Fixed Point
JF-Expert Member
- Sep 30, 2009
- 11,304
- 12,753
ha haaa, hivi yale mambo yanapoanza mtu waweza kumbuka kwamba kuna kuomba?Nilisoma posts zako za mwanzo na nakubaliana na wewe!
Mimi nadhani, kama mtu anasali aamkapo, wakati wa chakula na jioni kabla ya kulala inatosha kabisa..Mungu ameshabariki yote ambayo mtayafanya, ili mradi tu muombe na kushukuru asubuhi na jioni (hii ni kwa wanandoa, wengine wote ni dhambi, kwa hiyo wala tusijishughulishe kusali)
Au FP utengeneze mistari special, iwe sala fupi ili usichanganye gwaride kabla hujamaliza kusali..teh
sijui kwa wengine, lakini sisi wala hatujawahi panga kwamba sasa tufanye, huwa inatokea tu tunajikuta tumeshafanya, tulianzaje, hakuna anayeweza kusimulia, sasa hapo sala itakaa wapi? mwanzo hakueleweki, labda mwisho, lol!