Sakata la Ugomvi baina ya RC Gambo na Mkurugenzi wa Jiji Arusha lashika kasi

Hii habari imeletwa kiushabiki tuu, hakuna bifu yoyote, nimeisikiliza hiyo clip, hakuna bifu bali kuna kukumbushana tuu the chain of command.

RC ndie rais wa mkoa!, kila kitu kiko chini yake, hivyo RC yuko right, yeye ndiye mwenye kauli ya mwisho kuhusu jambo lolote la mkoa wake.
P
Kikao cha usuluhishi.
IMG-20200619-WA0068.jpg
 
Hii habari imeletwa kiushabiki tuu, hakuna bifu yoyote, nimeisikiliza hiyo clip, hakuna bifu bali kuna kukumbushana tuu the chain of command.

RC ndie rais wa mkoa!, kila kitu kiko chini yake, hivyo RC yuko right, yeye ndiye mwenye kauli ya mwisho kuhusu jambo lolote la mkoa wake.
P
Paskali Mayala uwe na aibu au uwe na subira
 
Wajameni, nasimama na kauli yangu hii, ila kama ni kumhusu Gambo, niliisha zungumza kitambo!
Rais Magufuli, somo la managing diversity kwa Serikali yako linahitajika

My Opinion, Tanzania tuna tatizo kubwa la managing Diversity, and especially the political Diversity!.

Kunapotokea kutoelewana kwa watendaji based on principles, kwangu dawa sio kuwatimua, bali kuwasuluhisha, na ikikutikana hawapikiki chungu kimoja, unawapangua!. To me sio vyema kuwaadhibu viongozi vijana ambao ni performers kama Gambo, Makonda, Hapi, Mnyeti etc, hata kama wanavimba vichwa kwa masikio kutaka kuzidi kichwa!.

Gambo ndio alikuwa kiboko ya Lema, japo pia nilizungumzia ile kesi ya Lema kunyimwa dhamana kulikopelekea Mchagga kushindwa kwenda kuhoji, na kulia Christmas mahabusu, kama Gambo, ana mkono, ukijumlisha kisa cha Felix Kijiko Ntibenda na mengine tusio yajua, then usikute hii ni sehemu tuu ya malipo ya karma kwa Gambo kwa matendo yake!.

Hivyo kutumbuliwa huku kwa Mrisho Gambo inawezekana Lema ni mtu powerful wa ukweli, hivyo anaweza akalitwaa tena jimbo la Arusha!,
Ila pia kama ni kweli Lema is this powerful, and we are not sure what is the source of his powers, ikitokea ni nguvu za shetani, then tuzidishe maombi kwa Mungu Baba ili ile ndoto yake ya kishetani isije kutimia!. Mungu yupo, na shetani pia yupo!.
Mungu Ibariki Tanzania.
P
 
This is almost saying mkubwa ni Mungu kitu ambacho sidhani kama ni sahihi sana. Moja ya matatizo makubwa tuliyonayo kama nchi kwa sasa ni kwa sababu kuna watu wana-amini kwamba wao hawakosei. Wao always wako sahihi which is completely wrong na kwamba wanachosema wao kinapaswa kuwa hivyo hata kama kuna njia nyingine mbadala ambayo huenda ni bora zaidi.

Mambo yamebadilika sana kwa sasa, mfano upatikanaji wa taarifa umebadilika sana na umerahisishwa mno, kuaccess information ni rahisi mno so hata namna ya uongozi inapaswa kubadilika sana. Na kwa uongozi hapa ninamaanisha mpaka ngazi ya familia. Baba kwa mfano, ukitaka kui-bulldose familia kwa kizazi hiki eti kwa sababu tu wewe ni baba ni lazima uchemshe.
Naunga mkono hoja.
P
 
Paskali Mayala uwe na aibu au uwe na subira

RC ndie rais wa mkoa!, kila kitu kiko chini yake, hivyo RC yuko right, yeye ndiye mwenye kauli ya mwisho kuhusu jambo lolote la mkoa wake.
P
Wajameni, nasimama na kauli yangu hii, ila kama ni kumhusu Gambo, niliisha zungumza kitambo!
Rais Magufuli, somo la managing diversity kwa Serikali yako linahitajika

My Opinion, Tanzania tuna tatizo kubwa la managing Diversity, and especially the political Diversity!.

Kunapotokea kutoelewana kwa watendaji based on principles, kwangu dawa sio kuwatimua, bali kuwasuluhisha, na ikikutikana hawapikiki chungu kimoja, unawapangua!. To me sio vyema kuwaadhibu viongozi vijana ambao ni performers kama Gambo, Makonda, Hapi, Mnyeti etc, hata kama wanavimba vichwa kwa masikio kutaka kuzidi kichwa!.

Gambo ndio alikuwa kiboko ya Lema, japo pia nilizungumzia ile kesi ya Lema kunyimwa dhamana kulikopelekea Mchagga kushindwa kwenda kuhoji, na kulia Christmas mahabusu, kama Gambo, ana mkono, then hii ni sehemu tu ya malipo ya karma ya Lema kwa Gambo!.

Hivyo kutumbuliwa huku kwa Mrisho Gambo inawezekana Lema ni mtu powerful wa ukweli, hivyo anaweza akalitwaa tena jimbo la Arusha!

Ila pia kama ni kweli Lema is this powerful, and we are not sure what is the source of his powers, ikitokea ni nguvu za shetani, then tuzidishe maombi kwa Mungu Baba ili ile ndoto yake ya kishetani isije kutimia!. Mungu yupo, na shetani pia yupo!.
Mungu Ibariki Tanzania.
P
 
There you go again MNAFIKI MKUBWA! To formulate your stupid and wrong opinion just by listening to this clip! PUMBAVU!

Hii habari imeletwa kiushabiki tuu, hakuna bifu yoyote, nimeisikiliza hiyo clip, hakuna bifu bali kuna kukumbushana tuu the chain of command.

RC ndie rais wa mkoa!, kila kitu kiko chini yake, hivyo RC yuko right, yeye ndiye mwenye kauli ya mwisho kuhusu jambo lolote la mkoa wake.
P
 
14 Reactions
Reply
Back
Top Bottom