Kikao cha usuluhishi.Hii habari imeletwa kiushabiki tuu, hakuna bifu yoyote, nimeisikiliza hiyo clip, hakuna bifu bali kuna kukumbushana tuu the chain of command.
RC ndie rais wa mkoa!, kila kitu kiko chini yake, hivyo RC yuko right, yeye ndiye mwenye kauli ya mwisho kuhusu jambo lolote la mkoa wake.
P
Wametumbuliwa woteMkubwa huwa hakosei, kauli ya mwisho ni ya mwisho, the boss is always right. Na ikitokea the boss asiwe sahihi ziko taratibu za kumrekebisha na sio kwa kutofautiana in public.
P
Haya sasa umeumbukaHii habari imeletwa kiushabiki tuu, hakuna bifu yoyote, nimeisikiliza hiyo clip, hakuna bifu bali kuna kukumbushana tuu the chain of command.
RC ndie rais wa mkoa!, kila kitu kiko chini yake, hivyo RC yuko right, yeye ndiye mwenye kauli ya mwisho kuhusu jambo lolote la mkoa wake.
P
Mwandishi maslahi huyuThe LEGEND, kama wengi wetu wanavyotuaminisha kukuita; bado unasimamia upande wako (position) kuwa 'HAKUNA BIFU YOYOTE' au unatengua kauli?
Time is already tellingConnecting dots.........
Time will tell.
Acha wafu wazike wafu wao.
Connecting dots.........
Time will tell.
Acha wafu wazike wafu wao.
Haaaaa Haaaaa 😂Finally, dots zimetimia
Gambo anakupa hi..Hii habari imeletwa kiushabiki tuu, hakuna bifu yoyote, nimeisikiliza hiyo clip, hakuna bifu bali kuna kukumbushana tuu the chain of command.
RC ndie rais wa mkoa!, kila kitu kiko chini yake, hivyo RC yuko right, yeye ndiye mwenye kauli ya mwisho kuhusu jambo lolote la mkoa wake.
P
Paskali Mayala uwe na aibu au uwe na subiraHii habari imeletwa kiushabiki tuu, hakuna bifu yoyote, nimeisikiliza hiyo clip, hakuna bifu bali kuna kukumbushana tuu the chain of command.
RC ndie rais wa mkoa!, kila kitu kiko chini yake, hivyo RC yuko right, yeye ndiye mwenye kauli ya mwisho kuhusu jambo lolote la mkoa wake.
P
Wajameni, nasimama na kauli yangu hii, ila kama ni kumhusu Gambo, niliisha zungumza kitambo!RC ndie rais wa mkoa!, kila kitu kiko chini yake, hivyo RC yuko right, yeye ndiye mwenye kauli ya mwisho kuhusu jambo lolote la mkoa wake.
P
Naunga mkono hoja.This is almost saying mkubwa ni Mungu kitu ambacho sidhani kama ni sahihi sana. Moja ya matatizo makubwa tuliyonayo kama nchi kwa sasa ni kwa sababu kuna watu wana-amini kwamba wao hawakosei. Wao always wako sahihi which is completely wrong na kwamba wanachosema wao kinapaswa kuwa hivyo hata kama kuna njia nyingine mbadala ambayo huenda ni bora zaidi.
Mambo yamebadilika sana kwa sasa, mfano upatikanaji wa taarifa umebadilika sana na umerahisishwa mno, kuaccess information ni rahisi mno so hata namna ya uongozi inapaswa kubadilika sana. Na kwa uongozi hapa ninamaanisha mpaka ngazi ya familia. Baba kwa mfano, ukitaka kui-bulldose familia kwa kizazi hiki eti kwa sababu tu wewe ni baba ni lazima uchemshe.
Paskali Mayala uwe na aibu au uwe na subira
Wajameni, nasimama na kauli yangu hii, ila kama ni kumhusu Gambo, niliisha zungumza kitambo!RC ndie rais wa mkoa!, kila kitu kiko chini yake, hivyo RC yuko right, yeye ndiye mwenye kauli ya mwisho kuhusu jambo lolote la mkoa wake.
P
Hii habari imeletwa kiushabiki tuu, hakuna bifu yoyote, nimeisikiliza hiyo clip, hakuna bifu bali kuna kukumbushana tuu the chain of command.
RC ndie rais wa mkoa!, kila kitu kiko chini yake, hivyo RC yuko right, yeye ndiye mwenye kauli ya mwisho kuhusu jambo lolote la mkoa wake.
P
Duh...!, what a comment to start with a new day!.There you go again MNAFIKI MKUBWA! To formulate your stupid and wrong opinion just by listening to this clip! PUMBAVU!
Paskali Mayala uwe na aibu au uwe na subira
Duh...!. Nimekubali!..Huyo Madeni na huyo Daqaro wote ni maafisa waandamizi. Ni wazi Gambo hana chake hapo Arusha. Ukijumlisha haelewani na Muro rafiki wa 'Prince'