Sakata la Mchanga wa Madini: Mwanasheria wa ACACIA yuko London kufungua kesi

Sawa, ili kesho Bungeni kuwe na Heshima wanapotunga na kupitisha sheria. Mtu alikua humo humo toka aangie kwenye siasa eti Leo anashangaa tunaibiwaje!!! mkapambane na Hapa kazi Tu wenzenu Wa MIGA huko.

Mtalipa hasara na fidia za gharama zooooooote including kuporomosha hisa zao na kuwachafulia jina

CCM Oyeeeeeeeee..

Magufuli Oyeeeeeeee...

Makonda Oyeeeeeeee...

cocochanel Oyeeeeeee...

jingalao Oyeeeeee

Troll JF Oyeeeee

Lizaboni Oyeeeeeee

MOTOCHINI Oyeeeeeee



JAMANI RAHA SIO RAHAAAAAAA??
Teh teh teh!
 
Hatimaye sasa utaanza kufurahi na kulala usingizi, baada ya kukesha wiki nzima ukiwatetea mabwana zako.
Jf ni sehemu ya kupata habari , ukiwa na habari tuletee , tukiwa nazo tutakuletea .

Mleta uzi ametuletea hakuna haja ya kutaka kumloga .
 
Sasa hapa serikali iweke uchama pembeni. Since wamepeleka kesi mahakaman.. basi wamtumie lissu vizur kwenye hili
Huyo lissu aliwahi kusema hivi "kama ningesikilizwa tangu awali kuhusu mikataba yenye maslahi mapana kwa taifa kupitisha kwa hati za dharula tusingefikia hapa tulipofikia hivi sasa."
Iweje baada ya wabunge walio wengi kujitoa fahamu na kupitisha mambo ndiyo yanatugharimu sasa hivi ndiyo mnamuona wa maana.
Cha msingi, walioandaa mikataba hiyo na waliosaini ndiyo tuanze kushughulika nao kwanza.
 
Back
Top Bottom