Sakata la Ndege iliyokamatwa Canada: Tundu Lissu akamatwa na Polisi kwa kumkashifu Rais. Anyimwa dhamana

mbona munakenuwa sana meno na kutoa press conference wazungu wanaokuja ikulu wakiwa na lissu wabaya na magufuli wazuri wanamwamini raisi wanaimani na vita yake ya ufisadi akiambiwa fisadi ahataki

They come through official channels na appointments zinakuwa confirmed na hiyo iko wazi.

Hii ya kukutana vichochoroni na kwenye mahoteli kwa kujificha ndiyo inatia mashaka.

Hizi ni official protocols na zipo nchi nyingi duniani.
 
Ni vitu vya kawaida tu. Kila taifa linanamna yake ktk kushughulikia wasaliti
posti fromu Nokia kitochi yuzingi jamii forum
Mkuu najua kuwa ni kawaida sababu tawala nyingi zipo chini ya ushetani, ila mimi na wewe hatupaswi kufurahia ushetani wao
 
Thubutu ndo kama ndani ya wiki hajaburuzwa chini ya mitaro ya magogoni kama Ghadafi

Ha ha ha, mkuu sisi ni waoga sana, tunajua kumtetea mtu tukiwa nyuma ya keyboard, yakimkuta ya kumkuta anabaki peke yake.

Unamkumbuka Ulimboka?
 
anazitoa kwa nani wampeleke mahakamani ndio atakazozitoa mzalendo na mtanzania kwa mujibu wa sharia za nchi anapaswa kulinda mali za umma sasa nyie mabashite munadhani hilo ni kosa kuleni nakuvimbiwa fedha za umma wakabila wakubwa nyie
umepandwa na pepo!?..analindaje mali ya umma?!
 
They come through official channels na appointments zinakuwa confirmed na hiyo iko wazi.

Hii ya kukutana vichochoroni na kwenye mahoteli kwa kujificha ndiyo inatia mashaka.

Hizi ni official protocols na zipo nchi nyingi duniani.
na wewe unaona umetoa bonge la propaganda wewe ni mshamba sana we have the right to speak hivi hamuoni nchi nzima inawazomea kwa ujinga wenu wakumfanya dikteta uchwara mtukufu what has he done in the country apart from destruction kuleni tu hizo posho za doto james lakini hatutakubali nchi muivuruge na muvunje umoja wa kitaifa
 
muuweni tu halafu muone matokeo yake maana mwajiaminisha kwamba nyie ni miungu na nchi mumeiweka mfukoni na wananchi sio waajiri wenu
Ukisoma vizuri, mimi namtetea Lisu kuwa kuna kitu kinapikwa kumdhuru. soma vizuri
 
Mmeshatupa hasara kwa maamuzi yenu ya kukurupuka bado mnaendelea kutupa hasara kwa kuendelea kukurupuka kwa kuwakamata Watu (Raia) wanao hoji hasara ya ukutupukaji wenu ...
Lissu amesababisha hasara ya tzs 12bn/_ ambazo tungezilipa baadaye. Zitto ampelekee chakula (sambusa na vitunguu) polisi sentro.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom