Kaka yake shetani
JF-Expert Member
- Feb 1, 2023
- 3,604
- 8,734
hawa wanyaruanda kila kukicha wapo kahama hapo kununua mchele au ni siasa za wakenya maana sijaelewa
Tumezowea kujitapeli wenyewe na kujiibia sasa tunafikiri kila sehemu ni kama Tanzania tunataka kuexport ujinga wetu.WaTanzania tuwe n Uaminifu katika biashara iwe maparachichi, mchele , mahindi, nyama, unga n.k tuzingatie matarajio, viwango vigezo na masharti, ama sivyo biashara za kuvuka mipaka na bahari fursa zake zitakufa.
Mbona mimi nimepeleka Mchele kutoka Vietnam kutoka Daresalaam Port hadi Kigali.Kwa ndege au kwa meli?????
Mkandamizaji RiceTanzania kila kona ni utapeli.
Nakumbuka tuliwahi kupeleka korosho Vietnam zenye kokoto 🤣🤣🤣Tanzania kila kona ni utapeli.
Na Erythrocyte, mfanyabiashara wa kimataifaKwako Mkulima wa mpunga ChoiceVariable 😂😂😂🔥
Kwamba mchele unapatikana Tanzania tu! Au?Hao ni kupiga ban tu chochote toka kwetu.
Washinde njaa kidogo wataomba poo.
Kumkoma nyani giladi
Wanyarwanda wanapenda mchele asikwambie mtu maana wao kupika ugali ni tizi kubwa kwao. Mchele hupenda kuuita mcheli. Wataagiza kutoka VIETNAM na kwingineko ila DSM port hawaikwepi. Tozo za hapo atakazobambikwa atarudi tuuu kununua mchele wa tz other wise atulize msondo tuuuMbona mimi nimepeleka Mchele kutoka Vietnam kutoka Daresalaam Port hadi Kigali.
Ninapoongea hapa nina experience.
Nimeshawahi kubeba Shehena ya Mchele wa Wafanyabiashara wa Rwanda kutokea Mombasa Port hadi Kigali MAGERWA.Wataagiza kutoka VIETNAM na kwingineko ila DSM port hawaikwepi.