Sakata la Ndege iliyokamatwa Canada: Tundu Lissu akamatwa na Polisi kwa kumkashifu Rais. Anyimwa dhamana

naam, utakumbukwa
Nafikir atakua anayameza matapishi yake. Nao alisema Lissu hawez kupewa dhamana? Kwasabb hakuna kesi ya msingi hapo kasema ukweli

And i think the aim ilikuwa ni kuweza kupata clue za nani anayempa taarifa hizo ila wameambulia pua.

Wamejichanganya mkojo wa manji na kwa Lissu wametoka kappa
Hiyo haki pia ina mipaka yake....Tuna uhuru wa kuongea ila si kuwa umeruhusiwa uongee hadi maneno yanayo leta taswira mbaya katika jamii...

Ni sawa na kuwa katika dini umeruhusiwa kula lakini sio ule hadi upitilize au ule vitu visivyofaa kula.........Umeruhusiwa kutumia dawa ila ukizidisha dawa ni sumu...

Kila kitu unatakiwa ufanye lakini ufanye kwa kiasi..

Tundu Lisu anaongea hadi anapitiliza, kama mwanamke wakizaramo !! Anatakiwa awe na mipaka ya kuongea, kwani wenzie wote wa upinzani wanaonyamaza wanaongea vitu vya maana mbona hawasumbuliwi ??

Liwe zuri yeye anabwawaja baya, liwe baya yeye anabwawaja baya...hana la heri yeye...Huo mdomo wake anautumia vibaya na sauti yake sasa...KIKI TUU ANAPENDA HUYU


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom