Sakina

Hahaha utafananisha na nchi za magharibi na Africa yetu!
HIV ni global disaster ! ila kwa nchi za kiislam kama! SAUDI ARABIA, BAHRAIN,IRAN!.. idadi yake sio kubwa kulinganisha na nchi zingine.

USINIPE DATA ZILIZOTOLEWA NA NCHI ZA MAGHARIBI.. UONGO M2PU! ADUI WAKO SIKUZOOTE ANAKUOMBEA NJAA!

ONE DAY PALESTINE WILL BE REE! TOKA MIKONONI MWA WAKOLONI MAGAIDI WA ISRAEL :becky:
hivi ni lini tutaacha ujinga? sasa wewe hapo unapinga on behalf of nani? hebu elimikeni jamani yani tayaru umeguswa kama imesemwa familia yako vile, huo ni upuuzi tena nauita upuuzi kwa herufi kubwa
 
" Sisi Tunaomba kura ili tuweze kuwaongoza watu wote Tanzania bila ubaguzi wa rangi,dini wala kabila"
Hivi kweli hili linawezekana chini ya kivuli cha maneno ya msemaji?
Atawezaje kumthamini mtu anayeunganishwa na uchawi na majini katika kuabudu?
Nikiifikiria JF na baadhi ya watu,ah! sipati picha.
Hivi hatuwezi kuwa na hoja zenye mashiko kuliko kuruka ruka? Ukiisoma sentensi hiyo ni rahisi kumtafsiri huyu mtu anakuwa na hasira kiasi gani juu ya imani fulani.
Hivi JF inatoa uhuru kiasi gani kwa wanachama wake kutoa maoni yao? Binafsi naona kuna watu humu hawatakiwi kuwa wanachama japokuwa wanalazimisha tu na hili linaweza kuthibitishwa pale inapoibuka hoja yoyote inayohusu imani!
Akh!!!!!!!
wewe acha blah blah hapa siyo sikukuu ya kusoma mashairi yako hayo
 
Naomba kuuliza waungwana....Hivi hawa wanaodhani kuwa ni sawa kumuua dada huyu kwa kumpiga mawe wana tofauti gani na wale wanaodhani ni sawa kuua hawa tunaowaita vibaka na hata kwa kuwachoma moto wakiwa hai. Je kati yenu mnaocondem adhabu ya huyu dada hamjawahi kuhalalisha ama kushiriki kuua ama kuchoma moto vibaka. Je mnakualiana na wanaoamini kuwa adhabu ya kifo ifutwe?
 
duh, kwani sheria za kiislam hufutwa? hiyo sio agano jipya. ni qurani isioeditiwa

Ukweli ni kuwa Supreme Council of Iran ilishatoa decree za kupiga marufuku aina ya dhabu kama hii tangia miaka ya 70. Lakini katika mfumo wa sheria wa Iran kama ilivyo kwengine you always have some nut - fanatics whom any system has to deal with cautiously...Cha ajabu kati ya wanaojidai kuwa mbele kupinga adhabu ya huyu dada wapo wengi ambao wako mstari wa mbele kuunga mkono mauaji ya kikatili ya so called vibaka na pia kwa kutumia imani zao wapo tayari kulinda adhabu ya kifo kuendelea kutumika.....
 
haya ndiyo madhara ya devil worshiping-mwanamke tu ndiye mwenye dhambi. Khomeni aliyezini naye ataendelea kuzini kusababisha vifo kwa wanawake wengine.
 
Eti kitabu chako ni Quran! haha!:becky:.. labda ile ambayo imekuwa edited na wewe..! inakuwaje sheria zake unaanza kuziponda alawafu wasema ni kitabu chako!. basi nenda kakisome vizuri

کمیته بین المللی علیه
اعدام
June 15, 2010

سکينه را از پنج سال پيش در زندان تبريز٬ گروگان گرفته اند و اين زن اسير حکومت اسلامي٬ هر لحظه ممکنست سنگسار شود.

دو فرزند او براي نجات جان مادرشان تلاش ميکنند و از همه مردم آزاده و از نهادهاي مدافع حقوق انساني درخواست کرده اند که براي نجات جان مادر آنها تلاش کنند.

وکيل سکينه و فرزندانش يکبار ديگر از مردم آزاديخواه دعوت کرده اند که بهر طريق ممکن کمک کنند٬ جان سکينه را نجات دهيم.

سکينه در روز ۲۵ ارديبهشت ۸۵در دادگاه جزايي اسکو به اتهام رابطه خارج از ازدواج به تحمل ۹۹ ضربه شلاق محکوم شد.او را صد ضربه شلاق زدند و در حاليکه بايد آزاد ميشد٬ پرونده در شعبه ششم دادگاه کيفري استان آذربايجان مورد بررسي مجدد قرار ميگيرد.

و او را اين بار به سنگسار محکوم ميکنند. سکينه بسياري از اتهامات را بعدا منکر شده است. در دادگاه حکومت اسلامي نيز از پنج نفر دو قاضي راي داده اند که در پرونده هيچ دليل اثباتي مبني بر انجام " زناي محصنه" وجود ندارد.

سکينه يک زن اسير حکومت اسلامي است که ظاهرا جنايتکاران ميخواهند با سنگسار کردن او در شرايط فعلي به ليست جناياتشان در اين روزها با هدف ايجاد رعب و وحشت بيفزايد.

سکينه تقاضاي عفو داده و پسر و دخترش منتظر نجات او هستند.

کميته بين المللي عليه سنگسار از همه شما مردم آزاده در ايران و در دنيا ميخواهد ٬ اين روزها که به اعتراض و تحصن وتظاهرات دست ميزنيد٬ حتما و بهر طريق ممکن به حکم سنگسار سکينه محمدي آشتياني اعتراض کنيد. در خارج از کشور از همگان دعوت ميکنيم که به اين حکم سنگسار وسيعا و متحدانه اعتراض کنند. با مقامات نهادهاي بين المللي و اتحاديه اروپا و سازمان ملل تماس گرفته و از آنها بخواهيد فورا به اين حکم اعتراض کنند. ما نبايد بگذاريم سکينه را سنگسار کنند.

کميته بين المللي عليه سنگسار

۱۵ ژوئن ۲۰۱۰​
 
hakuna kitabu kuran, bali ni qur_an

Matamshi tu...wewe unadhani ukitamka kwa kiarabu sana ndio muumini...mbona kuna Muhamedi,Mwamedi,Muhamad,Mohamed nk.....

What happens in Stoning?

In stoning to death, the victims's hands are tied behind their backs and their bodies are put in a cloth sack. Then, this human "package" is buried in a hole, with only the victims heads showing above the ground. If its a woman, she is buried upto her shoulders. This is to give her an seemingly equal (but nonetheless impossible) chance to escape recognizing her lesser physical strength.

After the hapless individual has been secured in the hole, people start chanting "Allah hu Akbar" (meaning, God is great), and throw palm sized stones at the head of the victim from a certain distance (a circle is drawn).

The stones are thrown until the person dies or until he/she escapes out of the hole and crosses the circle. Escaping is impossible, given that the individual's hands are tied behind their backs and they are buried in a hole upto their necks or shoulders (in the case of males and females respectively).
Naturally, the procedure is extremely barbaric and bloody.

Stoning to death is still carried out in the current era, in Iran and was carried out in the previous Taliban-ruled Afghanistan.

If you are a Muslim and believe stoning is not a part of Islam: Congratulations! You have already partially apostated from Islam. Now you just need to complete your apostasy like we did, and stop believing that Mohammed was a prophet of God.

Being a humanist is a great alternative to being a Muslim :lol:
 
Ukweli ni kuwa Supreme Council of Iran ilishatoa decree za kupiga marufuku aina ya dhabu kama hii tangia miaka ya 70. Lakini katika mfumo wa sheria wa Iran kama ilivyo kwengine you always have some nut - fanatics whom any system has to deal with cautiously...Cha ajabu kati ya wanaojidai kuwa mbele kupinga adhabu ya huyu dada wapo wengi ambao wako mstari wa mbele kuunga mkono mauaji ya kikatili ya so called vibaka na pia kwa kutumia imani zao wapo tayari kulinda adhabu ya kifo kuendelea kutumika.....

Yesu akawaambia "yeyote kati yenu asiye na dhambi na awe wa kwanza kumpiga huyu mwanamke mliyemshika akizini.Kila mmoja wao akashitakiwa na dhamiri yake akaondoka kimya kimya" HAO WAPIGAJI MAWE WENYEWE WOKO SAAAAAAAAAFI? KTK UISLAMU HAKUNA TOBA??, PIA UISLAMU UNATAKA KUPAFANYA DUNIANI NI MAHALA PEMA????????? NA PEPONI PAWE JEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE? ndg achana na ujinga eti mimi tangu babu wa babu zangu wamekuwa ktk imani hii hivyo mimi siwezi kuasi ,kumbuka babu zako waliasi imani zao za kwanza kuwa ktk imani hiyo wewe unayodai yenu, kama babu zako wangekuwa mbumbumbu kama wewe leo wewe ungesema hivyo????????? Inawezekana kwa wakati huo ndio fasheni iliyokuwepo!!!!!!!!!! NDUGU FIKIRI SANA KULIKO KUFUATA MKUMBO, UWEZO WA KUHAKIKI JAMBO LEO NI MKUBWA KULIKO WALIOKUWA NAO BABU ZETU, JE TUWE NA UFAHAMU FINYU KULIKO BABU ZETU??????????????!!
 
View attachment 13443View attachment 13444

Huyo kisura anatakiwa apondwe mawe huko Iran hadi kufa, baada ya mfungo wa Ramadhani.

Oooh!! God.:A S cry::pray2::amen:

It is written:

... the principle is that whatever is established in regards to the men, then is applies (also) to the women from the commandments and prohibitions. And that which is established in regards to the women, then it (also) applies to the men, and for this, whoever accuses a man (of fornication), it is incumbent that he be punished with eighty lashes along with the fact that the verse was (specifically) for those men who accuse chaste innocent women (of fornication). As Allaah the Most High said:

“And those who accuse chaste women, and produce not four witnesses, flog them with eighty stripes…” – An-Nur (24):4

-> Mwana wa Haki
 
Matamshi tu...wewe unadhani ukitamka kwa kiarabu sana ndio muumini...mbona kuna Muhamedi,Mwamedi,Muhamad,Mohamed nk.....

What happens in Stoning?

In stoning to death, the victims's hands are tied behind their backs and their bodies are put in a cloth sack. Then, this human "package" is buried in a hole, with only the victims heads showing above the ground. If its a woman, she is buried upto her shoulders. This is to give her an seemingly equal (but nonetheless impossible) chance to escape recognizing her lesser physical strength.

After the hapless individual has been secured in the hole, people start chanting "Allah hu Akbar" (meaning, God is great), and throw palm sized stones at the head of the victim from a certain distance (a circle is drawn).

The stones are thrown until the person dies or until he/she escapes out of the hole and crosses the circle. Escaping is impossible, given that the individual's hands are tied behind their backs and they are buried in a hole upto their necks or shoulders (in the case of males and females respectively).
Naturally, the procedure is extremely barbaric and bloody.

Stoning to death is still carried out in the current era, in Iran and was carried out in the previous Taliban-ruled Afghanistan.

If you are a Muslim and believe stoning is not a part of Islam: Congratulations! You have already partially apostated from Islam. Now you just need to complete your apostasy like we did, and stop believing that Mohammed was a prophet of God.

Being a humanist is a great alternative to being a Muslim :lol:

Oh my God, and this is all because she committed adultery? Its unbelievable!!!
 
View attachment 13443View attachment 13444

Huyo kisura anatakiwa apondwe mawe huko Iran hadi kufa, baada ya mfungo wa Ramadhani.

Oooh!! God.:A S cry::pray2::amen:

Mimi naona unatuchanganya kwani hapo kuna picha mbili tofauti moja ya Sakina Dhankot (upande wa kulia) kutoka India na nyingine ni Sakineh Mohammad wa Iran(wa upande wa kushoto) ambaye ktk picha yake kuna ujumbe wa kuomba msaada asipigwe mawe. Tunaomba source ya taarifa yako ili tuweze kupata undani wa huo mkasa
 
bNakubaliana na wewe kabisa, dini hi ya kiislamu iko influenced na culture ya kiarabu ambayo ni iko kikatili , upanga kwa upanga ,hapo ndio watu wan shindwa kuelewa . Thamani ya maisha ni ndogo kwao na hutumia kisingizio cha dini kutekeleza uhalisia wao. Nadhani uislamu kama ulivyo usingekua una asili ya kiarabu nadhani tusinge uona kama ulivyo kwa tusio waislamu .

Upotoshaji ni mkubwa sana ,kwa sababu ya misingi mingi ime wekwa kukremishwa , hivi karibuni nilikua na angalai TV , kipindi cha kiislamu cha asubuhi TBC1, alikuwepo Sheikh mmoja akapigipiwa simu nakuulizwa Kafiri ni nani? alijibu vizuri sana na nikasema wangekuwepo wengi kama huyu nadhani tungekua tuna amani duniani. Sheikh alijibu Kafir ni neno la kiarabu , likiwa na maana ya mpingaji, sasa Muislamu anawez akumuita asiye muislamu kafir na Asiye muislamu ana wez amuita Muislamu kafir na kumalizia kusema ni neno baya halifai kutumiwa .
 
tatizo ni dini ya mswalia mtume muhamadi hiyo. wanamuua huyo kwa mawe kumbe wao wana madhambi yamejaa kwenye mioyo yao, dhambi ya kwanza ni kufuga majini.
 
Back
Top Bottom