Sakata la Nape Nnauye na UVCCM

Sakata la Nape Nnauye na UVCCM

Jino kwa jino. taabu ya nini? UV CCM wapo sawa!
Wapo sawa ndiyo ila kwa siasa za kupakana matope kwa watu binafsi ni upungufu wa akili,tuangalie sera na siyo kuanza kutukana watu binafsi
 
CCM ndio wanakwamisha maendeleo ya Tanzania kwa kiwango kikubwa. CCM ndio wameleta umasikini na sasa wanataka kuleta vita nchini. Mimi natunza majina yao mmoja mmoja na kuna siku watu watalipa kwa yote wanayofanya hapo Tanzania......
 
Huyu kweli ndio kati ya vijana wote wa ccm KAONEKANA ANAWEZA KUWAONGOZA WENZAKE KWA MTINDO HUU KWA KUHOJI UJINGA KIASI HIKI?

Hata kama ni kutetea chama hii sio njia ya kukitetea chama bali ni kukidhalilisha hicho chama kama kweli huyu ndio katibu mkuu wa UVCCM sioni tatizo kwa nini Makamba asiendelee kuwa katibu mkuu kumbe wana sifa zinazofanana .
 
CCM ndio wanakwamisha maendeleo ya Tanzania kwa kiwango kikubwa. CCM ndio wameleta umasikini na sasa wanataka kuleta vita nchini. Mimi natunza majina yao mmoja mmoja na kuna siku watu watalipa kwa yote wanayofanya hapo Tanzania......
ELezea hili.Mie nadhani Maendeleo yanakwamishwa na watendaji walioko Serikalini na wala siyo CCM.Maendeleo hayawezi kuletwa na Chama bali yanaletwa na Nguvu ya Wananchi kufanya Kazi kwa Bidii na kujituma
 
Sera ni za ccm.... top brass ya viongozi wa ccm ni watendaji wa serikali. Wezi wa pesa za nchi ni wanaccm... wanaosaini mikataba mibovu ya IPTL na richmonduli ni ccm.... unataka kusema nini mkuu?
 
Mtoto akililia wembe mpe...!

We are risking our peace and increasingly edangering our nation through such unwise statements.
Mhe.Rais,okoa jahazi kabla halijapasuka maana hii si dalili njema ati.
Huko kukamatwa watu kwa tuhuma za uhaini Pemba, majibizano ya viongozi wa CCM na CUF,na haya matusi yaliyomo humu ni ishara tosha kwamba bomu linakaribia kulipuka.
Mpasuko tuliotakiwa kuushona kabla,unakaribia kugeuka mvunjiko.Heri viongozi wetu mkiitambua hatari hii na kutuepusha na madhara yake.
 
Sera ni za ccm.... top brass ya viongozi wa ccm ni watendaji wa serikali. Wezi wa pesa za nchi ni wanaccm... wanaosaini mikataba mibovu ya IPTL na richmonduli ni ccm.... unataka kusema nini mkuu?

Ina maana hoja ni UCCM??kila mtu ana haki ya kuchagua ni chama kipi kiwe chama chake,na hakuna mtu anayefungwa na serikali asichague chama akipendacho,

Ina maana unataka kusema kama CHADEM ikiingia Madarakani basi watu wote mtawatoa kwasababu ni wanaCCM??

Naomba tutafautishe watendaji wa serikali na viongozi wa kiserikali,utapata picha Nzuri,kama utakumbuka suala la Kusainiwa kwa Mkataba wa Buzwagi,watendaji wa kamati pale Wizarani walikataa kuingia Mkatba ule.

Mie naweza kuungana Mhe. Pinda kusema kwamba Mtu mmoja ambeya ni fisadi awezi kuwakilisha Chama chote ni watu namna hiyo
 
Viongozi wenyewe ndio kama huyu katibu mkuuu UVCCM ukimchanganya na katibu mkuu CCM makamba nafikiri unaweza kuona kitu hapo kuwa wanaweza kuamua kitu gani hawa ...........

No doubt CCM imekosa uongozi kwenye ngazi zote.
 
Unafikiri ni kwanini imekosa uongozi katika ngazi zote?
 
Ina maana hoja ni UCCM??kila mtu ana haki ya kuchagua ni chama kipi kiwe chama chake,na hakuna mtu anayefungwa na serikali asichague chama akipendacho,

Nani amepinga hili?

Ina maana unataka kusema kama CHADEM ikiingia Madarakani basi watu wote mtawatoa kwasababu ni wanaCCM??

You betcha!

Naomba tutafautishe watendaji wa serikali na viongozi wa kiserikali,utapata picha Nzuri,kama utakumbuka suala la Kusainiwa kwa Mkataba wa Buzwagi,watendaji wa kamati pale Wizarani walikataa kuingia Mkatba ule.

ALiyesaini mkataba wa Buzwagi ni nani?

Mie naweza kuungana Mhe. Pinda kusema kwamba Mtu mmoja ambeya ni fisadi awezi kuwakilisha Chama chote ni watu namna hiyo

Hili la Pinda bado nasubiria akija kiwanja nimkaribishe babikyu alafu nitatoa opinioni yangu kuhusu yeye. SO far the guy ni fisadi tu kama wengine wote huko ccm.
 
Heshima wakuu,
Mambo ukiyatazama jujuu ni rahisi lakini ndani kwa kina yanatisha. Pengine tumwangalie msemaji ni nani na katoka wapi kwa kifupi halafu tuijadili hoja aliyoitoa.
Francis Isack-Kaiumu Katibu mkuu wa UVCCM(T),ni zao na pandikizi la Emanuel Nchimbi ndani ya UVCCM.Bado ni mwenyekiti wa uvccm mkoa wa Singida, kijana aliyemaliza chuo kikuu SUA. kAANZA pilika za siasa mda mrefu lakini kichwa ni bua tupu lisilojua laenda wapi na latoka wapi(ziro)...si ajabu kutoa tamko kama hili.
Aligombea NEC ya CCM mara ya kwanza mwaka 2002 jina lake halikurudishwa na vikao vya chama chake na wkati huo alichukua fomu na Nape Nnauye kutokea mkoa wa Singida,jina la Nape likarudi akaanza kumpiga vita asishinde uchaguzi ule matokeo kuja Nape mshindi wa kwanza.
Ni kijana huyu kwa kumbukumbu aliwahi kupata kesi ya kuua kwani alimlazimisha girl friend wake akanywa sumu Singida mjiaka ya tisini,akasaidiwa na Mama mmoja kwa jina CHILOLO (MB),ambaye nilishangaa juzi anamtukana mama huyu kwa matusi ya nguoni...
Mwaka jana ameshindwa kupata hata ujumbe wa mkutano mkuu wa CCM aliogombea Singida,wakamkataa hata kuwa mweka hazina wa CCM mkoa wa Singida na kipigo cha mwisho akashindwa vibaya UNEC mwishoni mwa mwaka jana uchaguzi mkuu wa CCM.Wakati huo alikuwa akijipanga kumrithi Nchimbi na kwakweli akiwa chaguo la Nchimbi badala ya Nape na wengine wanaoitaka nafasi hiyo.
Lakini mwishoni mwa mwaka jana na mwanzoni mwa mwaka huu wapambe wa Nape waliibua hoja kuwa Francis alidanganya viokao vya CCM umri wake wakaja na evidance toka SUA,KANIOSANI ALIKOFUNGIA NDOA YAKE NA BINTI MOJA ANAITWA BLANDINA,WIZARA YA KAZI INA CV YAKE ALIKIMBIZA MWENGE MWAKA 2004/2005, na vithibitisho vingi,akaona maji marefu,Nchimbi kamchukua na kumpa ukaimu katibu mkuu UVCCM ILI ASAIDIE KUMVUSHA FISADI MTOT BENNO MALISA AWE MWENYEKITI NAYEYE AWE KATIBU MKUU WA UVCCM.....hili ni gemu wacha ninywe chai ntaendelea nalo...
 
Unafikiri ni kwanini imekosa uongozi katika ngazi zote?

kWA SABABU WANAOPASWA KUTENGENEZA VISION NDIO HAO MAKATIBU WAKUU NA HATA VISION YA UONGOZI SASA mAKAMBA NA HUYU fRANCIS WANAWEZA KUTENGENEZA VIONGOZI WA AINA GANI KAMA WAO WENYEWE HAWAJITAMBUI?

Ndio maana nasema ngazi zote watakuwa wamepoteza kwa sababu mtu wa kutengeneza dira mwenyewe hajijui sasa hao wanaowaongoza je?
 
Huyu Francis ameharibu mno. Haiingii akilini mtu kusema maneno kama yale halafu akaendelea kuitwa kiongozi. CCM inakaribia kuanguka aguko kubwa na wala haitainuka tena. Kama viongozi wa ngazi za juu hawatasema kitu kesho basi ujue CCM inaelekea pabaya.

Anyway, CCM ina ujasiri kwa vile jeshi na polisi vipo kwa ajili yao na sio kwa ajili ya kuwalinda wananchi!!! kwenye kura wanatumia vyombo vya uslama kuiba kura, kwenye vurugu wanatumia vyombo vya dola kutisha na kuwanyanyasa hata kuua watu!!!!
 
Ni dalili za kutapatapa hizo wanaona sasa maji yanawafika shingoni. Nasikia wanachama wengi wa CCM wameanza kukataa kulipa ada zao za kila mwezi na kuchota mabilioni pale BoT sasa hivi haitakuwa rahisi.
 
Itafikia sehemu hata vyombo vya dola na hata vile vya usalama wa Taifa vitajiondoa kwenye upuuzi huu kwa kukwepa lawama na haki za binadamu maana watakuwa wanawasakiziwa maiti wakati wauaji ni sisiem.Freedom from fear is coming on our lifetime no more oppression regime
 
Ni dalili za kutapatapa hizo wanaona sasa maji yanawafika shingoni. Nasikia wanachama wengi wa CCM wameanza kukataa kulipa ada zao za kila mwezi na kuchota mabilioni pale BoT sasa hivi haitakuwa rahisi.

Wataanza kuuwa watu kama Mugabe ili watoe kafara kwa mashetani wanayoyaabudu.
 
Huyu Francis ameharibu mno. Haiingii akilini mtu kusema maneno kama yale halafu akaendelea kuitwa kiongozi. CCM inakaribia kuanguka aguko kubwa na wala haitainuka tena. Kama viongozi wa ngazi za juu hawatasema kitu kesho basi ujue CCM inaelekea pabaya.

Anyway, CCM ina ujasiri kwa vile jeshi na polisi vipo kwa ajili yao na sio kwa ajili ya kuwalinda wananchi!!! kwenye kura wanatumia vyombo vya uslama kuiba kura, kwenye vurugu wanatumia vyombo vya dola kutisha na kuwanyanyasa hata kuua watu!!!!

kiana kaongea kama kijana !

Mbona hata Mbowe nae kasema upuuzi mwingi tu na sasa hivi anafanya upuuzi huo huo !

unabisha ? SOMA HAPA !

Mbowe tears into Mrema

By Guardian Correspondent, Songea

CHADEMA Chairman Freeman Mbowe has accused his Tanzania Labour Party (TLP) counterpart Augustine Mrema of undermining the opposition.

Adressing Songea residents on Wednesday, Mbowe said Mrema was among opposition leaders who were an 'obstacle' to efforts to strengthen the opposition in the country.

He said Mrema's 'selfishness' was having a negative impact on the opposition, adding that he was the root cause of endless conflicts in all parties he had led.

"Once Mrema joins a party, then that is the beginning of endless wrangles which eventually drive out committed leaders. In fact, some leaders have dumped the opposition because of Mrema?s selfishness," Mbowe, who is also the Hai MP, said.

He said Mrema was also intolerant to party officials and members who stood up to his 'dictatorial' tendencies, adding that the opposition could not be built by such leaders.

"He runs a party as if it?s his private property and promptly kicks out all those who dare question his way of doing things.

The opposition has lost many committed leaders because of Mrema. We cannot go on like this," Mbowe said and added that the electorate was gradually losing confidence in the opposition.

He said the late Mwalimu Julius Nyerere showed 'incredible foresight' when he urged Tanzanians not to elect Mrema as president in 1995.

"Mrema was very popular at that time and I wonder where we would be if he was elected president. We should thank the late Mwalimu for saving this country which was most certainly going to the dogs."

He said Mwalimu was right in advising Mrema to drop his quest for State House and vie for a parliamentary seat instead.

"As expected, he won a seat in the 1995 elections, but was soon out of parliament and now he wants to vie for the presidency again," the Chadema chairman said.

Mbowe is on a ten-day tour of Ruvuma Region where he is expected to open branches in all wards in the region.

SOURCE: Guardian

HALAFU ONA LEO ALIPO !!
 
Unafikiri ni kwanini imekosa uongozi katika ngazi zote?

Kwa sababu kote kumejaa mafisadi walioweka matumbo yao mbele badala ya maslahi ya Watanzania
 
Back
Top Bottom