Sakina

The head in reference is not the one with ears and eyes its like the head of state....and the instistance for women to cover themselves in not all the time but rather during when a woman prays or prophesies .......


"O Prophet, tell your wives and daughters and the believing women that they should cast their outer garments over their bodies (when abroad) so that they should be known and not molested" (Quran 33:59).....so there was molesting....sasa penye sheria za kuzuia molesting kama TZ mahijab ya nini....abroad ni wapi?
huna jipya! do ur h/w katika kitabu chako alafu uje na points za kuongea!:becky:
 
Kwa nini kama wanajua ni haki kumwaga damu ya mwenzio wasimuue kipindi hiki cha kufunga?

AMEZINI! AMEFANYA ZINAA KATIKA NCHI AMBAYO INAENDESHWA NA SHARIA! ... ! kifo ni halali yake kama amefanya zinaa huku ameolewa.. mbaya zaidi kama amefanya zinaa na mwanaume aliyeoa! WOTE NI KIFO! na mmoja hajaoa/ hajaolewa! atapigwa viboko 100 hadharani! aliye kwenye ndoa ni KIFO!!

HUTAKI HIZO SHERIA HAMA NCHI!...
 
Hivi we njiwa akiletwa pale Jangwani Dar, utakuwa wa kwanza kumuua kwa Mawe?
 
[SIZE=-1] HAPA IMEKAAJE!!! ?? [/SIZE][SIZE=-1][/SIZE]DO YOUR H/W! THEN MUANZE KUPONDA KITABU CHA DINI NYINGINE!

[SIZE=-1] "If a man happens to meet a virgin who is not pledged to be married and rapes her and they are discovered, he shall pay the girl's father fifty shekels of silver. He must marry the girl, for he has violated her. He can never divorce her as long as he lives" {Deuteronomy 22:28-30}[/SIZE]

[SIZE=-1]One must ask a simple question here, who is really punished, the man who raped the woman or the woman who was raped? According to the Bible, you have to spend the rest of your life with the man who raped you.[/SIZE]

[SIZE=-1]The Prophet Muhammad Says {Volume 9, Book 86, Number 101} Narrated by Aisha:"It is essential to have the consent of a virgin (for the marriage)".[/SIZE]

[SIZE=-1]Would the Non-Muslim men reading this prefer the Women they know to be Christian or Muslim?[/SIZE]

[SIZE=-1][/SIZE]
 
Hivi we njiwa akiletwa pale Jangwani Dar, utakuwa wa kwanza kumuua kwa Mawe?
siwezi kwasababu mtume kasema hatuwezi kutoa hukumu hizo unless katika nchi 100% inaendeshwa na sharia! ntakuwa nimepata dhambi! kama ningekuwa IRAN! na nimekubali kuishi chini ya sheria za IRAN WHY NOT!
 
Inasikitisha sana.
Unapo mpiga na kumchoma MOTO kibaka aliyeiba simu yako feki ya china! hilo ni halali!... wakristo wa bongo bana! Vichwa majii kabisa! napoteza tu mda wangu kuwaelewesha watu wasioelewa ila habari ndo hiyo! hukumu ya wazinifu ndani ya ndoa kifo!... wa nje ya ndoa viboko 100 hadharani,... huridhiki hama nchi!
 
Kwanza sio kuuwa! sema HUKUMU! ... haiwezekani kwasababu huu ni mwezi mtukufu!


Hiyo ni hukumu ya kifo, usilete usilete kiswahili. Ni kipondo cha mawe na si kupigwa kwa kipande cha kanga.

Mawe.jpg


Afu toa hiyo avata, unaidhalilisha.
 
Ukweli ni kwamba sheria zingine ni unyama kwanini ni wanawake tu ndio wananyanyasika? Katika research yangu nimeongea na akina dada na wamama wa kiislamu wengi wao hawapendi ndoa za wake wengi na sheria zingine zimekwa mzigo kwao. Ila ni vigumu kwao kutoka katika imani hiyo maana kutoka pia ni uasi ambao mtu au mwanamke huyo atatengwa na familia yake au jamaa zake. Kwa ujumla hilo ndio sababu kubwa mahaqkama ya kadhi (sharia) inapingwa maana ni kwa ajili ya kukandamiza wakina-mama tu.
 
Alafu huwa najiuliza Mola huyu huyu huwa anakataza tusihukumu tusije hukumiwa.
Alafu kama wote ni wana wa Mola alafu unachukua hatua ya kumuua mwezi na uyo Mola nae afurai tuu
 
Kitabu changu ni Koran sasa weye wawashwa nacho vipi :eek2:
Eti kitabu chako ni Quran! haha!:becky:.. labda ile ambayo imekuwa edited na wewe..! inakuwaje sheria zake unaanza kuziponda alawafu wasema ni kitabu chako!. basi nenda kakisome vizuri
 
Anatia huruma sana ndio mnataka mahakama ya kadhi ianzishwe hapa bongo???????????????????????????????

Wewe unalako...na umeshaonyesha ufinyu wako wa kufikiri hapa...Zanzibar kuna Mahakama ya kadhi kule hicho unachokihofia na kulinganisha kimetokea?...acha hizooo!!
 
Wewe unalako...na umeshaonyesha ufinyu wako wa kufikiri hapa...Zanzibar kuna Mahakama ya kadhi kule hicho unachokihofia na kulinganisha kimetokea?...acha hizooo!!
Inahitajika elimu ya kina juu ya mahakama ya kadhi kwani watu hawaijui ila wanajifanya wanaijua sana.
 
uislam sio imani tu kama unavyotaka tuamini, uislam ni mfumo kamili wa maisha. Kuanzia sheria, uchumi ,siasa na mambo yote kama vile agano la kale la biblia linavyotaka kabla

acha uongo huo ni uchawi na mahusiano ya mwanadamu na majini,
 
acha uongo huo ni uchawi na mahusiano ya mwanadamu na majini,
" Sisi Tunaomba kura ili tuweze kuwaongoza watu wote Tanzania bila ubaguzi wa rangi,dini wala kabila"
Hivi kweli hili linawezekana chini ya kivuli cha maneno ya msemaji?
Atawezaje kumthamini mtu anayeunganishwa na uchawi na majini katika kuabudu?
Nikiifikiria JF na baadhi ya watu,ah! sipati picha.
Hivi hatuwezi kuwa na hoja zenye mashiko kuliko kuruka ruka? Ukiisoma sentensi hiyo ni rahisi kumtafsiri huyu mtu anakuwa na hasira kiasi gani juu ya imani fulani.
Hivi JF inatoa uhuru kiasi gani kwa wanachama wake kutoa maoni yao? Binafsi naona kuna watu humu hawatakiwi kuwa wanachama japokuwa wanalazimisha tu na hili linaweza kuthibitishwa pale inapoibuka hoja yoyote inayohusu imani!
Akh!!!!!!!
 
Hukumu hiyo ya kupigwa mawe imeondolewa tayari, ingawa sijui nini kitafuata
 
Back
Top Bottom