S. S. Phares
JF-Expert Member
- Nov 27, 2006
- 2,138
- 88
Zengwe la umri ni kanuni iliyoingizwa kwenye taratibu za Uchaguzi wa UVCCM mwaka 2003 wakati Mwenyekiti wa sasa, Dk Emmanuel Nchimbi anawania nafasi hiyo kwa mara ya pili, ikilenga kumuengua, lakini busara ya Kamati Kuu ya CCM iliiweka pembeni kwa muda.
Nilikuwa nathani kipengele cha umri kiliwekwa baada ya Nchimbi kushika madaraka 2003 kumbe ilikuwa ni kabla na yeye ndiye aliyekuwa mlengwa..!!
Ninaimani Nape ana wapiga kura wengi ndani ya UV-CCM walioko mikoani wanaomuunga mkono...hapo mjini Dar wengi ya hao wapiga kura wana mahusiano ya karibu na hao mafisadi, hivyo sioni ajabu kwa wao kumpa alama ya E.
Nape Nnauye is bad news for those who prefers status quo.