Yaani mtu mmoja ana vyeo vyote hivi ? Huko CCM hakuna wengine katika maeneo hayo ? Kama hawapo akiondoka nani atashika nafasi zote hizo ama ataendelea kuwakilisha hadi katani ? Huyu nadhani ana mambo kama ya six huyu kuna jambo hapa si bure .
Hivi haya majukumu yake mengine anayatekeleza wakati gani maana naona kama vyeo vyake ni vingi sana kulinganisha na muda alinao. au inawezekana vyeo vingine ni kwa ajiri ya posho tu hakuna majukumu?