Countrywide
JF-Expert Member
- Mar 2, 2015
- 18,173
- 27,223
naihifadhi
Wamuombe hata bure tu ataendaAtakodishwa lisu kwenda kuitetea serikali, unafikiri akiwa hired kwa kazi hiyo atakataa?
Kumekuchaaaaaa !!!!!!Swahili Times on Twitter
Swahili Times
@swahilitimes
Mwanasheria wa Acacia yupo London kufungua kesi baada ya kuona ombi la tume huru kuchunguza makinikia linaweza lisifanikiwe- HT @ MWANANCHI pic.twitter.com/kIQ0kP6Ma6
Kule msikopenda kupasikiakwani lissu ni wa wapi vile??.
Teh teh teh!Sawa, ili kesho Bungeni kuwe na Heshima wanapotunga na kupitisha sheria. Mtu alikua humo humo toka aangie kwenye siasa eti Leo anashangaa tunaibiwaje!!! mkapambane na Hapa kazi Tu wenzenu Wa MIGA huko.
Mtalipa hasara na fidia za gharama zooooooote including kuporomosha hisa zao na kuwachafulia jina
CCM Oyeeeeeeeee..
Magufuli Oyeeeeeeee...
Makonda Oyeeeeeeee...
cocochanel Oyeeeeeee...
jingalao Oyeeeeee
Troll JF Oyeeeee
Lizaboni Oyeeeeeee
MOTOCHINI Oyeeeeeee
JAMANI RAHA SIO RAHAAAAAAA??
aswa nyie nyumbu mmefurahi sana.
Unasubiri uteuzi mpya wa mkuu wa mkoa??Buku 7 haikutoshiaswa nyie nyumbu mmefurahi sana.
Jf ni sehemu ya kupata habari , ukiwa na habari tuletee , tukiwa nazo tutakuletea .Hatimaye sasa utaanza kufurahi na kulala usingizi, baada ya kukesha wiki nzima ukiwatetea mabwana zako.
Hawawezi kukubali hilo wazo!
!
Ningekuwa Rais... Ningemteua Tundu Lissu kuwa Mwanasheria mkuu wa Serikali.
ACACIA tayari ishakuwa Bavicha ?Bavicha vs serikali
Huyo lissu aliwahi kusema hivi "kama ningesikilizwa tangu awali kuhusu mikataba yenye maslahi mapana kwa taifa kupitisha kwa hati za dharula tusingefikia hapa tulipofikia hivi sasa."Sasa hapa serikali iweke uchama pembeni. Since wamepeleka kesi mahakaman.. basi wamtumie lissu vizur kwenye hili
Ndiyo ubaya wakujitoa fahamu pale bungeniHivi hasa ni nini cha kufurahia katika hili?...nchi yetu wenyewe .tumeibiwa sisi...halafu tunapelekwa mahakamani sisi...ni haki kweli?
Haya, sawa.Jf ni sehemu ya kupata habari , ukiwa na habari tuletee , tukiwa nazo tutakuletea .
Mleta uzi ametuletea hakuna haja ya kutaka kumloga .
Lissi nyie mnamchukulia poa eeh.lisu anajulikana mpk njeHivi hawa wanasheria wa serikali wataweza hiyo kesi maana Lissu tu anawashinda
Kwa hayo maneno yako tutaendelea kusubiri sanaDhidi ya miccm inavyoboronga live!!!
Lazima utakuwa ulilazimika kubandikwa ngozi ya tako usoni wewe ujinga huu sio wa bure bure.
Watu wengi humu hamtuelewi , sisi tunaiunga mkono Tanzania na ndio maana tunataka kuikomboa , lakini tutaipinga ccm siku zote mpaka tutakapoishinda .CHAGADEMA mnaonaje na Lisu aungane na huyo mwanasheria?