Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 137,687
- 272,552
Advocate Nyombi katoa kali... Eti "iddi mubaraka njema"... Hata kusalimia hajui, kuhoji ataweza?...
huyo jamaa anautafuta u IGP kinguvu kweli !
Advocate Nyombi katoa kali... Eti "iddi mubaraka njema"... Hata kusalimia hajui, kuhoji ataweza?...
Ha ha haaa umeona eehhh gazeti lenyewe la udaku watu wanaendelea kulishwa matango pori.We have chosen dishonesty as a way of life. We are truly addicted to lying. Its almost an automatic reflex. It seem telling the truth, being moral and good is near to impossible because we are not brave enough for that.
By living and dying dishonestly ,the politician are taking advantage of it.
Hii story ukiisoma kwa macho matatu utagundua kama ukweli umechanganywa na uongo mwingi kwa faida ya kibinafsi na kisiasa lakini wanasahau kama njia ya muongo ni FUPI.
Taifa la wananchi waongo hata serikali nayo itakuwa niya kiongo kiongo kwa vile serikali inatokana na wananchi hao hao waongo waongo. Kama wananchi hawabadiriki, hata serikali kutoka kuzimu au mbinguni ikiingia madarakani haiwezi kuepuka kazi za uwongo uwongo.
Wametengeneza story na Rajabu Kihawa ya ukweli na uwongo mwingi ili kuhakikisha Mh. Shibuda anafutika katika siasa za CHADEMA. Walikosa kwa muda mrefu sehemu ya kumpata kwa sababu ameamua kwa muda mrefu kuwa kimya kisiasa. Wanatafuta negative reaction zake ili wapate sehemu ya kuanzia kumsindikiza atoke nje ya mlango wa CHADEMA.
This is truly more than gutter politics.
Wewe Joka la kib.isa hyo stori ilishadoda kitambo sana na nyingne zooote mnazoendelea kuziplan zinaendelea kudoda vivyo hvyoTanzania Daima mbona hamuandiki jinsi Boss wenu alivyomuua Chacha Wangwe!!!! naomba mnipigie simu ili niwasimulie jinsi ya Boss wenu alivyomuua Chacha wangwe.
Mkuu wewe umeona mbali kuna watu huku ni "mafundi saa" wanatazama jambo kwa jicho moja,Mkuu, hilo ni angalizo langu. Ukikubaliana nalo, sawa na usipokubaliana nalo napo ni sawa tu ili mradi tunabakia kwenye principle ya kukubali kutokubaliana.
Kusoma kwa macho matatu maana yake ni kusoma huku uki-reflect juu ya mdai, mdaiwa na wewe mwenyewe.
Binadamu tuko tofauti, inawezekana wewe umesoma habari na ukakubaliana nayo na haindoi wala kuongeza kilichoandikwa, vile vile na mimi nimeisoma habari sikukubaliana nayo kwa vile imetiwa uwongo mwingi lakini vile vile haiongezi wala kupunguza kilichoandikwa.
Ha ha haaa umeona eehhh gazeti lenyewe la udaku watu wanaendelea kulishwa matango pori.
Fictitious story huwa haina upande wa ukweli kwa sababu ni mambo ya kufikirika bali pia huwa haisimami kwenye ukweli.Sasa ukweli ni upi?
Napatwa na wasiwasi mkubwa kwa akili za wafuasi wa chadema kila walishwalo wanakula banti na viroba si mchezo..mhariri tanzania daima km kweli gazet lako limeandika utumbo huu napatwa na wasiwasi huu ya utashi wako bt ni gazet la chama chenu cha wazee wakudanganya watu.hadith ya kitoto na kipuudhi kwamwenye akil timamu amepima vijana wenu wamedhiirisha ni wafupi wa akil wameanin hiyo habar na kuichangia seriously tena poor chadema low thinking capacity walio nayo watu wenu ndo maana wanaamin mkishika madaraka vitu vitashuka bei ndan ya miez 6.na vijana wote watapata ajira..wakomboz Feli na vilaza..
Sawa kabisa wengi hawayaamini haya unayoyaandika hapa wanafikiri mawazo yako ni mgando kamaFictitious story huwa haina upande wa ukweli kwa sababu ni mambo ya kufikirika bali pia huwa haisimami kwenye ukweli.
Huhitaji kuwa muhusika wa story kubaini kama kuna ukweli na uwongo ndani yake ndiyo maana ya kuipambanua mantiki na kusoma katika mistari.
This is pure mixture of truth and fiction.
Tukubali kutokubaliana.
Mkuu, Lukolo kama umesoma bandiko langu vizuri utagundua mantiki yangu ninayoijenga na kuipambanua.Huwa nakuamini sana katika ujengaji hoja, lakini nafikiri katika hili umekurupuka. Gazeti limemtaja kwa jina mtu alitoa taarifa hizi bila kuficha. Kama hii story ni ya uongo Shibuda si ana nafasi ya kumshitaki huyu dogo? Au umezoea story za "kutoka chanzo cha kuaminika"? Jaribu kuwa generous mkuu katika baadhi ya hoja zako.
Napatwa na wasiwasi mkubwa kwa akili za wafuasi wa chadema kila walishwalo wanakula banti na viroba si mchezo..mhariri tanzania daima km kweli gazet lako limeandika utumbo huu napatwa na wasiwasi huu ya utashi wako bt ni gazet la chama chenu cha wazee wakudanganya watu.hadith ya kitoto na kipuudhi kwamwenye akil timamu amepima vijana wenu wamedhiirisha ni wafupi wa akil wameanin hiyo habar na kuichangia seriously tena poor chadema low thinking capacity walio nayo watu wenu ndo maana wanaamin mkishika madaraka vitu vitashuka bei ndan ya miez 6.na vijana wote watapata ajira..wakomboz Feli na vilaza..
Lilipoandika habari za Lipumba kupiga siasa msikitini mlilishambulia kwa kila aina ya majina. Ilipowekwa hapa video ya ushahidi wa kile ambacho Lipumba alisema msikitini, wote mlikimbia hapa. Hakuonekana masalia wala buku saba group. Sasa hivi tumeshawazoea na kauli zenu za wakosaji hizo. Mkiona hamna hoja mnasingizia gazeti la udaku.Hilo ndio gazeti mama kwa udaku baada ya uwazi na kiu