Gembe:
Haki za kiraia zipo katika kushiriki katika mambo ya kisiasa, kupiga kura na vilevile kumpigia kampeni unayempenda.
Mtu haborongi katika kutumia haki za kiraia.
Ndg zangu wana Jf kwanza ningependa kuonyesha msimamo wangu juu ya wagombea hao waliotajwa,pia napenda kuwatakia heri ya pasaka na kumkaribisha ndugu yangu FISADI MTOTO ambae kwa muda hatukumuona hapa.
Narejea ktk hoja.
Ndg yetu Ridhwani si vibaya kwa yeye kumuunga mkono rafiki yake kwa huo ni uhuru wake wa kikatiba kuchagua mtu anaedhani kua anafaaa.
Tatizo langu ni huyu BENO ambae kama mwandishi alivojenga hoja yake ktk mwanahalisi kua huyu bwana watoto wa vigogo wapo nyuma yake na kadi yake ya UVCCM haina miaka mitano nilifanya uchunguzi pale abiani na kuongea na katibu wa tawi aliempa kadi inasemekana ilapewa kadi miaka miwili iliyopita ila alirudisha nyuma mwaka wa kuchukua kadi kwa msaada wa katibu wa vijana wilaya ya kinondoni ambae kwa sas ni katibu wa mkoa wa Tanga Mr Mwita.HAPO NAONA TATIZO LA MAADILI
Pili huyu bwana amehusishwa na tukio chafu na la aibu pale mileenium Tower alipokutwa akifanya ngono usiku saa tano ktk choo cha wanawake yeye na MNEC mwenzie anaetwa Mzindakaya kuna jamaa yupo BOT anazopicha za tukio hilo la aibu likionyesha huyu bwana akiwa anazongwa na Mlinzi.HAPA KUNA TATIZO LA MAADILI
Tatu, huyu bwana akiwa amelewa ktk bar ya VIJANA SOCIAL HALL aliingia ktk zogo baada ya kukutwa chooni akiwa anataka kumbaka mcheza show wa saida karoli mwaka jana wakati huo akiwa mwanasheria wa uvccm tukio hili lilitokea akiwapo Mr Amos makalla wakati huo akiwa naibu katibu mkuu na kaimu katibu mkuu wa Uvccm.HAPA TATIZO NI MAADILI.
Nne huyu bwana October mwakajana aliingia tena ktk sokomoko na changu doa pale BREAKPOINT around saa Tano usiku baada ya kushindwa kulipa malipo ya huduma ya ngono kufatana na makubaliano ilibidi aibu hiyo ifutwe na Bwana anaitwa edward kessy aliekua anafanya kazi akiba commercial bank.
Haya ni matukio ambayo yananifanya nisite kuhusu huyu bwana mbali na hayo najiuliza kama alikua akimsaidia mitihani rafiki yake Ridhwan hapa inaonyesha pia anamapingufu ya maadili na hili naliamini kwani huyu bwana Rdhwani amefeli masomo yake huko hull mnaweza kupata taarifa kwa kuangali kitabu/list ya graduate wa chuo hicho mwaka huu.
BI ZAINAB KAWAWA.
Huyu binti ni mmoja kati ya mabinti ambao mwanzo niliamini ni msafi ila matukio mawili yamenifanya nistuke moja ni tukio la yeye kuanzisha uhusiano wa kimapenzi na mbunge wa kigoma mjini Mh Peter Selukamba, pia wakati wa NEC kua na uhusiano na mzee MKONO ambae ndie finacier mkuu wake ambae alimkodishia NDEGE ndogo kufanya kampane LINDI na MTWARA na Pemba hapa nimestuka kidogo swala la maadili limenifanya nione huyu nae hatotutumikia vijana.
JERRY SLAA.
Huyu kijana napenda ktutofautiana kidogo ni mchangiaji aliesema kua anfaa tatizo kubwa la huyu bwan ni tamaa tunakumbuka wizi alofanya tulipokua chuo hapo mlimani akiwa kiongozi lakini ukware wake amevunja ndoa ya DIWANI mwenzie wa viti maalum ambae amekua na uhusiano wa kimapenzi na huyu mama ambae leo ametengana na mume wake,pia hili pia ni jambo baya kabisa kufanywa na kiongozi kijana.
Sitataka kumjadili sanda,anafanhamika kua kwanza umri,na uwezo wake upsteers ni mdogo,HUSSEIN huyu jamaa simfahamu ila nasikia anaotaka mkoa wa TBR na taarifa za juu juu ni kua vigogo wa mkoa wa tbr hawamtaki,nafanya uchunguzi juu ya huyu bwana tawapa taarifa,Violet Mzindakaya huyu tatizo ni ulevi na uadilifu.
Ndg zangu wana JF huu ni uchunguzi wangu nitaendelea kuwaletea DATA za hawa wagombea.
Nikirejea kwa Ridhwani tatizo ni kua RDHWAN ni neno la kiarabu lenye maana mtu mwenye upungufu wa kumbukumbu lenye kutikana na neno RAADHUN sasa haya anayoyafanya sishangai kwani jina linanionyesha aina ya mtu.
Wana Jf swala la uvccm ni la msingi tulijadili kwani hapa tutapata viongozi inabidi tujue hawa viongozi.
ASANTENI TUWAKILISHE