figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,658
- 55,485
Tumuombe Mungu kamati ifanye uchunguzi na sio kuandaa ripoti itakayopigiwa makofi.
Mh rais hafanyi kazi kwa matakwa ya chadema wala kuwaridhisha vyama vya upinzani Bali kwa manufaa ya taifa. Ingekuwa kila kinachofanywa ni kuviridhisha vyama vyote bac nchi isingepiga hatua za kimaendeleoHILI KAMA CHADEMA HATUKUBALI, KWANINI ALIKATAZA MACONTEINER HALAFU ANAUNDA TUME.KWANINI HAKUUNDA MAPEMA HUKU MAONTAINER YAKIENDELEA KWENDA NJE. HII HATUKUBALI KABISA SISI CHADEMA HII TABIA YA MH RAIS YA KUINGILIA MIKATABA YA WAWEKEZAJI.
Do they the necessary lab to do that?Naona wataalamu wa "analytical chemistry" wametendewa haki.
Alisema kuwa, kutakuwa na Visible Committee na Invisible Committee ambazo zote zitafanya kazi moja bila kuingiliana na wala kujuana ili kusaidia kupunguza upotoshwaji katika ripoti. Naona iliyotajwa hapo ni Visible Committee. Ile ya pili haitangazwi.
Mkuu, komaa na kiswahili tu utaeleweka....lugha ya malkia ngumu balaa!Do they the necessary lab to do that?
Mwisho ya yote utazuka ugomvi .spika na kamati ,raisi na tume ,Waziri mkuu na mkemia
Sasa si usubiri majibu ya kamati kama tatizo mkataba watasema.Vuta subira mkuu.sasa kamati ni ya nini kama mkataba unawaruhusu kusafirisha huo mchanga , ivi wanajua maana ya mkataba kweli