jmushi1
Platinum Member
- Nov 2, 2007
- 24,990
- 22,523
Kama kuna mtu yeyote ana listi ya wajumbe wa NEC aiweke hapa halafu tuangalie kama kuna mtoto ambaye si wa kigogo humo ndani!
Hata wasipompa mmoja wapo...Yoyote watakayempa kitu ni kile kile..Iwe huyo Kawawa, Nnauye na ama hata huyo Malissa wote wajumbe wa NEC ambao ndio wenye ku qualify kugombea uongozi humo ccm ni watoto wa vigogo..Ni mpango maalum na si bahati mbaya!
Ni style ya kisaddam saddam.
Nadhani ccm imeshakufa long time na nilshaanzisha thread yenye kueleza ni kwanini naamini hivyo.