Kungurumweupe
JF-Expert Member
- Jun 17, 2008
- 317
- 109
EL aishitaki NBC na siyo Kubenea, vinginevyo atachemsha asubuhi na mapema!
Naamini kuwa jana wakati Lowassa alipokuwa anatoa agizo hili alikuwa hajashauriana na wanasheria wake , kwani mkataba umesainiwa na hata mimi nimeuona na tayari mkandarasi yupo site sasa atasema je kuwa hakuna mkataba?
Mkataba una sahihi yake yeye Lowassa na Amos Makala.
Hivi ni nani vile... alituma watu kwenda kumshambulia kubenea na yule mzee wakawajeruhi hadi wakapelekwa india kutibiwa?! Nimesahau vile.....!
Fisadi Mtoto naomba unikumbushe mkuu, nimesahau vile....!
Kabla ya kusema sana kama kweli umeuona huo mkataba kwanza niambie toauti kati ya Contract na MoU.then niambie ni feature gani ulioiona kwenye what you so called mkataba ambayo inaonyesha kuwa ni mkataba na siyo MoU.baada ya hapo tunaweza kuendelea kuurgue
Ok Ni Yule Mfanyakazi Wa Bakheresa Ambaye Kubenea Alikuwa Akimchukulia Mkewe.hivi Ni Nani Vile... Alituma Watu Kwenda Kumshambulia Kubenea Na Yule Mzee Wakawajeruhi Hadi Wakapelekwa India Kutibiwa?! Nimesahau Vile.....!
Fisadi Mtoto Naomba Unikumbushe Mkuu, Nimesahau Vile....!
Hii ni JF unafikiri mkataba haupo eeh, subiri kidogo litawekwa bandiko lenye page tano hapa, na masahihi ya hao jamaa niliowataja hapo juu, kuwa Mkataba una sahihi ya Lowassa na Amos Makala.
Pia jua kuwa JF ni jungu kuu,
MOU haiwezi kutumika kumfanya kandarasi awekeze 6 bilion site, na hii ni taarifa iliyojadiliwa kwenye kikao mojawapo , sasa na hii hoji nimeitoa wapi.
Nadhani bado huelewi unachosema hapa...mimi nimesema tofauti yake na kama hujui ata ikiweka hapa utajuaje kama ni MoU au mkataba?Nani aliekwambia mwekezaji kaweka bil 6 ktk msingi ambao bado haujaisha?wakati jengo lenyewe lina thamani ya shs bilion 7,una maana ujenzi umekamilika kwa asilimia 90?
Nadhani bado huelewi unachosema hapa...mimi nimesema tofauti yake na kama hujui ata ikiweka hapa utajuaje kama ni MoU au mkataba?Nani aliekwambia mwekezaji kaweka bil 6 ktk msingi ambao bado haujaisha?wakati jengo lenyewe lina thamani ya shs bilion 7,una maana ujenzi umekamilika kwa asilimia 90?
Sasa ndugu yangu MKANDARA mimi naweza kukubaliana na wewe kwamba hakuna sheria inayozuia vyombo vya habari kutoa taarifa za account za watu.Wanabodi,
Kwanza kabisa nitasema hakuna sheria yoyote inayozuia vyombo vya habari kutoa Account za watu iwe amount ama namba zake dunia nzima ikiwa kuna ukweli wa kuwepo hizo account.
Kama kuna uvujaji wa habari hizi toka Benki inayohusika basi ndiko kunakotakiwa kuelekezwa mashtaka ama upelelezi..
Hadi sasa hivi nachoona ni Ubabe wa viongozi wetu lakini kisheria sioni kabisa sababu ya kulishtaki gazeti ati kwa kutoa account za watu as if hayo magazeti ndio wanaomiliki hizo account..
Mkataba wa siri za account upo kati ya mwenye account na benki, Mwanahalisi anaweza kuwa shahidi kuonyesha kwamba siri hiyo imevunjwa..
Ili mtu apatikane na hatia ni lazima kuwe na ushahidiLowassa mwenyewe anatakiwa awe jela sasa hivi.
Ok Ni Yule Mfanyakazi Wa Bakheresa Ambaye Kubenea Alikuwa Akimchukulia Mkewe.
Ili mtu apatikane na hatia ni lazima kuwe na ushahidi