siwezi kusema uongo.....
ikiwa mnaliendea tendo mkiwa wasafi kwa maana ndoa imefungwa kihalali either msikitini au kanisani, hiyo haina shaka.Himidini, kuombea tendo? Naona kama vile nitakuwahi namuita Mwenyezi Mungu aje ashuhudie ninachokifanya, kitu kinachonipa ugumu ndani ya moyo wangu kwa namna ninavyomfikiria huyu Mungu wangu mwingi wa rehema, ambaye kwa kudra zake, niko hai mpaka leo!
Kwa upande wangu, acha tu nile bila kuombea!!!
nasali sana ila sijawahi kuliombea hilo tendo^^
Kwako kusali ngumu eti?
^^
Hata kama umeoa ndoa ya kanisani?
Ndoa ya kanisani ni kubariki tendo, ndio maana wakinyimana wanashtakiana kwa baba paroko
mwelewe mtoa mada rafiki, amesema ombea tendo la ndoa, siyo ngono.
sasa unakuwa na kigugumizi gani kuombea tendo la ndoa? Mungu anajua unatakiwa kulifanya ili ndoa yako ikamilike, sasa kwa nini umwogope?
ha haaa, lol!My dia rafiki FP nimemuelewa vyema kabisa mtoa mada, na hata mimi nazungumzia ndoa na wala si ngono! Najaribu kufikiria yaani sijui ndo nimesimama au nimeinama au nimepiga magoti namuomba Mungu sijui ndo abariki mzigo au hata sijui naombaje ombaje!!! Hapana FP, hapana aisee ..... Mi siwezi! Kwangu naona ngumu sana!
UNAFIKIR UONGO!^^
Haa haaa Umenifurahisha sana
loo! kazi kweli kweli
^^
My dia rafiki FP nimemuelewa vyema kabisa mtoa mada, na hata mimi nazungumzia ndoa na wala si ngono! Najaribu kufikiria yaani sijui ndo nimesimama au nimeinama au nimepiga magoti namuomba Mungu sijui ndo abariki mzigo au hata sijui naombaje ombaje!!! Hapana FP, hapana aisee ..... Mi siwezi! Kwangu naona ngumu sana!
Yaani pamoja na kubariki ndoa kanisani lakini wapiii, moyo wangu mgumu!
Yaani pamoja na kubariki ndoa kanisani lakini wapiii, moyo wangu mgumu!
I understand, mie mwenyewe nope, siiwezi hii
Hivi unaanzaje vile? . .Eee baba wa mbinguni tubariki tu . . . . . . Mh!malizia!!!