Sakata la Ndege iliyokamatwa Canada: Tundu Lissu akamatwa na Polisi kwa kumkashifu Rais. Anyimwa dhamana

sidhani kama atapata dhamana. Kuna kitu kikubwa, I guess, I might be wrong kinapikwa! Muda ni mwamuzi anakuja soon!
muuweni tu halafu muone matokeo yake maana mwajiaminisha kwamba nyie ni miungu na nchi mumeiweka mfukoni na wananchi sio waajiri wenu
 
Mag3,
Well said bro. Lakini let me say this, acha Magu ahangaike, he is also a human being like us, he is not an angel from heaven! Kuwa Rais haimaanishi kwamba wewe ni superior na kwamba wewe ndiyo kila kitu na unaweza ku-dictate anything bila ya kuwa questioned!!

Mkuu soma updates hapo juu kosa analo shukiwa nalo Lissu ndio utaona vile mawazo yako yalivyo kinyume na Mkuu wa Nchi ,anaonekana hakosei na akikosea hatakiwi kuambiwa au kuuliza hapo hapo tunajinasibu kuwa nasi Tanzania tunaufuata Utawala wa Sheria..

Huwa nnajiuliza kwa aina hii ya Utawala wa sasa tutasonga vipi mbele kwa mawazo na utashi wa Mtu mmoja !!?..
 
Andika tu ila hicho kivuvuzera kinachotumiwa na wazungu koko tayari kiko central police hadi kitoe documents
ha ha muwe munakumbukumbu wazungu koko si ndio wanamlisha magufuli anawaomba hata wazungu wekendu jamani mbona munajianika na ujinga munalaana yakutoka chato nyie
 
Andika tu ila hicho kivuvuzera kinachotumiwa na wazungu koko tayari kiko central police hadi kitoe documents
ha ha muwe munakumbukumbu wazungu koko si ndio wanamlisha magufuli anawaomba hata wazungu wekendu jamani mbona munajianika na ujinga munalaana yakutoka chato nyie
 
Kwa hiyo unatutangazia kwamba Magufuli anataka kumuuwa mbona Putin si lolote hapa duniani ni nchi maskini tuu Zaidi ya kuwa na jeshi kubwa hawafurukuti hata kwa Japan madkiteta they have no brain
Soma tena comment yangu

posti fromu Nokia kitochi yuzingi jamii forum
 
Amedakwa kwa kosa la kusema ukweli..??

Magufuli anataka watu wa kumsifia tu.. Ukisema ukweli jela kuna kuhusu..
 
Gaddafi aliondolewa na kuawawa na baadhi ya walibya wenyewe ambao ni vibaraka wa wazungu kwa kutaka kuwasaidia wazungu kuiba raslimali za nchi hiyo namba moja MAFUTA.

Sasa hivi Libya ni nchi ya ajabu haijawahi kutokea.
mbona munakenuwa sana meno na kutoa press conference wazungu wanaokuja ikulu wakiwa na lissu wabaya na magufuli wazuri wanamwamini raisi wanaimani na vita yake ya ufisadi akiambiwa fisadi ahataki
 
View attachment 572420
Mbunge wa Singida Mashariki, Waziri Kivuli wa Katiba na Sheria, Mnadhimu Mkuu wa Kambi ya Upinzani Bungeni, Rais wa Chama cha Mawakili Tanganyika (TLS), Wakili wa Mahakama Kuu Tanzania na Mwanasheria Mkuu wa Chama cha CHADEMA Mheshimiwa Tundu Lissu, amekamatwa na Mlinzi wa amani alipokuwa anatoka mahakamani Kisutu .

Wamesema wamemkamata kwa ajili ya mahojiano.

"Tumetoka Mahakama ya Kisutu muda huu ambapo Mwanasheria Mkuu wa Chama, Tundu Lissu alikuwa na kesi ya tuhuma za uchochezi (uchochezi one) lakini pia alikuwa ni wakili kwenye kesi inayomkabili Yericko Nyerere hapa hapa Kisutu.

Wakati gari la Lissu likiwa liko getini tayari kwa kutoka, likawa blocked na nyuma ya gari yake pia likasimama gari jingine likiwa na askari polisi wenye silaha, kisha wengine wakamfuata na kumwambia yuko chini ya ulinzi na atakiwa kwenda Central Police.

Wakamtaka ashuke kwenye gari lake na apande gari jingine la kwao kwa ajili ya kuelekea Central Police". Amesema Makene.

Stay tuned..

======

UPDATES; 1740hrs

Lissu alikamatwa mida ya 1330hrs, lakini Mpaka Sasa bado Lissu anashikiliwa na Polisi Katika kituo kikuu cha kati na mawakili waliopo bado hawajajibiwa kama atapata dhamana ama laaa. ....tutawajuza kadiri ya taarifa zinavyokuja.

UPDATES; 1745hrs

Mwanasheria mkuu wa Chama Tundu Lissu anatuhumiwa kwa kosa la kutaja makosa ya rais hadharani na uchochezi kuhusu ndege aina ya bombardier Q400.
Nchi inaendeshwa hivi kweli..... Dr. JPM achana na huyu Lissu piga kazi tu... Watu kama Lissu huwa wapo ilikuikosoa serikali. Ur the only one we depend for surviver of our good nation, is the time to move on Sir JPM siasa tuziache
 
Back
Top Bottom