William J. Malecela
R I P
- Apr 27, 2006
- 26,584
- 10,464
1.
About Commonwealth Open University
Ahsante kwa kunishika pabaya sana mkuu, lakini kama nilivyosema ninasimaimia facts na hoja na sio personal maana sina tatizo personal na wewe, wenzako wala Nchimbi, ila ninaweka utaifa tu mbele,
Humu ndani ya hii forum tuna wakuu wengi tu wenye PHDs, sasa naomba kuelewa eti wakuu, hasa kwako mkuu Kitila maana najua sasa uko kwenye hii kazi ya PHD, hongera sana kwanza, eti hizo shule mnazozisomea PHD au mlizowahi kuzisomea PHD, kwenye makaratasi ya kujisajili kuna mahali zilisema kuwa hizo PHD zenu zinaweza kuwa not accepted? Maana hiki chini ndicho chuo cha Commonwealth ambacho Nchimbi, amesoma Masters mbili na PHD, in three years, hebu soma chini hapa maelezo ya hiki chuo:-
1. COU provides adult continuing education. It was developed to meet the needs of adults by offering non-resident degree and other programs on an international basis.
2. There are no entry requirements for undergraduate courses.
3. You decide how long you will take to complete your course work. While you are studying,
4. a teacher will be available to offer help, answer questions, and guide you through the learning process, but students are free to choose their own study pace.
5. COU is committed to providing equal opportunities for study. We welcome applications from English speaking people of all nationalities and from any background, regardless of race, gender, sexual orientation, age, occupation, marital status, sensory or physical disability, religious or other beliefs.
6. Commonwealth Open University is an international institution registered and established in the British Virgin Islands (U.K.), which has many students all over the world.
7. Our graduates have had remarkable success in having their degrees accepted. Although we can not guarantee that a COU degree will be accepted, we will gladly supply information to potential or current employers or institutions.
Quote: Mambo Jambo
FMES!
Umeshikwa pabaya, tafadhari tafuta pakutokea.