Salary Slip
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 47,034
- 144,387
Paschal anasifa za kihaya sanaKuna mwenzetu mmoja hupa Jukwaani hujifanya yeye hana upande na kwamba huchambua mambo kwa haki bila kuegemea upande wowote.
Sasa subirini kumuona kama atathubutu kuhoji na kuchambua uamuzi wa Spika kuwaruhusu Mdee na wenzake kuendelea kuwepo Bungeni pasipo uamuzi au zuio lolote halali la Mahakama.
Tusubiri.
Analipwa na akina Halima hana loloteHuyo mshamba kutwa kucha kazi yake kuipopoa Chadema sasa na yeye tutamuumbua mauchafu yake akilewa watu wanachomfanya. Kiboko yake huyo ni Mzee David Mataka tu.
Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
Ninahisi ana personal issues na baadhi ya viongozi wa ChademaHuyo mshamba kutwa kucha kazi yake kuipopoa Chadema sasa na yeye tutamuumbua mauchafu yake akilewa watu wanachomfanya. Kiboko yake huyo ni Mzee David Mataka tu.
Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
Yanakera sana haya Majitu.achana na huyo kuna Tulia inasemekana ana PhD holder. Lakini jitu la hovyo
Fununu ni kwamba nasikia amepewa kazi ya PR.Ninahisi ana personal issues na baadhi ya viongozi wa Chadema
Alipata A kwenye somo la KARMA na VOICES FROM WITHIN pale UDSM.Pascal Mayalla hana lolote kupata A sio kigezo cha kudadavua mambo. Hana lolote.
Tulia na wakubwa zake ndo wakwanza kuvunja katiba na sheria za nchi halafu wanataka kukunwaKuna mwenzetu mmoja hapa Jukwaani hujifanya yeye hana upande na kwamba huchambua mambo kwa haki bila kuegemea upande wowote na kwamba alipata ufaulu wa kiwango cha A katika somo mojawqpo la kozi ya sheria pale UDSM.
Sasa subirini kumuona kama atathubutu kuhoji na kuchambua uamuzi wa Spika kuwaruhusu Mdee na wenzake kuendelea kuwepo Bungeni pasipo uamuzi au zuio lolote halali la Mahakama.
Tusubiri.
Kupata A haimanishi yeye ni mbobezi kwenye sheria mambo mengine ni upuuzi mtupu tunao wengi huku mitaani ni weupe kichwani huwezi amini mkuu.Kuna mwenzetu mmoja hapa Jukwaani hujifanya yeye hana upande na kwamba huchambua mambo kwa haki bila kuegemea upande wowote na kwamba alipata ufaulu wa kiwango cha A katika somo mojawqpo la kozi ya sheria pale UDSM.
Sasa subirini kumuona kama atathubutu kuhoji na kuchambua uamuzi wa Spika kuwaruhusu Mdee na wenzake kuendelea kuwepo Bungeni pasipo uamuzi au zuio lolote halali la Mahakama.
Tusubiri.
Kuna mwenzetu mmoja hapa Jukwaani hujifanya yeye hana upande na kwamba huchambua mambo kwa haki bila kuegemea upande wowote na kwamba alipata ufaulu wa kiwango cha A katika somo mojawqpo la kozi ya sheria pale UDSM.
Sasa subirini kumuona kama atathubutu kuhoji na kuchambua uamuzi wa Spika kuwaruhusu Mdee na wenzake kuendelea kuwepo Bungeni pasipo uamuzi au zuio lolote halali la Mahakama.
Tusubiri.
Ninahisi ana personal issues na baadhi ya viongozi wa Chadema
Chadema mtagombana na nchi nzima sasa.Kuna mwenzetu mmoja hapa Jukwaani hujifanya yeye hana upande na kwamba huchambua mambo kwa haki bila kuegemea upande wowote na kwamba alipata ufaulu wa kiwango cha A katika somo mojawqpo la kozi ya sheria pale UDSM.
Sasa subirini kumuona kama atathubutu kuhoji na kuchambua uamuzi wa Spika kuwaruhusu Mdee na wenzake kuendelea kuwepo Bungeni pasipo uamuzi au zuio lolote halali la Mahakama.
Tusubiri.
By Martin Maranja Masese kupitia twitter:Chadema mtagombana na nchi nzima sasa.
Sio kwa Povu hili.
Kila siku mnaongeza idadi ya maadui wapya.
Kwenu haki ni pale inapowapa favour nyinyi na vinginevyo sio HAKI.
MBOWE Alisema.......ACHENI UHUNI BHANA!
Phd ya Dar nini?achana na huyo kuna Tulia inasemekana ni PhD holder. Lakini jitu la hovyo