Sakata la Ugomvi baina ya RC Gambo na Mkurugenzi wa Jiji Arusha lashika kasi

Hii habari imeletwa kiushabiki tuu, hakuna bifu yoyote, nimeisikiliza hiyo clip, hakuna bifu bali kuna kukumbashana tuu the chain of command.

RC ndie rais wa mmoja, kila kitu kiko chini yake, hivyo RC yuko right, yeye ndiye mwenye kauli ya mwisho kuhusu jambo lolote la mkoa wake.
P
Naona ukubali kuna waliokuzidi akili mkuu Pascal Mayalla
 
Ugomvi, chuki na uhasama baina ya mkuu wa mkoa wa Arusha ,Mrisho Gambo na mkurugenzi wa jiji la Arusha, Dkt Madeni unazidi kuchukua sura mpya baada ya Gambo kumwambia kwamba usemaji wake una mipaka na kumwonya awe makini.

Wawili Hawa wana Hali ya kutoelewana huku chanzo kikidaiwa ni kugombea mradi wa ujenzi wa kituo kikuu Cha mabasi ya mikoani jijini Arusha.

Wakati mkuu wa mkoa na timu yake wakipendekeza ujenzi huo ufanyike mahali pengine mkurugenzi naye ameibuka akitaka mradi huo ufanyike sehemu nyingine.

Lakini pia inadaiwa mkurugenzi amekuwa akipingana na maagizo ya Rc Gambo kwa madai kwamba yeye anaripoti moja kwa moja kwa mkuu wa nchi hususani kufuatia nafasi yake akitajwa kwamba ni ofisa mwandamizi wa idara ya usalama wa taifa (TISS).

Katika madai hayo Rc Gambo anahisi Mkurugenzi amekuwa akipenyeza taarifa mbalimbali kwa mkuu wa nchi ili kumharibia kitumbua chake.

Lakini ugomvi huu unazidi kuchukua sura mpya baada ya DC wa Arusha, Gabriel Daqaro kumtabiria Mkurugenzi wa jiji kwamba huenda siku moja akawa mkuu wa mkoa wa Arusha na alitabiri hivi Karibuni alipokuwa akihutubia mkutano wa walimu wa shule za msingi na sekondari wilaya Arusha.

Itakumbukwa ya kwamba Daqaro ni afisa usalama wa taifa na aliwahi kuwa mlinzi wa Rais Magufuli kabla ya kupewa cheo cha ukuu wa wilaya.

Sinema ni ndefu macho na masikio ni yetu tutaendelea kuwajuza.

View attachment 1256076
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
 
Hii habari imeletwa kiushabiki tuu, hakuna bifu yoyote, nimeisikiliza hiyo clip, hakuna bifu bali kuna kukumbashana tuu the chain of command.

RC ndie rais wa mmoja, kila kitu kiko chini yake, hivyo RC yuko right, yeye ndiye mwenye kauli ya mwisho kuhusu jambo lolote la mkoa wake.
P
Sema neno Leo hii
 
Huku kuingia katika Mizozo mara kwa mara ya Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mrisho Gambo na Watendaji wake Waandamizi hapo Mkoani Arusha kutarahisisha Kazi ya Msemaji wa Ikulu Msigwa ya kupewa Tangazo la Utenguliwaji na Uteuzi wa Mtu muda si mrefu. Nimwombe tu Mkuu wa Mkoa wa Arusha awe makini mno tena Kipindi hiki kwani Kuviziwa Kwake Kuondolewa hapo kunakochochewa na Maadui zake ndani ya Mkoa na Chama hakujaanza leo.
Maneno yametimia

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
Walishindwa kudefine mipaka yao ya utawala, kujidai na wameishia kumharibia RC. RC naye ana huruma na muoga. Hajawahi hata kuonyesha ukuu wake kwa hao.
 
Hii habari imeletwa kiushabiki tuu, hakuna bifu yoyote, nimeisikiliza hiyo clip, hakuna bifu bali kuna kukumbashana tuu the chain of command.

RC ndie rais wa mmoja, kila kitu kiko chini yake, hivyo RC yuko right, yeye ndiye mwenye kauli ya mwisho kuhusu jambo lolote la mkoa wake.
P
wametumbuliwa bwana
 
Mayala anatafuta udc what do u expect
 
Hii habari imeletwa kiushabiki tuu, hakuna bifu yoyote, nimeisikiliza hiyo clip, hakuna bifu bali kuna kukumbashana tuu the chain of command.

RC ndie rais wa mkoa!, kila kitu kiko chini yake, hivyo RC yuko right, yeye ndiye mwenye kauli ya mwisho kuhusu jambo lolote la mkoa wake.
P
Mkuu Pascal Mayalla naona kama mtizamo wako haukuwa sahihi 100% ndio maana wote wametenguliwa.

Ahsante
 
Back
Top Bottom