Sala kabla ya tendo la ndoa...

Sala kabla ya tendo la ndoa...

Mlikumbuka na kupulizia pafyumu hizo kadi na barua zenu jameni, maana mimi nilikuwa na shughuli ya kununua pafyumu mara kwa mara kwani ilikuwa ina kazi nyingi.
hahahahahaha umenichekesha yes perfume ilikua lazima bila kusahau lips ie unapaka lipstick then unaibusu kadi sasa zile alama za lips zinaipamba kadi
 
hahahahahaha umenichekesha yes perfume ilikua lazima bila kusahau lips ie unapaka lipstick then unaibusu kadi sasa zile alama za lips zinaipamba kadi
Niliisahau hiyo, duuuh ahsante kwa kunikumbusha dada yangu.
 
^^
FP na Ablessed
Tendo la ndoa ni takatifu na Chumba chako na mumeo ni mahali patakatifu,,
Jitahidi basi kufanya jaribio siku moja mje mtupe feedback,,si lazima iwe ndefu.
Wengine humkumbuka Mungu wakati wa kupeana migongo tu..
^^
Je wewe huwa unasali kabla na baada ya tendo?
 
^^
FP na Ablessed
Tendo la ndoa ni takatifu na Chumba chako na mumeo ni mahali patakatifu,,
Jitahidi basi kufanya jaribio siku moja mje mtupe feedback,,si lazima iwe ndefu.
Wengine humkumbuka Mungu wakati wa kupeana migongo tu..
^^
Mimi bwana nisikudanganye ili nionekane labda mtu mwema kwa mtazamo wa wengine hapana . Siwezi kuuanzisha huu utaratibu kwa sababu naamini tendo lile lilishabarikiwa kilichobaki upande wangu ni utekelezaji tu. Nikianzisha huu mtindo wa kufanya maombi basi itabidi hata kabla ya kumfikiria mume wangu niwe nabariki kwanza. Kumbuka si lazima tendo lifanyike hata kwa kumuwaza mtu kwa kumtamani tayari ni kama tendo limetendeka sasa mmmmh hapana acha tu mimi niwe huru na pia unapewa sawasawa na unavyoamini. Kwa wanaoamini ni lazima walibariki tendo hili nawapa hongera na nauheshimu utaratibu wao.
 
Hata kama umeoa ndoa ya kanisani?

Ndoa ya kanisani ni kubariki tendo, ndio maana wakinyimana wanashtakiana kwa baba paroko

Kazi ipo hapo sasa baba paroko nae halijui hilo tendo la ndoa nini? Imani kitu kigumu kwelikweli!!!!
 
Himidini mi bora niwe mkweli kusali na sali ila pale ufahamu ukishanitoka ndio nashusha verse balaa like Oog God jamani nashukuru kwa kunipa mume mtamu naomba umbariki anizidishie jamani nisishawishike na mwanaume wa aina yoyote.......! Huku shughuli ikiendelea....
​hahahaaa!!pacha umeua daaah!!
 
SWala Ni kabla ya kula AMA kuanza safari, mkiingia chumbani mnasalia kila kitu hadi tendo, ikifika wakati we huna deni, hakuna kukauka chungu wala kusinzia
 
E MWENYEZI MUNGU TULINDE NA SHETANI NA UKILINDE NA SHETANI KILE UTAKACHOTUPA KATIKA TENDO HILI. Hapo ni kabla ya shughuli kuanza.
 
Himidini, kuombea tendo? Naona kama vile nitakuwahi namuita Mwenyezi Mungu aje ashuhudie ninachokifanya, kitu kinachonipa ugumu ndani ya moyo wangu kwa namna ninavyomfikiria huyu Mungu wangu mwingi wa rehema, ambaye kwa kudra zake, niko hai mpaka leo!
Kwa upande wangu, acha tu nile bila kuombea!!!

Mkulu

Mwenye MUNGU na mailaka ...hufurahi sana pale mtu anapomwingilia MKEWE

TENDO LA NDOA NI IBADA
 
^^
Tukiweka kando sala au maombi ya pamoja ktk familia hususani ya usiku,baba,mama,na watoto n.k Imeelezwa kuwa wanandoa au wapenzi tu wanapokuwa chumbani kwao Kabla ya kuvamia kitanda kwa ajili ya tendo la ndoa,,wanaposali kwa adabu kuombea tendo hilo husaidia sana kufurahia kukutana kwao kimwili.
^^
Faida nyingine zinazotajwa ni pamoja na kuondoa kabisa tofauti ndogo ndogo ktk mahusiano yao kama juu ya watoto,pesa,na mengineyo.
^^
Nao wanasaikolojia Mc Grath na Gregoire N,wanasema kuwa tendo la ndoa hushikamana na akili zaidi hivyo linapounganishwa na imani bila shaka huleta matokeo mema.
Wao wanaenda mbali zaidi na kushauri mwanamke awe wa kwanza kuanzisha hoja hii kila kabla na baada ya tendo hili maana
"..Mwanamke humwona Mungu kama wa kuaminika zaidi na mahali pa kutafuta usalama,,lakini mwanaume humwelekea zaidi Mungu kwa kutumia akili yake..."
^^
Wana MMU sijui ni wangapi na akina nani wanaweza fanya hivi walau mfululizo kwa mwezi? Jaribu sasa pengine ugomvi na kutoridhishwa kutapungua au kuisha kabisa.
^^

Ni kweli ipo ila c kwa wale wanaokiuka amri ya sita
 
Kuna mambo ya kufanya mzaha lakini sio hili la mungu ni kufanya kufuru.
 
Ni kweli sala kabla ya tendo la ndoa ni muhimu sana. Lakini angalizo: Tendo la ndoa ni ibada pia na Mungu anahusika mwenyewe na pia ni lazima iwe ni ndani ya ndoa ndio maana likaitwa tendo la ndoa na nje ya hapo ni UZINZI a.k.a UASHERATI sasa kama una mtu unafanya naye tendo la ndoa nje ya ndoa ujue kabisa mnazini na ni kinyume na mpango wa Mungu sasa sijui utapata uhalali gani wa kuomba wakati unazini!!! Shetani yuko kazini kuharibu watu kwa njia mbalimbali na mojawapo ni hii ya kuzuia uzazi au premature ejaculation au maumivu wakati si tendo la kuumia na kadhalika... Najua wapo wanaoelewa haya mambo ila si wengi wanaoelewa pia..
 
Hii niliona kwenye movie flani hivi ya kitasha , jamaa anataka kula mzigo eti demu akuanza kusali.
Jamaa ikabidi awe anamsikilizia ili amalize kusali lakini sala ikawa ndefu sana jamaa akaamua kuforce yule demu akamkatisha sala akala mzigo, ilikuwa kama kichekesho hivi.
Nilivyosoma hii thread nimekumbuka hiyo movie.
Natafakari naona practically inawezekana kwa baadhi ya walokole ambao nasikia wengi wanakawaida ya kufanyaga usiku tu.
 
It will kill the fun
Mnakuwa mmejiandaa mno
Ndio mwamnzo wa kuanza kuambizana, ilaze kuelekea kusini mashariki ili ikinzane na pepo za mansuni
Mh!! hapa nadahani ni zile games za maeneo yenye joto ambayo bila feni game haliendi kabisa ndio kuna zile za "tugeukie huku my dia"
 
Nimetoka fb naona wachangiaji wengi wanatokwa povu tu kuwa hii topic ni kufuru...they fail to distinguish between adultery and the holly matrimony...Kwa wanandoa kuliombea tendo to me is just ok bse ndoa ni tendo takatifu na la ki Mungu so sio vibaya kumhusisha Mungu. Ndoa ni ndoa na zinaa/uasherati ni ndambi.
 
^^
Tukiweka kando sala au maombi ya pamoja ktk familia hususani ya usiku,baba,mama,na watoto n.k Imeelezwa kuwa wanandoa au wapenzi tu wanapokuwa chumbani kwao Kabla ya kuvamia kitanda kwa ajili ya tendo la ndoa,,wanaposali kwa adabu kuombea tendo hilo husaidia sana kufurahia kukutana kwao kimwili.
^^
Faida nyingine zinazotajwa ni pamoja na kuondoa kabisa tofauti ndogo ndogo ktk mahusiano yao kama juu ya watoto,pesa,na mengineyo.
^^
Nao wanasaikolojia Mc Grath na Gregoire N,wanasema kuwa tendo la ndoa hushikamana na akili zaidi hivyo linapounganishwa na imani bila shaka huleta matokeo mema.
Wao wanaenda mbali zaidi na kushauri mwanamke awe wa kwanza kuanzisha hoja hii kila kabla na baada ya tendo hili maana
"..Mwanamke humwona Mungu kama wa kuaminika zaidi na mahali pa kutafuta usalama,,lakini mwanaume humwelekea zaidi Mungu kwa kutumia akili yake..."
^^
Wana MMU sijui ni wangapi na akina nani wanaweza fanya hivi walau mfululizo kwa mwezi? Jaribu sasa pengine ugomvi na kutoridhishwa kutapungua au kuisha kabisa.
^^

subiri nifunge ndoa, maana for the moment ni uasherati tu.
 
Back
Top Bottom