Sakata la Ndege iliyokamatwa Canada: Tundu Lissu akamatwa na Polisi kwa kumkashifu Rais. Anyimwa dhamana

Hii nchi bora iuzwe tu na kila mtu apewe chenchi yake tukawe wakimbizi kwenye mataifa ya watu.
 
View attachment 572420
Mbunge wa Singida Mashariki, Waziri Kivuli wa Katiba na Sheria, Mnadhimu Mkuu wa Kambi ya Upinzani Bungeni, Rais wa Chama cha Mawakili Tanganyika (TLS), Wakili wa Mahakama Kuu Tanzania na Mwanasheria Mkuu wa Chama cha CHADEMA Mheshimiwa Tundu Lissu, amekamatwa na Mlinzi wa amani alipokuwa anatoka mahakamani Kisutu .

Wamesema wamemkamata kwa ajili ya mahojiano.

"Tumetoka Mahakama ya Kisutu muda huu ambapo Mwanasheria Mkuu wa Chama, Tundu Lissu alikuwa na kesi ya tuhuma za uchochezi (uchochezi one) lakini pia alikuwa ni wakili kwenye kesi inayomkabili Yericko Nyerere hapa hapa Kisutu.

Wakati gari la Lissu likiwa liko getini tayari kwa kutoka, likawa blocked na nyuma ya gari yake pia likasimama gari jingine likiwa na askari polisi wenye silaha, kisha wengine wakamfuata na kumwambia yuko chini ya ulinzi na atakiwa kwenda Central Police.

Wakamtaka ashuke kwenye gari lake na apande gari jingine la kwao kwa ajili ya kuelekea Central Police". Amesema Makene.

Stay tuned..

======

UPDATES; 1740hrs

Lissu alikamatwa mida ya 1330hrs, lakini Mpaka Sasa bado Lissu anashikiliwa na Polisi Katika kituo kikuu cha kati na mawakili waliopo bado hawajajibiwa kama atapata dhamana ama laaa. ....tutawajuza kadiri ya taarifa zinavyokuja.

UPDATES; 1745hrs

Mwanasheria mkuu wa Chama Tundu Lissu anatuhumiwa kwa kosa la kutaja makosa ya rais hadharani na uchochezi kuhusu ndege aina ya bombardier Q400.


LABDA TUNDU LISU ATALIPA DENI NDIO MAANA WAMEMKAMATA ASAIDIE KULIPA DENI
 
Kumlinda na kumtetea dikteta uchwara kumekuwa ni ajira inayolipa ndugu yangu...hao wote ni ndugu zake Magufuli...utakuta kama si mtoto wa dada, ni mtoto wa shangazi au mtoto wa shemeji. Hawa wamemwagwa kila sehemu serikalini na ndani ya vyombo vya dola na sasa wamemwagwa mtandaoni na hasa humu JF. Kuna koo zingine si za kukabidhi madaraka...zina laana!

Mag3,
Well said bro. Lakini let me say this, acha Magu ahangaike, he is also a human being like us, he is not an angel from heaven! Kuwa Rais haimaanishi kwamba wewe ni superior na kwamba wewe ndiyo kila kitu na unaweza ku-dictate anything bila ya kuwa questioned!!
 
Hatambui mipaka yake ngoja awekwe mahala salama.

Mmeshatupa hasara kwa maamuzi yenu ya kukurupuka bado mnaendelea kutupa hasara kwa kuendelea kukurupuka kwa kuwakamata Watu (Raia) wanao hoji hasara ya ukutupukaji wenu ...
 
Gaddafi aliondolewa na kuawawa na baadhi ya walibya wenyewe ambao ni vibaraka wa wazungu kwa kutaka kuwasaidia wazungu kuiba raslimali za nchi hiyo namba moja MAFUTA.

Sasa hivi Libya ni nchi ya ajabu haijawahi kutokea.
Na wewe ni mtoto wa mjomba nini!
 
Dawa ya deni ni kulipa tu,wanachanganya Mambo wanapindisha Sheria wanadhan kila MTU ni mdengereko,mzungu analilea timing tu ukiingia kwenye 18 zake utajuta,lisu Hana kosa amefichua makosa na udhaifu WA serikali

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tafadhali muanzisha mada, next time baada ya jina Tundu Lissu ongezea LLB, LLM kama hautojali kuwa na heshima
Tundu Lissu (LLB-Hons), (LLM-Winter). The Honourable Member of Parliament, President of TLS and True figher for His Nation may his patriotism be upon Him. Amen. Yaani jamaa namkubali imebidi nimtambue hata kwa kiingereza cha kuunga unga!!
 
Back
Top Bottom