Sakata la Ugomvi baina ya RC Gambo na Mkurugenzi wa Jiji Arusha lashika kasi

Ni kweli ila Gambo alipata wasaidizi wenye uchu wa Madaraka pale Arusha, Mkurugenzi ukiangalia shule zake tu alizosoma zinamuandaa kuwa na Itikadi kali. Kuondoka kwake imekuwa sherehe katika Jiji. Gambo ana yake ila alipewa mkoa mapema sana bado yuko leval ya ukuu wa Wilaya ni sawa na Bashite
Siku zote macho yako hayafumbi katika kutazama mkuu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii habari imeletwa kiushabiki tu, hakuna bifu yoyote, nimeisikiliza hiyo clip, hakuna bifu bali kuna kukumbushana tu the chain of command.

RC ndie rais wa mkoa!, kila kitu kiko chini yake, hivyo RC yuko right, yeye ndiye mwenye kauli ya mwisho kuhusu jambo lolote la mkoa wake.
P
Sasa wewe "Njaa" mheshimwa sana kakiri kuna ugomvi
 
Duh...wajameni, kwenye hili mmenikamia sana, nimeishakubali kosa kitambo kuwa nilichemsha, na mimi sio malaika kusema siwezi kukosea, mimi ni binadamu tu kama binaadam wengine wote hivyo naweza kufanya makosa, na kwenye hili la Gambo kwenye uzi huu, nakubali makosa, nakiri kosa, nilikosea na ninaomba mnisamehe na yaishe.
Nawatakia wiki njema
Paskali
Bravoo kama mkubwa
 
nimeishakubali kosa kitambo kuwa nilichemsha, na mimi sio malaika kusema siwezi kukosea, mimi ni binadamu tu kama binaadam wengine wote hivyo naweza kufanya makosa, na kwenye hili la Gambo kwenye uzi huu, nakubali makosa, nakiri kosa, nilikosea na ninaomba mnisamehe na yaishe.
Nawatakia wiki njema
Paskali

Kimsingi ww ni mtetea uovu fulani, hivyo ukiona watu wanakukamia ujue kuna mahali unakwama. Hata hivyo mimi kama mimi, nakubaliana na msamaha wako.
 
Hii habari imeletwa kiushabiki tu, hakuna bifu yoyote, nimeisikiliza hiyo clip, hakuna bifu bali kuna kukumbushana tu the chain of command.

RC ndie rais wa mkoa!, kila kitu kiko chini yake, hivyo RC yuko right, yeye ndiye mwenye kauli ya mwisho kuhusu jambo lolote la mkoa wake.
P
Rais kamtumbua Rais
 
Duh...wajameni, kwenye hili mmenikamia sana, nimeishakubali kosa kitambo kuwa nilichemsha, na mimi sio malaika kusema siwezi kukosea, mimi ni binadamu tu kama binaadam wengine wote hivyo naweza kufanya makosa, na kwenye hili la Gambo kwenye uzi huu, nakubali makosa, nakiri kosa, nilikosea na ninaomba mnisamehe na yaishe.
Nawatakia wiki njema
Paskali

Binafsi nimekusamehe, Upendo udumu milele!
 
Hii habari imeletwa kiushabiki tu, hakuna bifu yoyote, nimeisikiliza hiyo clip, hakuna bifu bali kuna kukumbushana tu the chain of command.

RC ndie rais wa mkoa!, kila kitu kiko chini yake, hivyo RC yuko right, yeye ndiye mwenye kauli ya mwisho kuhusu jambo lolote la mkoa wake.
P

Mkuu Pascal nakusubiri kwa hamu kupata maoni yako baada ya JPM kuwatumbua wote na kutupasha kinagaubaga matatizo ya hao wateule wake.
 
Pasikali unakumbuka hii kauli yako??
Naikumbumbuka sana, na wewe ni mtu wa 19 unanikumbusha humu, nimeishakubali kosa kitambo kuwa nilichemsha, na mimi sio malaika kusema siwezi kukosea, mimi ni binadamu tu kama binaadam wengine wote hivyo naweza kufanya makosa, na kwenye hili la Gambo kwenye uzi huu, nakubali makosa, nakiri kosa, nilikosea na ninaomba mnisamehe na yaishe.
Nawatakia wiki njema
Paskali
 
Mkuu Pascal nakusubiri kwa hamu kupata maoni yako baada ya JPM kuwatumbua wote na kutupasha kinagaubaga matatizo ya hao wateule wake.
Duh...wajameni, nimeishakubali kosa kitambo kuwa nilichemsha, na mimi sio malaika kusema siwezi kukosea, mimi ni binadamu tu kama binaadam wengine wote hivyo naweza kufanya makosa, na kwenye hili la Gambo kwenye uzi huu, nakubali makosa, nakiri kosa, nilikosea na ninaomba mnisamehe na yaishe.

Nilikuwa sijaona mkuu, pili ni kwa nia njema tuu ya kuchangamsha mijadala humu ndani nothing personal kiongozi.
 
Back
Top Bottom