Sakata la Mchanga wa Madini: Mwanasheria wa ACACIA yuko London kufungua kesi

KiuyaJibu

JF-Expert Member
Aug 29, 2007
826
250
Ndugu, imebidi tu nicheke kwa namna ulivoandika .lakini kama ikitokea tukashindwa hiyo kesi, wewe utafaidika na nini hasa?...
Ndiyo chuki dhidi ya viongozi wa chama tawala na wabunge wake inaongezeka zaidi.
 

white wizard

JF-Expert Member
May 18, 2011
4,664
2,000
Sasa hapa serikali iweke uchama pembeni. Since wamepeleka kesi mahakaman.. basi wamtumie lissu vizur kwenye hili
Lisu atasaidia nini wakati toka mwanzo alishauri kuwa hili linalofanyika sio sawa kisheri akaambiwa njaa inamsumbua?! Leo tena akubali kushusha PR yake kwa watu ambao hawashauriwi?
 

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
79,271
2,000
Hii saccos ya Mbowe ilishapoteza mwelekeo,

Inahitajika degree fulani ya upunguani kuwaelewa wanachotetea, kwa sasa chadema inashikilia record ya chama kinachotetea mafisadi kwa nguvu zote barani Afrika!!

Ofisi ya chama ni chakavu yenye hadhi ya geto la barmed lakini viongozi wako bize kulipana posho kwenye mahoteli ya gharama kubwa kupita kiasi!!!!

Alafu bado bavichaaaa wanashangilia na kuzungusha mikono kweli kweli wakisubiri mabadiliko kutoka kwa viongozi wa hovyo namna hii
Maada yako ni nzuri sana lakini kwenye uzi huu haihusiki , nadhani utakuwa umepotea maboya kwa bahati mbaya .
 

Denis denny

JF-Expert Member
Oct 7, 2012
5,787
2,000
Mijinga ya Ndiyoo mswaada upite kwa nguvu zote ndo imetufikisha hapa halafu inatutaka tuwe wazalendo, huu ni uwendawazimu kabisa
 

KiuyaJibu

JF-Expert Member
Aug 29, 2007
826
250
Kwa akili za watu wengine wasio na uzalendo wataomba tushindwe kesi ili tulipe hiyo mibillioni
Sasa uzalendo ulitakiwa kuwepo kuanzia mikataba inaandaliwa, kujadiliwa bungeni, na hadi kusainiwa kwake.
Hivi sasa itakuwa ni kutafuta msaada ambao hauna tija ukilinganisha na madudu yaliokwisha fanyika tangu awali.
 

Majighu2015

JF-Expert Member
Jul 11, 2015
2,854
2,000
ACACIA ni vema wakatumia hekima, wasichukue uamuzi wa hasira. Waiombe serikali kufanyike uchunguzi huru kwa kutumia watu watakaokubalika na pande zote mbili, na maabara zitakazokubalika na pande zote mbili.

Kama serikali ikikataa, waiombe mahakama itoae amri ya kuundwa kamati huru ya uchunguzi.
Serikali wakati inaunda hiyo tume haikuwashirikisha kwa hiyo na wao ni bora wakadai haki yao mahakamani. Haya mambo yote yanatokea sababu ya kukurupuka
 

kevoo 27

JF-Expert Member
Jun 5, 2016
384
500
Walichokuwa wanakitafuta kinakuja soon, sifa za kijinga zitatutokea puani, kwa wanasheria wetu lazima tuangukie pua
 

MBui

Member
Mar 16, 2013
43
95
Very low thinking. Kinachoangaliwa ni mkataba ulisainiwa lini kwa sheria gani na kwa makubaliano yapi. Wewe badili sheria zako lakini hiyo siyo solution kwa mikataba ya zamani. Na kumbuka wenzetu yote haya huwa wanayaona hata kabla ya kusaini hii mikataba. Sisi kwa sababu ya njaa zetu na incompetency zetu kwenye mikataba ya kimataifa tunaingia kichwakichwa au tunaamua kuliangamiza taifa letu kwa sababu tu ya 10%
Ebu nieleweshe kidogo mbona waliweza badili sheria ya bodi ya mikopo kutoka asilimia 8 mpaka 15.
 

zitto junior

JF-Expert Member
Oct 7, 2013
12,423
2,000
yaaani dah kama utafurahia
hili kweli bhac utakuwa umekosa uzalendp
Hivi nni mana ya uzalendo??? Ni kusupport kila kitu cha nchi yako whether good or bad ama??? Yye ni mwananchi ana uhuru wa kutoa mawazo yake na sio lazma yafanane na yako kma yye anaona Magufuli amekosea basi ana haki ya kuona haki imetendeka ssa uzalendo unakosekana vp???
 

124 Ali

JF-Expert Member
Apr 25, 2010
7,671
2,000
Hakuna wasi kwa hilo ,hizo ni figisu tu maana wanajua wakikataa watalimwa wakikubali watalimwa kwa bora waanzishe full fledged ugomvi na SMT!
 

Lusajo11

JF-Expert Member
Dec 13, 2014
1,891
2,000
Mkuu kwa nini huwaamini maprofesa wetu wamekula kiapo wakaundiwa na watu wengine wa kuwafuatilia?
Tume huru ikiundwa ACACIA wanapata mwanya kuhonga kuoindua matokeo.
Hii ni sera ya chadema 100% mpaka mwezi wa 5 ,2015 mlikuwa mnaimba mchanga na mikataba leo kimewapata nini nyie watu?

Mkuu, mimi ni mtu neutral, ila kwenye hili Magu katuangusha sana. Hawa jamaa wanatuibia sana sio siri ila sasa kiongozi ametumia njia mbovu sana kupambana. Wengine hapa tumekasirika kwa sababu tunaona tutachelewa sana kupata haki yetu. Magu kajifungisha goli mwenyewe. Kupamban na Acacia hakufanani na kupambana na ukawa mkuu.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom