Dan Zwangendaba
JF-Expert Member
- Apr 25, 2014
- 5,478
- 7,458
Huku ni kutojiamini na kusababisha conflicts zisizo za lazima. Lazima Rais ajiweke kwenye kuamini watu. Hatashuka malaika kwenye kusimamia na kutekeleza maendeleo.Alisema kuwa, kutakuwa na Visible Committee na Invisible Committee ambazo zote zitafanya kazi moja bila kuingiliana na wala kujuana ili kusaidia kupunguza upotoshwaji katika ripoti. Naona iliyotajwa hapo ni Visible Committee. Ile ya pili haitangazwi.