1
Mkuu nilitaka mimi na wewe twende step by step, of exactly who Nchimbi is tukaona jinsi alivyoshindwa kupasi darasa la Saba na kwenda kusoma Sangu, nikakuuliza Sangu ambayo na wewe ulisoma kama ni shule ya Serikali ya waliopasi hukujibu tena! Sasa kosa langu liko wapi? Haya matuisi ni wewe unayapenda sana eti kwa sababu wewe ni shoga wa Nchimbi basi inakupa power ya kuja hapa na kutukana na jina la mtoto wa fisadi, watu wengine mtaelimika lini jamani?
2.
No clue what is the point here?
3.
Anytime ukiwa tayari kuonyesha elimu nzito na ya halali ya Nchimbi, mimi nitakupa hiyo medali ya Nchimbi, lakini ulikuwa na all the time kufanya hivyo toka juzi sasa tatizo lilikuwa nini? Nani aliyekuzuia na nani anayekuzuia sasa?
4.
1. Hivi kwa nini uantaka kuchanganya ishus, aliyoyafanya Nchimbi jana nani amekataaa? Wote tumekubali kuwa jana Nchimbi amfanya aliyoyafanya kama mwenyekiti wa UV-CCM, hakuna aliyetegemea Nchimbi kufanya tofauti, lakini tunasema kuwa bado ishu itaenda CC, sasa hapa hoja yako ni nini?
2. Mimi unajua vyema ni lini nimewahi kukimbia hapa wala kubadili majina? Sasa leo au kesho cha ajabu kitakuwa ni kipi hicho as far as Nchimbi na CCM mpaka eti nikimbie na kubadili kauli? Sio tabia yangu hiyo hata siku moja mkuu!
I am always here, having a lot of fun and good time na ishus za taifa langu! uwe unawatisha wasiokujua vizuri na wanaoamini kuwa kweli wewe ni mtoto wa fisadi, not me mkuu!
Again Ahsante Sana.