Heaven on Earth
JF-Expert Member
- Mar 21, 2013
- 37,226
- 26,716
Hivi unaanzaje vile? . .Eee baba wa mbinguni tubariki tu . . . . . . Mh!malizia!!!
hahaaa yaani hata kumalizia ni mtihani......
ngoja nimalizie na amen tu
Hivi unaanzaje vile? . .Eee baba wa mbinguni tubariki tu . . . . . . Mh!malizia!!!
Wakati unachomeka sema Bismillah Rahman Rahim inatosha?
Tatizo tendo lenyewe lishachakachuliwa, watu wanapita milango ya nyuma!!!
kuna kuomba tena hapo????
kwa sisi tunaopiga juu ya tanki la maji!WALAHI hii itakuwa ngumu mjue!
ah!
hahaaa nilivyoona tu hiyo heading nimechekaje
ndoa kuombewa kama chakula makubwa.....
Sasa kama sio mke na mume,bado mtaliomnea hilo
tendo,sijui sala yake itakuwaje
Hili nalo neon. Mwiongozo unahitajika kutoka kwa mtoa mada wa jinsi ya kukabiliana na madhara ya sala kama hayaSasa kama chuma kikoli moto ukianza kuomba si kitapoa, na hata hicho chungu chenyewe si kitakauka wakati tayari kilishajaa maji. Hofu yangu unaweza ukajikuta umeanza kunena kwa lugha ukimaliza kila kitu kiko doro.
Kwanza ilishabarikiwa madhabahuni wakati nafunga ndoa ndio maana likaitwa tendo la ndoa takatifu hata Mungu anachukia tusipofanya
Nyie watu kwa kuuliza maswali magumu! Hamwezekanina anaechomekewa anasemaje sasa!!!!!!!!!
Mbona ulisahau kufumba macho wakati unaomba? nilikuona unanichungulia kwa pembeni ukisubiria kusema ameeeen. Hahahahahahahaaaaaaaaa
^^
Huoni Pengine itarudisha hofu ya uchakachuzi?
^^
Una maana gani hapo?
Sasa kama chuma kikoli moto ukianza kuomba si kitapoa, na hata hicho chungu chenyewe si kitakauka wakati tayari kilishajaa maji. Hofu yangu unaweza ukajikuta umeanza kunena kwa lugha ukimaliza kila kitu kiko doro
ha ha ha ameeeeen!!!!!!!!!!
Mbona ulisahau kufumba macho wakati unaomba? nilikuona unanichungulia kwa pembeni ukisubiria kusema ameeeen. Hahahahahahahaaaaaaaaa
Yaani nimechekaje baada ya kuisoma hii.....hahaaaa! hakya nani.duh haha!
Manjonjo yatakuwepo kweli?
Ha ha ha unaafiki kuombea hicho chakula?
Hata kulifikiria sijawahi..haha! wengine hata wasaa wa kuvua pichu wanakosa, leo unawashawishi wasali?..
kuna siku nilihudhuria ndoa fulani ndo nikasikia mchungaji anasisitiza hilo. inabidi mliombee kabla hamjafanya.....Sijawahi hata kufikiria kitu hiki....duh!
Hata hao wakoloni waloleta dini hawaifati kama sisi, kuombea tendo la ndoa?
Hivi mnaanzaje, hembu wataalam wa ndoa watujuze manake mi sielewi
Sijui hata unaombaje teh!
kuna siku nilihudhuria ndoa fulani ndo nikasikia mchungaji anasisitiza hilo. inabidi mliombee kabla hamjafanya.....
nikawaza labda wanafanya hivi..... mkiona miili yenu inaelekea kuanza shughuli inabidi mkumbushane kukaribisha uwepo wa Mungu katika jambo mnalotaka kulifanya. mnashikana mikono, mnaoombaaa, huku mmefumba macho (sasa sijui mnakuwa mmevaa kwanza nguo! maana kuomba mkiwa watupu, mmmmhhhh! mi sijui). mnakemea mashetani wasiingilie tendo lenu Takatifu (ndo maana inasisitizwa liwe tendo la ndoa, i.e. kwa wanandoa tu umesikia Heaven on earth?). baadae mnaambiana haya tuanze, lol!