Mwafrika wa Kike
JF-Expert Member
- Jul 5, 2007
- 5,185
- 64
Heshima zenu Wakuu.
Mh. Kitila Mkumbo,KUDOS!!!. Infact tunakoelekea sasa ni kubaya. Every Tanzanian has a right to participate in the democratic process of their country. Watoto wa the so-called Vigogo included.
Katika hili nakubaliana na wewe
Namshauri mtoa hoja naye atafute mtu wake and let the ballot speak. Pesa za kampeni wanakozitoa can not be an issue unless you can prove beyond reasonable doubt kuwa wamefisadi mahali . Otherwise, speculation, allegation na accussation zisizo za msingi hazitufikishi popote.
Hili la pesa mkuu naomba kutofautiana nawewe! Pesa za kampeni ni sumu kubwa sana kwenye siasa za Tanzania. Kikwete alitumia pesa za Rostam Azizi kupata nomination ya ccm na za wizi wa BoT kupata uraisi wa Tanzania na matokeo yake umeona nini kimefanyika BoT ili kurudisha deni la Rostam na la BoT.
Kujua pesa za kampeni ni issue kubwa sana na ningemshauri mtoto wa JK kuwa makini sana na pesa atakazotumia kwenye huu uchaguzi. Otherwise, mtori wangu uko tayari kabisa for this very interesting movie!