo hili tukufu,
Msaidie partner wangu huyu afurahie tendo kama nitakavo furahia mimi. Nipe inspiration eh Bwana
ya kuweza kumridhisha mwenzangu, kabla ya kumuingilia, wakati wa kumuingilia na kisha kumuingilia
Bwana tupe nguvu ya kushinda vishawishi vya kujipoteza njia wakati tunajua njia halali ilipo,
Bwana tupe nguvu ya kutovuta picha za wake za watu wakati umebariki kua na wake zetu wa ndoa
Na ikikupendeza eh bwana wa mabwana, Mungu muweza vyote, mchezo huu usife bure, tuzae mtoto.
Amen.
hahahahaaa....no comment i like it.
 
Hapana sikua na hela wala nini hapo nilikua nabana mpaka penalt we acha tu mbona tuna siri nyingi. Ili mradi darling afurahi. Ladha ya mapenzi imepunguzwa na mambo mengi kweli nakumbuka kulikua hakuna cell phone . Sasa hapo kama mmepanga kukutana na wewe ukapata dharura itabidi mwenzio asubiri mpaka akate tamaa ndio aondoke. Nakumbuka tulikua tunakutana kanisani sasa ikitokea hivi ilibidi aje mpaka home kuulizia kulikoni. Mapenzi ya vile yalikua na raha yake tulikua hatuitwi demu si unakumbuka.
ha haaa, hako kajina kumbe na wewe kanakuudhi kama mimi? aisee mtu akitaka kuniudhi aniite demu..... kweli patachimbika, lol!
sasa nyie makutanio yenu yalikuwa church? hamkuwa mnamwogopa Mungu?
siku hizi kila kitu kiganjani tu, hakuna kusotea mapenzi, yanakuja kirahisi na yanaondoka kirahisi. kila mtu anashika kirago chake kwa muda anaoutaka, hakuna kubabaishana wala nini.
 
Mwenzangu unajua tulipendana sana sasa tuliweka mkakati wa kumheshimu Mungu na ili tuweze ilibidi tukutane kwenye public. Tulitafakari na kuona bora makutano yawe church basi tulikua tunawahi na kukaa kwenye zile ngazi tukisubiri misa na baada ya misa tulitembea pamoja mpaka home kwetu. Hatukumuogopa Mungu kwa sababu kipindi hicho tulikua tunamuhitaji kuliko kawaida na namshukuru sana Huyu Mungu alituongoza vema. Maanake sisi tulianzia chini sana sasa kila kitu chetu kilihitaji Baraka zake, si unajua ilivyo kuolewa na mtu ambae ndio kwanza kamaliza chuo halafu wote ni watoto wa mkulima.Wewe hawawezi kukuita demu bwana si tayari mtu mzima wa kutosha . Mimi rafiki hawa wanavyoitana demu kiukweli wananiudhi sana labda ni kwa sababu wanakua wanapotezeana muda ie wanakua hawako serious na hizo relationships. Hivi mchumba wako utamuita demu kweli
 
^^
FP na Ablessed
Tendo la ndoa ni takatifu na Chumba chako na mumeo ni mahali patakatifu,,
Jitahidi basi kufanya jaribio siku moja mje mtupe feedback,,si lazima iwe ndefu.
Wengine humkumbuka Mungu wakati wa kupeana migongo tu..
^^
 
Last edited by a moderator:
^^
MFANO WA SALA
..
MUME
Ee Mungu kila nikimtazama mke wangu huyu,
Nafikiria mbali sana.
Amenibadilisha katika Mengi,
Ee Mungu mmefanya yote kwa pamoja baba.
Ni mvumilivu,mpole na mengi.
Ubariki muungano wetu tunaouendea uwe wa kutuunga,tupe ubunifu ili uweze kutufikisha ktk furaha ya kweli.
..
MKE
Ee Mungu kila nikimtazama mume wangu nausifu uumbaji wako.
Ni msikivu,anajali,tunasameheana.
Tunakuomba utupe ujuzi na maarifa mapya tuweze kufaidi zawadi hii ya tendo tukufu.Tupate matunda mema kwa afya,furaha na upendo usiokinai
^^
FP snowhite Ablessed awp mimisa Lady doctor Passion Lady Eli79 Eiyer gfsonwin n.k
..
Jaribu hata kwa juma moja au ukishindwa andika sala yako i type uweke ukutani kwa chumba chako ili uwe unatazama na kuitamka kimoyo moyo,
Lengo si kumsanifu Mungu bali kuilainisha mioyo yetu migumu hii iweze kusamehe mambo madogo madogo ambayo baadae huzaa mambo makubwa.

Himidini mi bora niwe mkweli kusali na sali ila pale ufahamu ukishanitoka ndio nashusha verse balaa like Oog God jamani nashukuru kwa kunipa mume mtamu naomba umbariki anizidishie jamani nisishawishike na mwanaume wa aina yoyote.......! Huku shughuli ikiendelea....
 
Last edited by a moderator:
Kwa kuepuka hilo itabidi uwe unaombea asubui ili ikitokea hii mikitu basi isikubananishe na maombi na hutajifeel gilt. Yaani kama naziona sms zenyewe halafu kila mara unaitizama na kuirudia rudia kuisoma. Nakumbuka Enzi za uchumba kila ukipita karibu na kisteshenari lazima ununue kadi na huachi kuongeza maneno. Nakumbuka kipindi hicho nilikua nafanya kazi basi nikiwa ofisini lazima nitengeneze kadi kwa kuchora na maneno kibao . Siku hizi ni mwendo wa sms tu.

abblessed kumbe tuliingia jamvini/jf tarehe moja?i like that natafuta na wengine wa 19/03/2013 tuunde kamat tendaj
 
Himidini mi bora niwe mkweli kusali na sali ila pale ufahamu ukishanitoka ndio nashusha verse balaa like Oog God jamani nashukuru kwa kunipa mume mtamu naomba umbariki anizidishie jamani nisishawishike na mwanaume wa aina yoyote.......! Huku shughuli ikiendelea....

sala ni hii, Utujalie na Kutubariki tuanze salama tumalize salama na kila mmoja ashukuru kwa kile atachopata, Mapenzi yako ni mema tendo hili lizidi kutufanya kua imara ........
 
Last edited by a moderator:
hii sala inawafaa walio katika ndoa

Back
Top Bottom