Sakata la Ugomvi baina ya RC Gambo na Mkurugenzi wa Jiji Arusha lashika kasi

Hii habari imeletwa kiushabiki tuu, hakuna bifu yoyote, nimeisikiliza hiyo clip, hakuna bifu bali kuna kukumbashana tuu the chain of command.

RC ndie rais wa mkoa!, kila kitu kiko chini yake, hivyo RC yuko right, yeye ndiye mwenye kauli ya mwisho kuhusu jambo lolote la mkoa wake.
P

...hey komredi una maoni gani?
 
Huku kuingia katika Mizozo mara kwa mara ya Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mrisho Gambo na Watendaji wake Waandamizi hapo Mkoani Arusha kutarahisisha Kazi ya Msemaji wa Ikulu Msigwa ya kupewa Tangazo la Utenguliwaji na Uteuzi wa Mtu muda si mrefu. Nimwombe tu Mkuu wa Mkoa wa Arusha awe makini mno tena Kipindi hiki kwani Kuviziwa Kwake Kuondolewa hapo kunakochochewa na Maadui zake ndani ya Mkoa na Chama hakujaanza leo.
..........
 
Hii habari imeletwa kiushabiki tuu, hakuna bifu yoyote, nimeisikiliza hiyo clip, hakuna bifu bali kuna kukumbashana tuu the chain of command.

RC ndie rais wa mkoa!, kila kitu kiko chini yake, hivyo RC yuko right, yeye ndiye mwenye kauli ya mwisho kuhusu jambo lolote la mkoa wake.
P
Shikamoo kaka upo!
 
Leo kiko wapi?
 
Ugomvi, chuki na uhasama baina ya mkuu wa mkoa wa Arusha ,Mrisho Gambo na mkurugenzi wa jiji la Arusha, Dkt Madeni unazidi kuchukua sura mpya baada ya Gambo kumwambia kwamba usemaji wake una mipaka na kumwonya awe makini.

Wawili Hawa wana Hali ya kutoelewana huku chanzo kikidaiwa ni kugombea mradi wa ujenzi wa kituo kikuu Cha mabasi ya mikoani jijini Arusha.

Wakati mkuu wa mkoa na timu yake wakipendekeza ujenzi huo ufanyike mahali pengine mkurugenzi naye ameibuka akitaka mradi huo ufanyike sehemu nyingine.

Lakini pia inadaiwa mkurugenzi amekuwa akipingana na maagizo ya Rc Gambo kwa madai kwamba yeye anaripoti moja kwa moja kwa mkuu wa nchi hususani kufuatia nafasi yake akitajwa kwamba ni ofisa mwandamizi wa idara ya usalama wa taifa (TISS).

Katika madai hayo Rc Gambo anahisi Mkurugenzi amekuwa akipenyeza taarifa mbalimbali kwa mkuu wa nchi ili kumharibia kitumbua chake.

Lakini ugomvi huu unazidi kuchukua sura mpya baada ya DC wa Arusha, Gabriel Daqaro kumtabiria Mkurugenzi wa jiji kwamba huenda siku moja akawa mkuu wa mkoa wa Arusha na alitabiri hivi Karibuni alipokuwa akihutubia mkutano wa walimu wa shule za msingi na sekondari wilaya Arusha.

Itakumbukwa ya kwamba Daqaro ni afisa usalama wa taifa na aliwahi kuwa mlinzi wa Rais Magufuli kabla ya kupewa cheo cha ukuu wa wilaya.

Sinema ni ndefu macho na masikio ni yetu tutaendelea kuwajuza.

View attachment 1256076
 
Hii habari imeletwa kiushabiki tuu, hakuna bifu yoyote, nimeisikiliza hiyo clip, hakuna bifu bali kuna kukumbashana tuu the chain of command.

RC ndie rais wa mkoa!, kila kitu kiko chini yake, hivyo RC yuko right, yeye ndiye mwenye kauli ya mwisho kuhusu jambo lolote la mkoa wake.
P
Bado hii habari ni ushabiki kaka Paskali?
 
Mkubwa huwa hakosei, kauli ya mwisho ni ya mwisho, the boss is always right. Na ikitokea the boss asiwe sahihi ziko taratibu za kumrekebisha na sio kwa kutofautiana in public.
P
Naona mkubwa kabisa Tanzania kaamua kuku-prove wrong...

Mkubwa asiyekosea ni Mungu tu... mkubwa kabisa kila siku anakuomba umwombee kwakuwa anajua hata yeye anakosea

RIP Mrisho Gambo
 
Hii habari imeletwa kiushabiki tuu, hakuna bifu yoyote, nimeisikiliza hiyo clip, hakuna bifu bali kuna kukumbushana tuu the chain of command.

RC ndie rais wa mkoa!, kila kitu kiko chini yake, hivyo RC yuko right, yeye ndiye mwenye kauli ya mwisho kuhusu jambo lolote la mkoa wake.
P
The LEGEND, kama wengi wetu wanavyotuaminisha kukuita; bado unasimamia upande wako (position) kuwa 'HAKUNA BIFU YOYOTE' au unatengua kauli?
 
Mkubwa huwa hakosei, kauli ya mwisho ni ya mwisho, the boss is always right. Na ikitokea the boss asiwe sahihi ziko taratibu za kumrekebisha na sio kwa kutofautiana in public.
P
Kwenye hili tuko pamoja mkuu.

Hawa jamaa walikuwa wanamkosea sana Gambo. The boss is the boss, ukishindwana nae resign au kama serikalini omba uhamisho. Tabia za DC na DED zilikuwa ni za kishenzi kabisa, lakini naona mkuu kaamua wote waende na maji
 
Back
Top Bottom