Sakata la Ndege iliyokamatwa Canada: Tundu Lissu akamatwa na Polisi kwa kumkashifu Rais. Anyimwa dhamana

na wewe unaona umetoa bonge la propaganda wewe ni mshamba sana we have the right to speak hivi hamuoni nchi nzima inawazomea kwa ujinga wenu wakumfanya dikteta uchwara mtukufu what has he done in the country apart from destruction kuleni tu hizo posho za doto james lakini hatutakubali nchi muivuruge na muvunje umoja wa kitaifa

Mimi mbona nimekujibu kama ulivyouliza?

Twende taratibu bila hasira wala kukashifiana hoja kwa hoja.

You have the right to speak but you need to speak right and at the right tunes with the right protocols through official channels.

The problem with your comrade Tundu Lissu is using unofficial avenues and not official channels.

You need official channels and not unofficial avenues.

Official channels are always straight forward but avenues sometimes have their signs changed or new signs so when you go you might get lost.
 
Habari za jion wana jukwaa,nimepokea kwa kwa furaha sana habari za kukamatwa kwa msaliti ambaye ni mtanzania asiye na uchungu na nchi yake ambaye ameendekeza njaa mbele.Asiyejali kuwa watoto wake na wajukuu wake wataishi katika Tanzania hii hii anayeiuza kwa wazungu Bw Tundu lissu.

Ningeshauri Polisi na Mahakama zimnyime Tundu lissu dhamana kwa sababu makosa hayo hayo anayarudia mara kwa mara kwa kujua kuwa akienda jela atapata dhamana,hivyo mahakama imnyime dhamana ili akajifunza uzalendo jela akitoka atakuwa na uzalendo.
 
Ndiyo, na ndiye msema kweli na mwenye uthubutu, wengine unaosema ni ma.snitch, ma.coward, wanafiki na wengine wanatukashifu.
Mbona low_wassa na kuwa kwake kwenye system haropoki na anayajua mengi na yupo upinzani kwa sasa,just imagine angekuwa na kifua kama cha huyo mbwe__ha hali ingekuwaje,busara muhim ktk uongoz pimbi wewe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haya mambo huwa hayatokei kwa bahati mbaya. Tawala zinazoelekea ukingoni haya lazima yatokee. Vitabu vitakatifu pia vinaelezea haya kwa kinaga ubaga. Na-quote bible lakini hata Quran I'm sure inazungumzia the same.
Timotheo, Sura ya 3, Mstari wa 1 - 6:
Lakini ufahamu neno hili, ya kuwa siku za mwisho kutakuwako nyakati za hatari. Maana watu watakuwa wenye kujipenda wenyewe, wenye kupenda fedha, wenye kujisifu, wenye kiburi, wenye kutukana, wasiotii wazazi wao, wasio na shukrani, wasio safi, wasiowapenda wa kwao, wasiotaka kufanya suluhu, wasingiziaji, wasiojizuia, wakali, wasiopenda mema, wasaliti, wakaidi, wenye kujivuna, wapendao anasa kuliko kumpenda Mungu; wenye mfano wa utauwa, lakini wakikana nguvu zake; hao nao ujiepushe nao. Kwa maana katika hao wamo wale wajiingizao katika nyumba za watu, na kuchukua mateka wanawake wajinga wenye mizigo ya dhambi, waliochukuliwa na tamaa za namna nyingi; wakijifunza siku zote, ila wasiweze kabisa kuufikia ujuzi wa kweli. ................. ........... 9. Lakini hawataendelea sana; maana upumbavu wao utakuwa dhahiri kwa watu wote, kama vile na upumbavu wa hao ulivyokuwa dhahiri. "MAMBO YOTE YATAPITA LAKINI NENO LITASIMAMA".
 
Mimi mbona nimekujibu kama ulivyouliza?

Twende taratibu bila hasira wala kukashifiana hoja kwa hoja.

You have the right to speak but you need to speak right and at the right tunes with the right protocols through official channels.

The problem with your comrade Tundu Lissu is using unofficial avenues and not official channels.

You need official channels and not unofficial avenues.

Official channels are always straight forward but avenues sometimes have their signs changed or new signs so when you go you might get lost.
Unajua kazi ya mwanasiasa especially wa upinzani au unadhan tundu lissu ni government employee?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari za jion wana jukwaa,nimepokea kwa kwa furaha sana habari za kukamatwa kwa msaliti ambaye ni mtanzania asiye na uchungu na nchi yake ambaye ameendekeza njaa mbele.Asiyejali kuwa watoto wake na wajukuu wake wataishi katika Tanzania hii hii anayeiuza kwa wazungu Bw Tundu lissu.

Ningeshauri Polisi na Mahakama zimnyime Tundu lissu dhamana kwa sababu makosa hayo hayo anayarudia mara kwa mara kwa kujua kuwa akienda jela atapata dhamana,hivyo mahakama imnyime dhamana ili akajifunza uzalendo jela akitoka atakuwa na uzalendo.
Amefanya kosa gani mkuu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kweli TZ tunafeli sana kijinga.

Unamkamata mtu kwa kosa la "kumkosoa raisi hadharani na uchochezi kuhusu ndege"!?

Ajabu sana, kama sio kweli basi wamwaibishe huyo Lissu kwa kuuweka ukweli mezani sio kutishia amani huku wao ndio wanajidai wanalinda amani..

Reverse psychology at work.
 
Mimi mbona nimekujibu kama ulivyouliza?

Twende taratibu bila hasira wala kukashifiana hoja kwa hoja.

You have the right to speak but you need to speak right and at the right tunes with the right protocols through official channels.

The problem with your comrade Tundu Lissu is using unofficial avenues and not official channels.

You need official channels and not unofficial avenues.

Official channels are always straight forward but avenues sometimes have their signs changed or new signs so when you go you might get lost.
Unproductive mind set
 
Back
Top Bottom