Sakata la Nape Nnauye na UVCCM

Sakata la Nape Nnauye na UVCCM

Sitashangaa sana kama Nape atapitishwa na NEC, watu wengi ndani ya CCM wameanza kuamka na sidhani kama wataona uvivu kotofautiana na Nchimbi. Ningeomba tutumie hii thread kuwajadili hao waliopitishwa na Nchimbi na team yake, apart from Zainab- who are they?

Kana-Ka-Nsungu, umepatia maana hata hii story imepelekwa na Nchimbi huko Mwananchi kupitia kwa mwandishi mmoja mkubwa ambaye hata hivyo sasa anaondoka hapo Mwananchi, ambaye alimpa kijana wake, aliyeandika.

Story hiyo imetolewa na kina Nchimbi kupima upepo kama Nape akiondolewa kutatokea nini na pia kuwakatisha tamaa wafuasi wa Nape na wapiga kura ambao wataambiwa "achaneni naye, mpeni kura .... tumeshamkata jina lake."

Lakini ukweli ni kwamba kikao hicho kilimpa alama hizo hizo uchaguzi uliopita lakini NEC wakampandisha na kumpa alama A kwa kuwa ni mjumbe wa NEC aliyepata kura nyingi na ni mtumishi wa chama, kwa hiyo alama E ni kwamba NEC na CC iliyompitisha na wajumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM hawana akili na CCM kumuajiri pia imekosea maana hafai hata kuwa mjumbe wa nyuma kumi.

Hayo ni matusi kabisa kwa CCM na kwa wana CCM wote. Kwa kuwa NEC ina mseto wa watu mbalimbali, nadhani NAPE atapitishwa tu maana kama Bashe kapitishwa hakuna kigezo cha kumzuia NAPE
 
IMANI YA CCM
Imani za CCM zimejengwa chini ya misingi ya usawa kwani binadamu wote ni sawa.
MASHARTI YA UANACHAMA
Ni rahisi kujiunga na CCM kwani masharti yetu yanamlenga mwananchi yeyote muadilifu
MALENGO YA CCM
CCM kinalenga kumuwezesha mwananchi yeyote wa Tanzania kupata maendeleo

Is these correct?
 
nafikiri hao wengine wanaCCM wenyewe wanafaa kuwajadili...
 
Nafikiri haya maneno ya Nape, yako very clear au ni mimi peke yangu ninayaona tofauti, kwamba ni NEC peke yake ndiyo wenye huu uamuzi na sio Nchimbi na kamati zake, au?

Hao akina Nchimbi hawana uamuzi wa mwisho lakini ndio wanaoanza kusambaza sumu na wameshaianza kazi hiyo. hapo anatakiwa mtu makini wa kujenga hoja katika vikao vya juu kumuokoa nape, la sivyo, ameshakwenda huyo
 
Kana-Ka-Nsungu, umepatia maana hata hii story imepelekwa na Nchimbi huko Mwananchi kupitia kwa mwandishi mmoja mkubwa ambaye hata hivyo sasa anaondoka hapo Mwananchi, ambaye alimpa kijana wake, aliyeandika.

sasa mbona unaanika vitu nusu nusu, ni akina nano hao katika uharamia wa kummaliza nape, lete vitu halisi
 
Hao akina Nchimbi hawana uamuzi wa mwisho lakini ndio wanaoanza kusambaza sumu na wameshaianza kazi hiyo. hapo anatakiwa mtu makini wa kujenga hoja katika vikao vya juu kumuokoa nape, la sivyo, ameshakwenda huyo

Mpita Njia,

Hilo swa na mimi niko upande wa Said Mtanda na Nape coz ni vijana pekee ambao hawana makundi na nadhani wana nafasi kubwa ya kuchukua ushindi,tuwape nafasi waoneshe wanaweza.

Tatizo lipo kwa watu wa ina ya NCHIMBI,watu wanaoaminika walichangia ushindi wa Mkulu,hapa kuna tatizo sababu moja kubwa kama mkuu akiwaaca watamziria nchi na ndiyo maana mkuu wa nchi yuko makini sana.kuna madhara kama Nchimbi akipuuzwa ila atakchofanya ni kutumia wazee kuamua hili ili asionekane yeye anampendekeza nani.

Kimsingi mie nalijua chaguo la Mkulu linaweza kuangukia kwa nani.

Watu juu mnauliza Said Ni nani kwa sababu gani,yaani kugombea lazima uwe flani?lazima uwe mtu kutoka sehemu atakayo mtu flani?au maarufu kiasi gani??hili ni tatizo na wakati mwingine nyani ngabu you are right..ndivyo tulivyo...tunapenda wenye majina na wale ambao tuwapendao kutoka nyumbani
 
Said Mtanda ni kijana wa Jk kabsa..amekulia mikononi mwa JK akiwa bagamoyo...hadi akaingia chuo kikuuu akasomea sociology akiwa intake moja na Ridwani....amekua ndani ya chama sababu anajua lililokuwa linakuja....akagombea Mwenyekiti Vijana bagamoyo then mkoa wa Pwani....akawa mjumbe wa vikao vya UV CCM......alikuwa miongoni wa wapiga dembe wa mjoba wake--JK...mpo??sasa ni msaidizi maalumu wa mzee makamba na yeye ndio mwandishi habari wa
Makamba...anandaliwa kuja kupewa kazi nzito nzito kwa sasa anapikwa...kumbukeni JK alipopitaa nae alikaa sana kwenye chama kama vile hayupo.......

Kazi iliyopo kwa Ridhwani atampigia nani debe?Said Mtanda au Beno?

huwa mara nyingi sana namsikia Makamba akitaka kutishia mtu yeyote huwa anasema"wenye chama hawataki............'"nani mwenye chama????hata Nape nae alimwambia same words....

Makamba always anasikiliza JK anataka nini sio matakwa ya chama....subirini mtaona kabla JK hajatoka....kina Said na wengineo wengi tuu watawekwa sehemu nzuri nzuri....ili kulipa fadhilaa kwa madai wameiva kwenye chama na ni waamini kwa chama.........
 
Ridhwan like his father like his son.He will opt for the one who will win.At the first he was supporting Benno and am still sure he is still there.

"Nani mwenye chama" it is the same as "nchi inaongozwa inaongozwa na system"

haya maswali matatu huwa hayana majibu

1.Nani mwenye chama
2.Nani mwenye system
3.Nani anastahili kukaa kwenye system milele(wachache kama kingunge na mzee kawawa na mzee Peter kisumo).

Tatizo lipo kwa watu wa ina ya NCHIMBI,watu wanaoaminika walichangia ushindi wa Mkulu,hapa kuna tatizo sababu moja kubwa kama mkuu akiwaaca watamziria nchi na ndiyo maana mkuu wa nchi yuko makini sana.kuna madhara kama Nchimbi akipuuzwa ila atakchofanya ni kutumia wazee kuamua hili ili asionekane yeye anampendekeza nani.

Hapa ndipo ninapoona utawala wa nchi umefikishwa pabaya. Kwa nini uongozi wa nchi unawekwa rehani kiasi hiki? Kwa nini watu binafsi wawe wanashikilia sehemu ya uwezo wa kufanya maamuzi?
 
Hapa ndipo ninapoona utawala wa nchi umefikishwa pabaya. Kwa nini uongozi wa nchi unawekwa rehani kiasi hiki? Kwa nini watu binafsi wawe wanashikilia sehemu ya uwezo wa kufanya maamuzi?

Mpita njia,

Tatizo ni kwamba ,haiwezekani ukatoka bila kuwa na mtu na hii imani imejengeka sana na inaharibu kila kitu.Mkapa aliweza hili ila Jk alikuwa na kundi kubwa sana na kuwalipa wote itachukua muda sana.

Mie nafikiri tupate watu wenye mawazo kama Mzee Mwanakijiji,wenye upeo kama Mchungaji kishoka then tuwapendekeze wagombee uongozi.

kwani wakikusaidia na ukawatosa watakufanya nini?ishu inakuja kuwa kwenye System.Je wataendelea kuwa na wewe?hivi mnamkumbuka John Githongo?we need watu kama huyu

Mzee Mwanakijiji for Tarime 12th October 2008

Kwani ridwan yeye hagombei uvccm? mbona nilisikia na yeye anagombea? au ameghairi kuwaachia watoto wa wakulima?

Na je, nafaham Ridhwan alitangaza kuwa anamsupport Benno, Je na huyu Said Mtanda ambaye ni Mwenyekiti wake wa Uvccm wilayani kwake bagamoyo, pia ni mjumbe wa baraza kuu la taifa kutoka mkoani kwake, na pia ni mjumbe wa kamati ya utekelezaji ya mkoa wake, atamtosa?

au tuseme ndio aliteleza kuwa kimbele mbele kushabikia asichokijua kitakachotokea? ndio mwisho mbaya anaouchungulia?
 
Riz and Benno are friends kwa muda sasa,toka wakati wakisoma Chuo kikuu cha Dar es salaam upande wa Mlimani.Benno ni mtu wa ina ya Lowassa,hana historia katika chama ila ni mjanja sana kujiweka haraka haraka na ameweza kufanikisha adhma yake.

what i know Riz ataoa siku yoyote kati ya leo na Jumamosi..
 
Watu juu mnauliza Said Ni nani kwa sababu gani,yaani kugombea lazima uwe flani?

Gembe, mimi ni mmoja waliouliza hilo swali na its simply bse sijawahi kumsikia huyo dogo kabisa na nadhani kwa wengi hii ndio sababu iliyowafanya waulize swali hilo. Skills4ever asante kwa kutupa mwangaza kuhusu hili.
 
Mpita njia,

Tatizo ni kwamba ,haiwezekani ukatoka bila kuwa na mtu na hii imani imejengeka sana na inaharibu kila kitu.Mkapa aliweza hili ila Jk alikuwa na kundi kubwa sana na kuwalipa wote itachukua muda sana.

Mie nafikiri tupate watu wenye mawazo kama Mzee Mwanakijiji,wenye upeo kama Mchungaji kishoka then tuwapendekeze wagombee uongozi.

kwani wakikusaidia na ukawatosa watakufanya nini?ishu inakuja kuwa kwenye System.Je wataendelea kuwa na wewe?hivi mnamkumbuka John Githongo?we need watu kama huyu

Mzee Mwanakijiji for Tarime 12th October 2008

Tatizo letu ni kubwa kiasi cha kuzidi uwezo wa watu kama Githongo. Ukiangalia jinsi 'wanavyoandaliwa' watu kama hawa wanaotajwa kuwa na nafasi ya kuipata nafasi ya nchimbi, na ukiangalia ulivyoeleza jinsi Nchimbi and the company 'walivyomshika' mukulu, inakuwa vigumu kuamini kuwa tunaweza kupata system itakayotuoko kwa sababu hao hao ndio waundaji na waendelezaji wa hiyo system.
Hata kama tutapata watu kama Mwanakijiji na Mchungaji, tunapaswa kuwa na wengi wa aina hiyo ili ku-overhaul the system, na kuanza upya. Are in a position to start afresh?
 
Halisi,

Ninakubaliana na wewe kwamba hiyo Kamati ya Utekelezaji wamechemsha. Kama swala ni umri basi hata Bashe hakutakiwa kupitishwa.

Kitu muhimu ambacho mwandishi wa habari alitakiwa kukiweka wazi ama kuwauliza hao wana kamati ya utekelezaji ni swala la vigezo walivyotumia kutoa alama E kwa kijana Nape.

Nina amini kauli ya Nape kwamba hivyo vikao vinavyoongozwa na Nchimbi havina nguvu zaidi ya kupeleka mapendekezo kwa vikao vya juu. Kauli hiyo iko sahihi na ana uhakika na kile anachokisema. Tusubiri maamuzi ya CC na NEC.
 
Nafikiri haya maneno ya Nape, yako very clear au ni mimi peke yangu ninayaona tofauti, kwamba ni NEC peke yake ndiyo wenye huu uamuzi na sio Nchimbi na kamati zake, au?
kaka sera yangu ni jino kwa jino na panga kwa panga...ukiona mahali nimeng"ata basi ujue nami nimetendwa the same......Nape amekwisha siku nyingi niliwaambia hivyo....acheni ndoto za asubuhi hapa.Kamati za vijana ambazo wewe unaziita kwa kejeli kuwa ni kamati za Nchimbi{najua chuki zako kwa Nchimbi}zinapeleka mapendekezo yenye uzito unaostahili kwenye kamati kuu.Na zinatakiwa kupunguza majina mpaka yabaki machache kwa uamuzi wa mwisho....Nakwambia Nape hana ujanja wa kucheza ngoma hii ata kama atapitishwa.
 
Hayo ya Nape tuliyategemea ila wasim-ipyana tu. Nchimbi siku yake inakuja subirini tu.

Utasubili kama alivyo wanavyosubiri wagalilaya ujio wa Yesu....zimekuja siku nyingi sana zimepita na amezisahau....yamekuja mabaya mengi sana yamepita na ameyasahau...alitoa Askofu Kakobe siku saba aombwe radhi na akachemka ije wewe na kelele zako za kobofya kompyuta....kaloge katume majambazi kajinyonge Nchimbi will alway keep on going strong..
 
Sitashangaa sana kama Nape atapitishwa na NEC, watu wengi ndani ya CCM wameanza kuamka na sidhani kama wataona uvivu kotofautiana na Nchimbi. Ningeomba tutumie hii thread kuwajadili hao waliopitishwa na Nchimbi na team yake, apart from Zainab- who are they?
kama mnataka kumsaidia Nape Mwandosya mmechelewa kwa kuwa Nape hajakatwa na Mtu bali amekatwa na kanuni ambayo imemfikisha kikomo cha umri na umri ni ukuta,sasa kujaribu kudai ni Nchimbi ndio kamkata ni kusingizia kusiko na kikomo kwa kuwa kikao kilicho mkata sicho kilichopitisha hio kanuni,
 
Nape Nnauye huna sababu ya kukihama chama cha mapinduzi, simama imara ktk mstari ulioanza nao, pigana vita hii na ushindi ni dhahiri kwako.

Mungu akubariki kwa uamuzi wa kuomba unyekiti wa uvCCM na pia kuwa tayari kukabiliana na watesi wake ndani ya Chama. Pigana ktk dhamira safi ya kuimarisha Demokrasia, daima demokrasia haisemi uongo.
 
Back
Top Bottom